Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.

Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira

Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine

Mwanahabari Huru
Walahi asiache jiwe juu ya jiwe walahi maana wauwaji akina Bashite washaanza kujishtukia walahi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.

Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira

Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine

Mwanahabari Huru
Lisyu mwaga mboga walahi maana watesi wako walijua utakufa walahi naskia hadi hotuba walishaiandaa walahi siku ya msiba wako walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ili iweje wakijua tena siyo uovu wa nchi ni baadhi ya watu waovu waliompiga risasi ukisema uovu wa nchi ni pamoja na wewe uliyeandika nimuovu na ni adui wa lissu
Hata wewe unajua kuwa hao wachache walipanga kumuua walitumwa na nani.
 
Presha inapanda,presha inashuka

Kwa style hii ya Mkulu ya vikao na wadau mbalimbali,Tundu atajikuta yuko pekee na wazungu...siku Mkulu akiamua kuongea na wapinzani ukumbi wa Mwl Nyerere
 
Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.

Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira

Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine

Mwanahabari Huru
Aljazira patamu maana wazee wa udakua na ukweli pia. Ila nadhani Lissu anapoteza muda tu nionavyo mimi hatarudi na kitu. Ajifunze na Kwa Morgan mpaka sasa wamesha msahau walimtumia wamepata walichokipata Morgan alibaki Zimbabwe na Zimbabwe yake.
 
Usiwe ZWAZWA wewe! Uliza usiyoyajua kabla ya kukurupuka. Kuminywa haki za raia/upinzani na mauaji nchini yanaihusu dunia.
Let me tell you one thing which makes you loose.

Leo viongozi wa dini wote walikuwa Ikulu wanampigia chapuo Rais kuwa bado miaka 7.

Nimegundua kweli ninyi mnaolalamikia kuminywa kwa demokrasia mnafanya utukutu wa kisiasa ili kumtoa relini Rais. Amewastukia na kaeleza vzr kwa ufasaha dunia nzima imeona viongozi wa dini wakiitikia kwa vichwa.

Tundu nae alishindwa kutoa evidence kwa Sackur Sasa atakae watetea nyie ni nani?.

La msingi tutakuwa na kampeni za serikali za mitaa soon na next year uchaguzi mkuu sioni wapi mtatokea sbb wazazi wetu kiroho wote wapo na Rais wakimuita majina mbalimbali ya Biblia na Koran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa hiyo itamsaidia nini?
Magufuri anaendelea kupiga kazi, ndo kwanza leo ameteta na viongozi wa dini
ushauri wa makonda ni muhimu, ni vizuri aanzie Milembe kwanza, Inawezekana akili yake imehama!
 
Aljazira patamu maana wazee wa udakua na ukweli pia. Ila nadhani Lissu anapoteza muda tu nionavyo mimi hatarudi na kitu. Ajifunze na Kwa Morgan mpaka sasa wamesha msahau walimtumia wamepata walichokipata Morgan kabaki Zimbabwe na Zimbabwe yake.
Mfano sahihi lakini Morgan alifariki mwanzoni mwa 2018 if am not wrong.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom