Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

Status
Not open for further replies.
Naomba nijisahihishe. Soko la watumwa lilipigwa marufuku Saudi Arabia mwaka 1962. Wakati hiyo Tanganyika inasherehekea uhuru kuna wenzao walikuwa wanapigwa mnada Saudia.

Nakubaliana na Tom. Tatizo ni kukata tamaa. Wale wasio na uwezo watakapoona kuwa hawana jinsi ya kujikwamua kutokana na hali hiyo wakati wale waliotegemea kuwaongoza wakiendelea kuwabeza, ndipo tutakapojikuta pabaya. Mbona wajaluo wa sehemu zenye nafuu hawakuingia mtaani bali ni wale wa Mathare na kwingine kama huko? Dini, kabila vitatumiwa kama visingiziyo lakini ni kukata tamaa ndiyo ishu!
 
Issue ya ukabila TZ ilizungumziwa hapa mpaka watu wakataka kutoana ngeu kwenye 'net; na bado muafaka haukupatikana; labda turejee kule kwenye ile thread tuangalie kama tuna jipya ambalo halikuzungumziwa; otherwise tutarudi palepale. Mtoa mada hapa alifanya reference ya ukabila Kenya lakini akaasa udini TZ.

Ninachoona kikitokea katika serikali ya Kikwete hivi sasa ni JITIHADA ZA MAKUSUDI ZA KULETA UWIANO WA NAFASI MUHIMU KATI YA WAISLAM NA WAKRISTO WENYE SIFA ZINAZOSTAHILI ndani ya taasisi za serikali. Kwangu huu sio udini, kinyume chake, ni hatuia madhubutu za kuondoa hatari ya kuwepo kwa hisia za udini huko baadae ikiwa hali iliyopo itaendelea. Na hali iliyopo haikutokea kwa makusudi; ni historia ilisababisha; so; viongozi waliopo wameona kuepusha shari basi penye Muislam mwenye sifa apewe rather than kuweka Mkristo wakati tayari kuna wakristo wengine kwenye eneo hilo.

Tatizo linaloweza kujitokeza ni la kibinadamu la watendaji wasio waadilifu kuleta upendeleo, na hili haliwezi kuwa tatizo la serikali kama serikali.

Maneno ya udini kama haya yanayosemwa huyu ndio yanapanda mbegu mbaya kwenye akili za watu; na vile watu wa kawaida walivyo wepesi kudakia mambo wanaweza kutoka na hiyo dhana ya udini.

Bila shaka wako watu ndani na nje ya serikali ambao wakipewa nafasi ya kukandamiza wenzao wa dini nyingine watafanya hivyo kwa nguvu zao zote; utawaona hata hapa JF kwa mada na maneno yao; ila ni wachache; na hao nawaombea Mungu aidha wabadilike, au wahamie kwa wenzao Alkaida; ikishindikana wafe kifo cha asili
 
Samahani Ngugu hapa,
Ninaweza kua kabisa ninadandia basi kwa mbele,ila lazima nisema mchango wangu hapa.
Mimi nadhani haya maswala ya UDINI yanazungumzika ndio maana tunaweza kuchangia hapa,ingawa kutokana na kuangalia mawazo ya walio wengi hapa na misimamo yetu unaweza kuona hili swala lina wagusa wengi zaidi kuliko ya lile linalo wakumba wenzetu Wakenya (supposely) Ukabila.
|Sasa mimi nadhani katika wakati huu mgumu kuanza kuzungumzia haya nikama kutia petrol katika moto tunajaribu ku-stir kwenye kikombe ambacho hatujui nini contects zake,wengi hatujui waTz wako capeble kiasi gani kwani hatujawahi kuwaona in action kama wahutu na tutsi na sasa wakenya.
Ila let me warn you,tunaweza kuwa wakatili kuliko ukatili wote tulio uona na tunao uona kwa majirani zetu.
sasa tusijaribu kuzanzisha vitu ambavyo baadae tunaweza kuja ku-regrety.
(from the movie,SOME TIMES IN APRIL,based on true story)Mfano Ukiangalia chanzo cha vita ile ya Rwanda kuingia chuki kwa wananchi ilikua ujinga wa MTANGAZAJI mmoja wa radio,sasa hapa tunaandika tu hizi post zetu hatujui wangapi wanazisoma na wana chukulia kwa uzito upi haya mawazo yetu hasa haya ya udini kuwapo.
niwaomba tuwe waangalifu nayale tuyasemayo
 
