Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Kwa kawaida mtu aliyepitia magumu kama ajali mbaya,au kukoswa koswa na jambo la kutisha kama mh .Tundu lissu , dishi huyumba kidogo au sana.kwahiyo tumsamehe tu lissu, bado hayuko sawa kisaikolojia. Mtu mwenye utimamu wa akili na mwili hawezi fanya vituko kama lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na vipi yule aliyejiita Kichaa alipata ajali ya nn? Mfano mwingine naona Kigwangala limeyumba na kuanguka kabisa dishi lake[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaambiwa hata huu mkutano wa kizushi wa hawa walioitwa viongozi wa dini umeitishwa ili kufunika Hardtalk lakini imeshindikana ! kuna tetesi next week wanaalikwa wamachinga na mamalishe
..
......hahaha Mkuu wacha tu
 
ili iweje wakijua tena siyo uovu wa nchi ni baadhi ya watu waovu waliompiga risasi ukisema uovu wa nchi ni pamoja na wewe uliyeandika nimuovu na ni adui wa lissu
Adui mkubwa wa Lissu ni rais jiwe aliyetaka kutoa uhai wa Lissu, lakini kwa sababu Mungu siyo joni haikuwezekana
 
Unaposema He did very bad in BBC unaweza kuonyesha jf alipokosea ? HARDTALK ni maswali na majibu tu , huna uwezo wa kutembea na hotuba yako , ulitaka Lissu aache kujibu alichoulizwa ili iweje ?
Hard Talk, you are given guidelines of what the questions will be like, ili ujitayarishe na pia 30 minutes kabla ya kipindi , wanakaa faragha kujuana na to break the ice, ili kipindi kiende vizuri.

Kama mwanasiasa anaetegemea kugombea uraisi, alihitajika kuonyesha makosa ya serekali yaliyopo sana na yaliyopita, na kuzungumzia mabadiliko atakayoleta iwapo atapewa fursa na chama chake.

Hujuma za kutaka kuawa zimetapakaa sana ulimwenguni, hakupaswa ku emphasize na hayo, bali angetumia muda mdogo kuli address, na angesema utawala wangu utahakikisha tendo kama hilo, halitakubalika.

USHOGQ, angesema Dini zetu na mila zetu halilikubali jambo hilo, ni vigumu kwa mwanasiasa yoyote wa Africa kulibeba hilo kwa muda huu. It took the west many decades to accept homosexuality, even today there are many in the west hawalikubali, asingepigwa na kigeugeu.

Hasira zake zilionyesha kuwa anaonyesha atakuwa kiongozi wa visasi, japokuwa sidhani kama TL ni mtu wa visasi.

Hakufanya vizuri, azitumie fursa zijazo vizuri sana, kujieleza kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunusurika kile kifo ilikuwa ni mkakati wa kiroho... Bila hivyo asingeweza kufika kote huko... Ona mwenyekiti anaozea segerea kama kibaka wakati hajala risasi hata moja... Matendo ya Mungu si ya mwanadamu...

Jr[emoji769]
Mungu yupi? Krishna?
 
Back
Top Bottom