habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Acha uzushiUsiwe ZWAZWA wewe! Uliza usiyoyajua kabla ya kukurupuka. Kuminywa haki za raia/upinzani na mauaji nchini yanaihusu dunia.
Labda Rais wa Kilimanjaro!Lumumba hawaelewi huyu ndie Raisi ajae!
Interview ya kwanza BBC ilimtengeneza kajua kipi kinahitajika ili kuongea na wazungu.WAZUNGU KWENYE INTERVIEW WANAKU ATTACK MHUSIKA ILI UTIRIRIKE ZAIDI YA MOYO HUWA HAWAKAI PART YAKO WANAKAA UPANDE WA ADUI YAKO ILI UMWAGIKE MENGI TENA KWA FACTS WALA SIO MIHEMKO. HIVYO LISU ANATAKIWA AWE NA HATA USHAHIDI KWA BAADHI YA HOJA ATAKAZO ZIONGELEA.Ni mkakati uliondaliwa na akili kubwa ilikuwa ni lazima aanze na BBC HT ili kum shapen... Now there he goes
Jr[emoji769]
Unajidanganya utasubiria sana una mawazo ya kufuga mbwa kwa kutegemea makombo ya jirani. Hayo mahojiano yataisha hivyohivyo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
This one looks like a fake account...ninavofahamu akaunti rasmi za Tundu Lissu Twitter na Instagram ni @tundulissutzMhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.
Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira
Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine
Mwanahabari Huru
----------------
View attachment 1002706
Mwache azunguke weee kama pia ili 2020 tukimpiga kwenye sanduku duniani kote waelewe JPM ni chuma
Lissu hapati hata 10%
This one looks like a fake account...ninavofahamu akaunti rasmi za Tundu Lissu Twitter na Instagram ni @tundulissutz
Asante,nawe pia.
Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.
Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira
Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine
Mwanahabari Huru
----------------
View attachment 1002706
Sina sababu ya kuja na uzushi humu, ZWAZWA wewe!
Unaposema He did very bad in BBC unaweza kuonyesha jf alipokosea ? HARDTALK ni maswali na majibu tu , huna uwezo wa kutembea na hotuba yako , ulitaka Lissu aache kujibu alichoulizwa ili iweje ?I believe he has to be well prepared, opportunity lost is opportunity lost.
He did very bad in BBC, aache umimi, ajitinge kwenye Tanzania na mambo muhimu yanayoyakabili watanzania.
Awaonyeshe watanzania kuwa anastahili kugombea nafasi ya uraisi, kwa mambo muhimu atakayoyaleta, njama zilizofanywa kutaka kumuua zinajulikana ulimwengu mzima, aonyeshe kuwa hiyo njama aitamrudisha nyuma.
Ajitinge kwenye siasa za ujumla na sio za kichama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Interview ya kwanza BBC ilimtengeneza kajua kipi kinahitajika ili kuongea na wazungu.WAZUNGU KWENYE INTERVIEW WANAKU ATTACK MHUSIKA ILI UTIRIRIKE ZAIDI YA MOYO HUWA HAWAKAI PART YAKO WANAKAA UPANDE WA ADUI YAKO ILI UMWAGIKE MENGI TENA KWA FACTS WALA SIO MIHEMKO. HIVYO LISU ANATAKIWA AWE NA HATA USHAHIDI KWA BAADHI YA HOJA ATAKAZO ZIONGELEA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa kwenye chumba cha mtihani ushafeli vibaya,mwenzako kasema RAISI wewe unakurupuka na RAIS!Labda Rais wa Kilimanjaro!
We SISIS mi huwa sikuelewi huwa account mbili moja unakandia serikali nyingine ya ISIS unasifia serikaliLisyu mwaga mboga walahi maana watesi wako walijua utakufa walahi naskia hadi hotuba walishaiandaa walahi siku ya msiba wako walahi
Sent using Jamii Forums mobile app