Mkuu Darubini. Naona umedigress kwenye mada hii. With all due respect, huyu dada na Mwafongo wameingiaje humu? Nauliza tu.
 
GT Pinda anaendeleza nini?...kama mtu kwenda kanisani ni uhuru wake...Let us be fair!!!

na Kama unataka wote wasiende makanisani au Msikitini pia si fair...Tutamuhukumu pinda akikiuka HAKI na MAADILI ya UONGOZI
 
Hii sasa ni Jamhuri ya Kikristo ya TanzaniaKWA HALI ILIVYO sasa na mambo ambayo yamekuwa yakitokea kimyakimya kati ya serikali na kanisa hapa nchini ni dhahiri kuwa Tanzania hivi sasa haisthili kuitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali Jamhuri ya Kikiristo ya Tanzania.

Maana kigezo cha kutanabahisha kama mtu fulini ni hili au lile ni sauti na uwezo wake juu ya suala muhimu husika.

Katiba inadhihirisha kwamba kila mtu ana haki ya kuwa muumini wa dini anayoitaka na kuabudu kwa namna anayoitaka. Sasa Muislamu anapotaka kukamilisha ibada yake kwa kuwa na Mahakama ya Kadhi utailewaje serikali hiyo inapotafuta ushauri wa wasio Waislamu kama Waislamu waruhusiwe hilo au la.

Kwa kuwa aliyeachiwa uamuzi si serikali bali madhehebu za Kikiristo ndio maana tunasema kwamba SERIKALI TANZANIA INA DINI na sio vinginevyo na dini hiyo sio nyingine ila UKiristo!

