Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.

Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira

Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine

Mwanahabari Huru

----------------
View attachment 1002706
Tundu Lisu anayatangaza mafanikio ya Serikali ya Magufuli kwasababu hao waandishi wanalazimika kuyasema mafanikio ya Magufuli katika mahojiano licha ya yeye kudhani anaeleza mabaya ya Magufuli
 
MUNGU WA MBINGUNI amlinde Tindu Lissu.

Abariki kazi zake zote.

Mikono ya Watanzania wema na wenye utu ipo pamoja na Mh. Tundu Mugwahi Lissu.


Aaamin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu nimegundua hata vikao anavyofanya Jiwe wiki nzima sijui na watu wa Madini, viongozi wa dini, wachoma mikaa, wauza mayai ya kuchemsha, wauza madawa ya kuongeza nguvu za kiume ma wengine lengo ni kumzima Lissu lakini wapi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
ACHA UNAFKI NA SIASA ZENU ZA KISHAMBA HIZI.

MNATAPA TAPA TU, MARA MEMBE, MARA LOWASA KAMA VILE AKILI ZENU HAZINA AKILI KABISA.

KWANI LISU NI MUNGU HADI APENDWE KWA KILA MZUNGU KWA KUJIPENDEKEZA KWAO?

HANA MAPUNGUFU MAKUBWA TU TENA ZAIDI YA KUTETEA TUMBO LAKE BADALA YA KUTATUA MATATIZO YANAYOKUMBA JIMBONI MWAKE?

"SI KILA ALIYE NA AKILI ZA DARASANI ANA KIGEZO CHA KUWA RAISI KWA KUWA NA HEKIMA".

UONGOZI NI KIPAJI CHA HEKIMA WALA SIYO KUFAULU MASOMO YA SHERIA PEKEE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Lissu amezuiliwa na Mabeberu wanamdai pesa za matibabu kama nddge yetu ilivyozuiliwa Canada.

Mwambieni Spika akamilishe malipo ya deni kubwa sana la matibabu yake ili Mabeberu wamuachie Lissu wetu arudi Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna mkataba na hao waliojipendekeza kumtibu ikiwa walifanya hivyo kwa kuingia mkataba na TL ili awafanyie anachofanya sasa yeye aendelee tu hata km ni kuzunguka dunia nzima, hata km atabakia hukohuko km rehani abakie tu huku maisha yataendelea km kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona njaa imekupanda kichwani sasa unalazimisha uteuzi
ACHA UNAFKI NA SIASA ZENU ZA KISHAMBA HIZI.

MNATAPA TAPA TU, MARA MEMBE, MARA LOWASA KAMA VILE AKILI ZENU HAZINA AKILI KABISA.

KWANI LISU NI MUNGU HADI APENDWE KWA KILA MZUNGU KWA KUJIPENDEKEZA KWAO?

HANA MAPUNGUFU MAKUBWA TU TENA ZAIDI YA KUTETEA TUMBO LAKE BADALA YA KUTATUA MATATIZO YANAYOKUMBA JIMBONI MWAKE?

"SI KILA ALIYE NA AKILI ZA DARASANI ANA KIGEZO CHA KUWA RAISI KWA KUWA NA HEKIMA".

UONGOZI NI KIPAJI CHA HEKIMA WALA SIYO KUFAULU MASOMO YA SHERIA PEKEE.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Kunusurika kile kifo ilikuwa ni mkakati wa kiroho... Bila hivyo asingeweza kufika kote huko... Ona mwenyekiti anaozea segerea kama kibaka wakati hajala risasi hata moja... Matendo ya Mungu si ya mwanadamu...

Jr[emoji769]
 
Mwache azunguke weee kama pia ili 2020 tukimpiga kwenye sanduku duniani kote waelewe JPM ni chuma

Lissu hapati hata 10%
Sawa Bashite, wewe mlamba viatu vya Riz by then, ila alipoingia jiwe ukampa tuhuma Riz za unga. Naamini hata jiwe akimaliza enzi yake utabadilisha rangi tena, nafiki kubwa wewe!
 
Back
Top Bottom