Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,583
- Thread starter
- #41
Me and you are thinking on the same wavelength!Huu mjadala niliufuatilia vizuri sana. Na kwa jinsi ambavyo nimemuelewa Fatma Karume, ni kwamba anahisi CHADEMA wanafanya wafanyayo sasa kwa Samia kwavile ni mwanamke. Akawa anasema kipindi cha Magufuli wapinzani waliufyata, ila now wanaprovoke Samia kutoka na gender yake.
Baada ya kongamano la katiba kuzuiwa Mwanza, uhamuzi wa Mbowe kwenda Mwanza kusimamia ilo swala, Fatma alilitafsiri kama dharau kwenda kinyume na kauli ya Samia ( kwavile ni mwanamke).
Fatma ni feminist.
Lissu kuna kauli yake moja niliielewa sana. "Samia ni Mama kwa watoto wake,Rais kwa sisi wengine. Kauli ya Rais sio sheria, akikosea, atakosolewa"
In a roundabout way, that [what you have described] is what she is saying!