Tunasema hivi kwa sababu zifuatazo:
1. Serikali haiwezi kutekeleza madai au haki yoyote ya Waislamu bila kushauriwa na kuruhusiwa na Kanisa au Wakiristo kwa ujumla wao.
2. Serikali imekuwa ikigawa kulia na kushoto mali zilizotaifishwa kwa makanisa na viongozi wao.
3. Kanisa limekuwa likiiandikia cheki isiyo na kiasi cha fedha chama tawala kila inapofikia uchaguzi.
4. Serikali imekuwa ikiliandikia kanisa cheki isiyo na kiasi cha fedha kanisa kila inaporudi madarakani.
5. Washauri wanaomzunguka kiongozi wa nchi karibu wote ni Wakiristo.
6. Idadi kubwa ya mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa na wilaya na viongozi wengine wa juu ni wakiristo, mathalani, kati ya mawaziri wakubwa ni 15 tu ndio waislamu na takriban 35 ni wakiristo.
7. BAKWATA kiutendaji iko chini ya Waziri Mkiritsto. Na rushwa serikali inayotoa kwa BAKWATA ndiyo inayosababisha migogoro isiyoisha huko.
8. Kanisa linaendelea kumiminiwa fedha sio tu na serikali bali wafadhili wa ndani na nje wakati misaada yote ya Waislamu imepigwa 'X' kwa kisingizio cha Ugaidi au inaliwa na wakubwa wa serikali kama ilivvyofanywa kwa EPA.
9. Serikali imeruhusu kujengwa mabaa, masoko machafu na makanisa ya walokole karibu kila panapokuwepo na msikiti hivi leo.
10. Serikali inawakataza wafanyabiashara wa Kiislamu kuchangia upanuzi wa redio za Kiislamu na kuanzishwa kwa televisheni za Kiislamu wakati wakiristo tayari wana televisheni 7 na redio zipatazo 30.
11. Wakati shule za Wakiristo zinapata ruzuku toka serikalini shule za Kiislamu hazina bahati hiyo.
12. Mamia kama sio maelfu ya watoto wanaopelekwa kwenda kusoma nje hivi leo ni watoto wa viongozi wakiristo.
13. Fedha za kupiga vita umasikini nyingi zimeliwa au kuepewa wale wasio waislamu wakati waislamu ndio masikini wakubwa nchini.
14. Serikai inapiga vita kuwepo kwa kiongozi bora, safi na mwadilifu wa Kiislamu kwa kuunga mkono viongozi wasio na elimu dunia na wababaishaji hata katika hiyo ya dini.
15. Serikali imeamriwa na Wakristo kutoruhusu Mahakama ya Kadhi. Lakini wakati huohuo imelazimishishwa kuwapa kwa ubalozi wa Vatican hapa nchini kwa kisingio kwamba eti Vatican ni nchi wakati ni ufalme wa Kikatoliki ndani ya Italia.
16. Serikali imepiga marufuku Waislamu kupata misaada toka nchi za nje. Na misaada hiyo inapoingia inataifishwa na Benki kuu na kuliwa kama fedha za EPA!
17. Serikali na vyama vya siasa vinawatisha Waislamu viongozi kutotetea au kuundeleza Uislamu. Na imeshindwa kabisa kuwasaidia viongozi hao wasio na maarifa ya Uislamu elimu muhimu ya dini yao wakati wakiwa kazini.
18. Serikali inatumia vyombo vya habari (vyake au vya wamiliki binafsi) ama kuendeleza ukiristo au kupiga vita Uislamu na kuchafua maadili ya kumuhofu Muumba na ucha Mungu.
19. Serikali inatumia vyombo vya dola na mahakama kuwaadhibu na kuwaonea viongozi wa Kiislamu.
20. Bunge linadharau Uislamu na ibada zao. Kiasi cha kwamba siku ya Ijumaa ni shughuli kama kawaida na waumini wa Kiislamu ndani ya Bunge ama ni waoga au wanatishwa katika kulikataa hili.
 
siasa au siyasa maana yake ----- SI HASA , SIO HASWA KILE ULICHOKUWA UNAFIKIRIA WEWE NA SIKU ZOTE ITAKUWA HIVYO HIVYO
 
nYIMBO YA tAIFA INAMTAJA mUNGU, SASA ULITEGEMEA NINI?

sema yote lakini ukiuliza kwa nini nyimbo ya nchi ambayo ni secular inamtaja Mungu hakuna atakaye kupa jibu. Kama huamini soma maoni humu
 
Maybe una some points somewhere in there but overal naona una inferiority complex fulani, kila sehemu unaona wakristo badala ya kuona watanzania wenzako. Aya bwana.

P.S Mimi sio Mkristo
 
Mtoa hoja hebu tumia "search" button upitie mijadala ya Mahakama ya Kadhi hapa JF maswali yako mengi yalishajibiwa huko.

Kwa ujumla kama wewe ni Mtanzania unayejiamini katika shughuli zako na una ufahamu wa kutosha hakuna sababu ya kutofanikiwa.

Sijui utasemaje kwamba Raisi ni Muislam? Labda Wakristo tuanze kulalamika sasa kwamba Serikali inapendelea Waislamu?
 
Nimeshindwa kumalizia kusoma malalmiko ya huyu bwana, inaonekana ni mtu mwenye elimu ya msingi tu, hushinda vijiweni kulalamika kuongea utumbo tu, na amelishwa kasumba ya ki alkaida, wakiwa wengi watu kama hawa amani itatiweka kwani wako tayari kujilipua ili wapate vigoli peponi
 
Mwanzilishi wa hoja, hebu pitia mijadala iliyokwishafanyika hapa JF kuhusu Mahakama ya Kadhi utakuwa majibu mengi tu ya maswali yako.

