ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,307
- 129,777
Duh, hali ya hewa inakomaza ngozi?Hali ya hewa😳
Duh, hali ya hewa inakomaza ngozi?Hali ya hewa😳
Itabid utenge siku uni fundishe kwa uzuriSawa la mama😅
Yani apa natembea kama mjamzito kisa hizi mambo! Si unajua mashikolo🤣Kunywa tu ina ongeza uzito kwa kasi sana
Ndio🥹Duh, hali ya hewa inakomaza ngozi?
Ondoa shaka… ukiwa tayari kujifunza unaniambia tuItabid utenge siku uni fundishe kwa uzuri
Tuna eleweka ni vile ninyi tu mna kaza fuvuHmm nyie vijana mbona hamueleweki😂
Kula tango sana sana lina saidia some howYani apa natembea kama mjamzito kisa hizi mambo! Si unajua mashikolo🤣
Usiku leo nikiwa nimetulia nakuitaOndoa shaka… ukiwa tayari kujifunza unaniambia tu
Hmm nyie vijana mbona hamueleweki😂Hapana nataka awe na maringo ya kimjinimjini kidogo
Kwakweli acha nianze kula🌝Kula tango sana sana lina saidia some how
Haina noma mwanetuUsiku leo nikiwa nimetulia nakuita
We unataka ukutane na wajelajela kina sisi😆Tuna eleweka ni vile ninyi tu mna kaza fuvu
Na uwe una fanya mazoezi ya kata tumbo ata mara tano kila siku kalba ya kulala na ukiamkaKwakweli acha nianze kula🌝
Ewaaa mnao jua kubandika kucha 🤣We unataka ukutane na wajelajela kina sisi😆
Hapo ss ndio kipengele nikifanya wiki tu naacha😅Na uwe una fanya mazoezi ya kata tumbo ata mara tano kila siku kalba ya kulala na ukiamka
Oyaaa! Muanze kutuomba tutorial ya kujisafisha kule🤣Ewaaa mnao jua kubandika kucha 🤣
Nitakua nakuamshaHapo ss ndio kipengele nikifanya wiki tu naacha😅
Ahhha ila wweOyaaa! Muanze kutuomba tutorial ya kujisafisha kule🤣
Anhaaa basi sawa☺️Nitakua nakuamsha
Mnasemaga mi mwanamke mwenye kucha hanipikii, mwenye mawigi sijui nguo gani hafai.. haya umekutana na wamepiga zao picha wameshikana nao huwataki😅Ahhha ila wwe