Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Let me tell you one thing which makes you loose.

Leo viongozi wa dini wote walikuwa Ikulu wanampigia chapuo Rais kuwa bado miaka 7.

Nimegundua kweli ninyi mnaolalamikia kuminywa kwa demokrasia mnafanya utukutu wa kisiasa ili kumtoa relini Rais. Amewastukia na kaeleza vzr kwa ufasaha dunia nzima imeona viongozi wa dini wakiitikia kwa vichwa.

Tundu nae alishindwa kutoa evidence kwa Sackur Sasa atakae watetea nyie ni nani?.

La msingi tutakuwa na kampeni za serikali za mitaa soon na next year uchaguzi mkuu sioni wapi mtatokea sbb wazazi wetu kiroho wote wapo na Rais wakimuita majina mbalimbali ya Biblia na Koran.



Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi IPI kama ile wa kino?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamuulizeni Mugabe kilicho mpata

In God we Trust
Case ya Mugabe ni kukaa muda mrefu madarakani na kibaya zaidi kutofautiana na ZANU kwenye amza yake ya kutaka kumrithisha mkewe kiti, sasa JPM ni mwaka wa3, hana shida ya madaraka wala mkewe hana haja nayo, sasa ni kivipi unafananisha na Mugabe?

JPM ni kipenzi cha watanzania zaidi ya million 55 wanamtaka JPM, 2020 hakuna kuongea ni kupunga mkono tu campaign inafungwa.
 
Unajidanganya utasubiria sana una mawazo ya kufuga mbwa kwa kutegemea makombo ya jirani. Hayo mahojiano yataisha hivyohivyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Lissu amezuiliwa na Mabeberu wanamdai pesa za matibabu kama nddge yetu ilivyozuiliwa Canada.

Mwambieni Spika akamilishe malipo ya deni kubwa sana la matibabu yake ili Mabeberu wamuachie Lissu wetu arudi Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Case ya Mugabe ni kukaa muda mrefu madarakani na kibaya zaidi kutofautiana na ZANU kwenye amza yake ya kutaka kumrithisha mkewe kiti, sasa JPM ni mwaka wa3, hana shida ya madaraka wala mkewe hana haja nayo, sasa ni kivipi unafananisha na Mugabe?

JPM ni kipenzi cha watanzania zaidi ya million 55 wanamtaka JPM, 2020 hakuna kuongea ni kupunga mkono tu campaign inafungwa.

In God we Trust
 
Interview ya kwanza BBC ilimtengeneza kajua kipi kinahitajika ili kuongea na wazungu.WAZUNGU KWENYE INTERVIEW WANAKU ATTACK MHUSIKA ILI UTIRIRIKE ZAIDI YA MOYO HUWA HAWAKAI PART YAKO WANAKAA UPANDE WA ADUI YAKO ILI UMWAGIKE MENGI TENA KWA FACTS WALA SIO MIHEMKO. HIVYO LISU ANATAKIWA AWE NA HATA USHAHIDI KWA BAADHI YA HOJA ATAKAZO ZIONGELEA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu kashindwa anaongea Na media za kimataifa Kiuswahili Swahili utafikiri anaongea Na media ya ze comedy au gazeti la udaku!! Udaku international media hauna nafasi.Lisu lawyer mzima hajui hilo? Very sad udaku mwisho media koko za Tanzania za vitoto vilivyosoma Media journalism colleges koko za uchochoroni sio international media zenye watu wenye masters Na PhD za journalism Na wenye degree za fani zingine Kama masters za law,economics , political science, business administration nk apart from their degrees in journalism.
 
siyo vichaa wote wanavua nguo barabarani wengine wanazunguuka tuuuu kuongea maneno yasiyo na maana kwa kufikiri wanamkomoa fulani lazima apimwe akili siyo bure kuna zingine zilidondokea dom
Hujiulizi yule anayeonekana kwenye tv akiwaambia watu waendelee kufyatua watoto bila mpangilio[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha siasa za ndani zinapohamia nje ya nchi. Walizuia ndani sasa tuna sikiliza kutokea nje. Kweli ukiwanyima watu uwanja wa kusemea watatafuta pa kusemea sasa yametimia.
Lissu ni akili mingi

In God we Trust
 
Back
Top Bottom