Sijui Wakristo nao walalamike kuhusu Raisi kuwa Mwislamu...?
 
Mwanzilishi wa hoja, hebu pitia mijadala iliyokwishafanyika hapa JF kuhusu Mahakama ya Kadhi utakuwa majibu mengi tu ya maswali yako.

Sijui Wakristo nao walalamike kuhusu Raisi kuwa Mwislamu...?
 
Waafrika tulikuwa kila kabila lina dini zake lakini tulikuwa hatugombani na kutambiana dini gani nzuri na ipi mbaya.

Mimi naona dini zetu za asili za kila kabila Tanzania ndizo zenye Mungu sababu zinajua kupendana na kutotambiana wala kudharauliana tofauti na hizi dini zilizotoka Uarabuni,Ulaya na Marekani ambazo mara baada ya kufika nchini mwetu zimegeuza uwanja wa vita wa kugombea waumini,madaraka na fursa huku zikitukana dini za asili walizozikuta na kutukanana zenyewe kwa zenyewe.

Dini hizi zilizoingizwa kama mitumba toka mataifa mengine mimi naziona si za kweli na ni za uongo na naona zimejaa mashetani tena mabaya kabisa ndiyo maana haziheshimiani na zinagombana na dini zingine na hata zenyewe ndani kwa ndani zimegawanyika na hugombana sababu zimejaa mashetani na hazina Mungu. Kama zingekuwa na Mungu zisingekuwa na mashetani ya ugomvi na dharau na matusi kwa dini zingine.Dini za kikristo na kiislamu zina mashetani ya ugomvi.Ukitaka kuhakikisha ziweke pamoja uone zitakavyoanza kugombana.

Lakini za kiasili ziweke pamoja uone jinsi zilivyo na upendo na utulivu hazigombani wala.

Waislamu na wakristo nchi hii siyo yenu peke yenu.Wapagani tumo humu ndani.Na msitutafute maneno.

Uhuru uliopiganiwa nchi hii uliletwa si na wakristo na waislamu tu bali wapagani walikuwa wengi wakiwa chini ya machifu wao kila kona ya nchi hii.

Wapagani ambao ndio wengi sana nchi hii lakini wana mwakilishi mmoja tu serikalini ambaye ni Kingunge Ngombare Mwiru.Wapagani tuko kimya hatujalalamika kwa nini wakristo na waislamu mnapendeleana na hamtupi nafasi nyingi wapagani.

Sasa naona waislamu na wakristo mmenogewa sana na raha ya kutawala kiasi kuwa mko tayari kuingiza udini kwenye serikali bunge ,utawala na katiba ya nchi na kugombaniana na kupendeleana kidini katika fursa na vyeo n.k.Mnadhani mmefika na vidini vyenu mitumba toka mataifa ya nje yaliyoendesha biashara za utumwa na ukoloni katika nchi hii huku wakiwa na biblia na kuruani kuwaunga mkono na mnaona nyie tu ndio miungu ijuayo kutawala nchi hii.

Wapagani tunawatazama tu mnavyotamba na udini na vidini vyenu na kujifanya nyie ndio vijogoo wa utawala kwenye nchi hii.

Wapagani tukiwachoka tutawashukia kama mwewe tuwapore uongozi kwa nguvu na tukishachukua nchi vidini vyenu tutavipiga marufuku na kuvitimua nchini ili nchi iendeshwe kwa katiba na serikali ibaki isiyo na dini wala chembe ya harufu udini na nchi ibaki katika amani utulivu na heshima.

Wakristo na waislamu sisi wapagani tupo na tunawatazama tu vituko vyenu lakini saa yaja ambayo mtakuja kujutia kosa lenu la kuendekeza udini na vidini vyenu hadi kwenye serikali,bunge na katiba.

