Hahahaa eti mahakamani!

Y’all desperately caping for her.
Naomba nikuambie kwamba sina nasaba na Fatma na wala si mshabiki wake. Nasema nilichokisikia jana. Nimesikiliza tangia mwanzo na nilielewa alikuwa na maana gani.
 
What’s that got to do with anything? You’re just giggling for no apparent reason trying to make yourself seem so profound!

Major fail.
Screenshot_20210801-174148~2.png


Just agree you didnt understand the tone of the speaker. Usishupaze shingo kama mpumbavu 😂😂😂😂😂
 
Sina haja ya kukuambia maana ya msemo ulio wa kawaida.

Ni msemo wa kawaida kabisa katika lugha ya Kiingereza na sina haja ya kuu-redefine ili tu nishinde argument.

Kama hutaki kuniambia maana yake, sawa. Peace out.
Mzee wewe ndio mwenye maana na hutaki kuisema; ubarikiwe na nenda kwa amani.
 
Naeleweka sana. Nipo upande wa ukweli.

Tundu Lissu akisema ukweli, nakubaliana naye.

Hata wewe ukisema ukweli, nitakubaliana nawe.

Ukisema uongo na pumba, nitakuchana.

Your brain can’t process that?
That's very good. Ntakununulia Chama
 
Naomba nikuambie kwamba sina nasaba na Fatma na wala si mshabiki wake. Nasema nilichokisikia jana. Nimesikiliza tangia mwanzo na nilielewa alikuwa na maana gani.
You are still caping for her! Do you even know what that means?

Nami nimeandika kile nilichokisikia na nimekielewa.
 
Watanzania huwa hawaelewi journalism wa maana! Ndiyo kitu alichokuwa anafanya Fatma! But Fatma is the same one! She is true to her word kama Lissu!! So please do not accuse her of favoritisms
 
Nationalism at it's peak, aliyepo sio msukuma wa bara ni mzanzibar kwahiyo ni lazima amsupport. Iweje wakati wa JPM hakusapoti yaliyofanyika? Maana hayana tofauti na yanayofanyika katika utawala wa huyo anaemuita mwanamke.

Mimi ni mwanaCCM lakini kwenye hiyo video ya kwanza Lissu kajibu kwa akili sana.
Sidhani kama 'Uzanzibari' ndio sababu labda 'feminisim'.
 





Sina hakika haya mazungumzo yalifanyika lini hasa. Lakini naamini si muda mrefu uliopita kwani kilichokuwa kinajadiliwa ni kile kinachoendelea hivi sasa nchini.

Huyu so-called Shangazi is caping hard for Samia! I wonder why 🤔?

In a roundabout way she is saying that Mbowe and the opposition are getting what they deserve for being disrespectful towards Samia Suluhu Hassan.

They are being disrespectful to her because she is a woman.

Sijui ana kigugumizi au sijui haijui vizuri lugha ya Kiswahili, lakini hata kuuliza maswali yanayoeleweka vizuri, hawezi!

Kwenye huu mjadala nipo na Tundu Lissu! Kajibu vizuri sana hizo hoja/maswali ya huyo Fatma. Nakubaliana naye katika kila alichokisema.

On the other hand, ni kama vile huyo Fatma na watu anaofanana nao kimawazo kuhusu Samia, anataka Samia asikosolewe sana kwa sababu ni mwanamke.

BS! She signed up for it and people have the right to go in on her with the same ferocity they went in on her predecessors.

She shouldn’t get preferential treatment just because she is a woman.

No one holding public office should be above criticism and no one should be below praise.

Shangazi is neither caping hard for Samia nor saying that opposition are getting what they deserve! Hapa Shangazi anauliza maswali magumu ya kiuwakili ya utetezi wa Mbowe. Kutokana na maswali haya Tundu Lissu kama shahidi wa Mbowe anayajibu kwa ufasaha wa hali ya juu.
 
Shangazi is neither caping hard for Samia nor saying that opposition are getting what they deserve! Hapa Shangazi anauliza maswali magumu ya kiuwakili ya utetezi wa Mbowe. Kutokana na maswali haya Tundu Lissu kama shahidi wa Mbowe anayajibu kwa ufasaha wa hali ya juu.
Mbona ni maswali ya kawaida sana hayo!

Hakuna swali gumu la kiuwakili.

Hayo maswali tumeshayauliza sana humu.

Uwakili my ass.
 
Mbona ni maswali ya kawaida sana hayo!

Hakuna swali gumu la kiuwakili.

Hayo maswali tumeshayauliza sana humu.

Uwakili my ass.
Hayo ni maswali yanayohitaji akili kubwa kujibu vinginevyo unaingizwa king kama wasemavyo wacheza draft!
 
Hayo ni maswali yanayohitaji akili kubwa kujibu vinginevyo unaingizwa king kama wasemavyo wacheza draft!
Ah wapi.

Labda kwa akili yako ndo unayaona ni maswali magumu.

To some of us they are very basic.

Up your standards game.
 
As long as no rais lazima akosolewe .

Kama hawataki akosolewe kisa ni mwanamke aachie ngazi .

Hatuwezi tu kukaa kimya kisa tuna rais mwanamke eti asikoselewe HAPANA.

Kama kazi ngumu kwake akae pembeni sio kesi Wala sio hatari .

Feminists please u can't play feminism in all the cases .

Maza enu anazingua Sana siku hizi .

Kimsingi ameanza yeye "kutuzingua ,na sisi tutamzingua "
 
Back
Top Bottom