Nasser salum
Member
- Apr 9, 2017
- 10
- 3
CNN na Al-Jazeera navyo ni vyombo vya habari tu km kaeaida.
Sent from my 8050D using JamiiForums mobile app
Sent from my 8050D using JamiiForums mobile app
Huyu msaliti kama yuda eskariota ndiyo awe chaguo la Mungu. Hahaha just hahaha. Urais ataishia kuuona kwa macho inabidi asahau kabisaaaKaanzishe Uzi wako!
Hapa tunajadili juu ya interview ya huyu chaguo la Mungu 2020
HahahahaKaanzishe Uzi wako!
Hapa tunajadili juu ya interview ya huyu chaguo la Mungu 2020
It's correct, such platformsThey did not want facts from Tundu Lissu, they have facts, all they wanted is for Lissu to to use that platform to speak to the world about the primitive governance of one of the poorest countries of the world.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, wengi wanapigwa upofu na maendeleo ya vitu na kusahau madhila uliyopitia mwenzetu.e Jaribio lile ni sawa na kuokolewa mkononi mwa Simba.Wale waliotaka kumuua ndio wazalendo sio? Serikali na Bunge limemtupa bila hata kutoa senti ya matibabu wacha akinukishe tujue mbivu na mbichi...
Robert Kyagulanyi Ssentamu aka Bobi Wine alitangulia kupita huko.....Ni nini kilitokea kwa Uganda/Museveni!? Mabeberu sio watu wazuri, mpaka makamanda mnakubali USHOGA!
Hakuna mpinzani atakayekwenda..labda Mrema na CheyoPresha inapanda,presha inashuka
Kwa style hii ya Mkulu ya vikao na wadau mbalimbali,Tundu atajikuta yuko pekee na wazungu...siku Mkulu akiamua kuongea na wapinzani ukumbi wa Mwl Nyerere
Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.
Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira
Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine
Mwanahabari Huru
----------------
View attachment 1002706
Watu wasiojulikana mnawapenda sana? km hamwapendi watajulikana lini?[/QUOTE]Duh kiukweli mimi binafsi tundu lissu kwasasa simuelewi kabisa kwahayo anayoyafanya naanza kuamini huyu bwana sio mzalendo kweli tena hafai kabisa kwenye Jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah 2016Alishakufa Morgan
Bashite bwana wewe Magufuli na wana ccm wote munajuwa Magufuli alishindwaRais anaeandaliwa na Vyombo vya Habari vya Kimataifa. Endeleeni kujifariji maana hata 2015 wakati Lowassa anahama CCM kwenda UKAWA mlijifariji na nukuu ya Baba wa Taifa kwamba Mpinzani wa Kweli atatoka CCM. Mkajisahaulisha kuwa Tanzania ilikuwa inaongozwa na Chama Kimoja hivyo automatic Watu wote walikuwa na asili ya CCM by one way or another.
Mwache azurure Kwenye vituo hivyo hiyo ni aina ya siasa za matukio za Chadema.
Tunamsubiri nyumbani kwani Mkataa kwao ni MTUMWA.
Lingine anatakiwa kupatiwa msaada wa Kisaikolojia wa hali ya juu. Sababu ukimsikiliza anachoongea unatambua hamaanishi
Audience yake kubwa Magufuli serikali yake kuwa ya mauaji inasambaa sanaCNN na Al-Jazeera navyo ni vyombo vya habari tu km kaeaida.
Sent from my 8050D using JamiiForums mobile app
New IDs. Special roles.The guy is in payroll...Nothing will destruct our agenda...let him be another Vasco dagama