Wapagani tunawaonya Wakristo na waislamu acheni udini.Wapagani hatutaki udini wala harufu yake katika serikali,bunge,mahakama au katiba.Hatutaki na mkome kabisa pumbafu nyie na vidini vyenu vya mitumba toka kwa waarabu wafanya biashara za utumwa na wakoloni wa kizungu pumbafu kabisa.
 
Netanyahu;

Japo sikubaliani na baadhi ya uliyo andika, na kajaziba kiasi fulani lakini maelezo yako yana ukweli mwingi sana! Kweli hii ni JF kila kona ina gagaduliwa! Nimependa sana mtazamo wako huu katika hili netanyahu!
 
Last edited by a moderator:
Quran imeshindwa kuwaongozeni nakuwatatulia baadhi ya migogoro mpaka sasa mnaiacha njia ambayo mmeambiwa muifuate mnaanza kujitafutia njia zenu wenyewe za mahakama sio tena quran.

Nadhani kuna mapungufu ndio maana mnadai mahakama je mashekhe wenu wameshindwa kuwaongoza? au na shekh anayo mapungufu?

Wewe umetumwa,hivi unadhani kwakuongea hivyo utamtisha nani kwakufanya hivyo hivi unadhani nyinyi ni watoto kana kwamba kila mnachotaka mnaanza kulia kama watoto ili msikilizwe.

Nyinyi kwanza wabinafsi sijui mmekosa nini kama maakama sizipo sasa isue gani imeshindwa kufanywa na mahakama zetu kwanza hiyo ni kudharau Dora (mahakama).

N:B haya matatizo gani ambayo yametokea hapa tz yakashindwa kuamuliwa na mahakama ya kawaida nyinyi ni wabaguzi ndio maana mnataka mahakama yenu wenyewe,Mkipewa mwishowe mtaomba mgawiwe nchi yenu wenyewe maana hamja acha fikra za kibaguzi za Warabu.
 
Acha hoja zisizo na msingi, unataka ratio sawa kwa waislam na wakristo. Kama unajua hesabu fanya hivi, chukua idadi ya waislam waliopo katika serikali then wape vyeo kwa mlingano sahihi uone kama watawazidi wakristo. kubali usikubali wasomi waislamu ni wachache kulinganisha na Wakristo.
Pole ikiuma toa. Hamia ukristo unakaribishwa
 
Hii sasa ni Jamhuri ya Kikristo ya TanzaniaKWA HALI ILIVYO sasa na mambo ambayo yamekuwa yakitokea kimyakimya kati ya serikali na kanisa hapa nchini ni dhahiri kuwa Tanzania hivi sasa haisthili kuitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali Jamhuri ya Kikiristo ya Tanzania.

Maana kigezo cha kutanabahisha kama mtu fulini ni hili au lile ni sauti na uwezo wake juu ya suala muhimu husika.

Katiba inadhihirisha kwamba kila mtu ana haki ya kuwa muumini wa dini anayoitaka na kuabudu kwa namna anayoitaka. Sasa Muislamu anapotaka kukamilisha ibada yake kwa kuwa na Mahakama ya Kadhi utailewaje serikali hiyo inapotafuta ushauri wa wasio Waislamu kama Waislamu waruhusiwe hilo au la.

Kwa kuwa aliyeachiwa uamuzi si serikali bali madhehebu za Kikiristo ndio maana tunasema kwamba SERIKALI TANZANIA INA DINI na sio vinginevyo na dini hiyo sio nyingine ila UKiristo!

