Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,941
- 6,856
Naomba nijisahihishe. Soko la watumwa lilipigwa marufuku Saudi Arabia mwaka 1962. Wakati hiyo Tanganyika inasherehekea uhuru kuna wenzao walikuwa wanapigwa mnada Saudia.
Nakubaliana na Tom. Tatizo ni kukata tamaa. Wale wasio na uwezo watakapoona kuwa hawana jinsi ya kujikwamua kutokana na hali hiyo wakati wale waliotegemea kuwaongoza wakiendelea kuwabeza, ndipo tutakapojikuta pabaya. Mbona wajaluo wa sehemu zenye nafuu hawakuingia mtaani bali ni wale wa Mathare na kwingine kama huko? Dini, kabila vitatumiwa kama visingiziyo lakini ni kukata tamaa ndiyo ishu!