Tunasema hivi kwa sababu zifuatazo:
1. Serikali haiwezi kutekeleza madai au haki yoyote ya Waislamu bila kushauriwa na kuruhusiwa na Kanisa au Wakiristo kwa ujumla wao.
2. Serikali imekuwa ikigawa kulia na kushoto mali zilizotaifishwa kwa makanisa na viongozi wao.
3. Kanisa limekuwa likiiandikia cheki isiyo na kiasi cha fedha chama tawala kila inapofikia uchaguzi.
4. Serikali imekuwa ikiliandikia kanisa cheki isiyo na kiasi cha fedha kanisa kila inaporudi madarakani.
5. Washauri wanaomzunguka kiongozi wa nchi karibu wote ni Wakiristo.
6. Idadi kubwa ya mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa na wilaya na viongozi wengine wa juu ni wakiristo, mathalani, kati ya mawaziri wakubwa ni 15 tu ndio waislamu na takriban 35 ni wakiristo.
7. BAKWATA kiutendaji iko chini ya Waziri Mkiritsto. Na rushwa serikali inayotoa kwa BAKWATA ndiyo inayosababisha migogoro isiyoisha huko.
8. Kanisa linaendelea kumiminiwa fedha sio tu na serikali bali wafadhili wa ndani na nje wakati misaada yote ya Waislamu imepigwa 'X' kwa kisingizio cha Ugaidi au inaliwa na wakubwa wa serikali kama ilivvyofanywa kwa EPA.
9. Serikali imeruhusu kujengwa mabaa, masoko machafu na makanisa ya walokole karibu kila panapokuwepo na msikiti hivi leo.
10. Serikali inawakataza wafanyabiashara wa Kiislamu kuchangia upanuzi wa redio za Kiislamu na kuanzishwa kwa televisheni za Kiislamu wakati wakiristo tayari wana televisheni 7 na redio zipatazo 30.
11. Wakati shule za Wakiristo zinapata ruzuku toka serikalini shule za Kiislamu hazina bahati hiyo.
12. Mamia kama sio maelfu ya watoto wanaopelekwa kwenda kusoma nje hivi leo ni watoto wa viongozi wakiristo.
13. Fedha za kupiga vita umasikini nyingi zimeliwa au kuepewa wale wasio waislamu wakati waislamu ndio masikini wakubwa nchini.
14. Serikai inapiga vita kuwepo kwa kiongozi bora, safi na mwadilifu wa Kiislamu kwa kuunga mkono viongozi wasio na elimu dunia na wababaishaji hata katika hiyo ya dini.
15. Serikali imeamriwa na Wakristo kutoruhusu Mahakama ya Kadhi. Lakini wakati huohuo imelazimishishwa kuwapa kwa ubalozi wa Vatican hapa nchini kwa kisingio kwamba eti Vatican ni nchi wakati ni ufalme wa Kikatoliki ndani ya Italia.
16. Serikali imepiga marufuku Waislamu kupata misaada toka nchi za nje. Na misaada hiyo inapoingia inataifishwa na Benki kuu na kuliwa kama fedha za EPA!
17. Serikali na vyama vya siasa vinawatisha Waislamu viongozi kutotetea au kuundeleza Uislamu. Na imeshindwa kabisa kuwasaidia viongozi hao wasio na maarifa ya Uislamu elimu muhimu ya dini yao wakati wakiwa kazini.
18. Serikali inatumia vyombo vya habari (vyake au vya wamiliki binafsi) ama kuendeleza ukiristo au kupiga vita Uislamu na kuchafua maadili ya kumuhofu Muumba na ucha Mungu.
19. Serikali inatumia vyombo vya dola na mahakama kuwaadhibu na kuwaonea viongozi wa Kiislamu.
20. Bunge linadharau Uislamu na ibada zao. Kiasi cha kwamba siku ya Ijumaa ni shughuli kama kawaida na waumini wa Kiislamu ndani ya Bunge ama ni waoga au wanatishwa katika kulikataa hili.
Of coz Tanzania inaendeshwa kwa misingi ya kikristo na hakuna shaka na hilo na wala waislamu msijidanganye vyenginevyo as long as mnafanya hizo ibada zenu na mnaishi maisha kama mtanzania mwingine mshukuru kwa hilo full stop
 
Status
Not open for further replies.
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom