Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.

Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira

Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine

Mwanahabari Huru

----------------
View attachment 1002706
Aiseee ataua watu huku Tz si unajua hapo mabepari sio watu wazuri mkuu
 
Kidumu walahi machadrama yatapinga juhudi za jpm walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
wana elewa Ila makusudi tu... serikali ya JMT aiyumbishwi na haipangiwi...

AU walisema Congo DR waache mpango wa matokeo ya uchaguzi ni batri... baada ya maamuzi ya mahakama ikulu magogoni waka tuma ujumbe kumpongeza tshisekedi... haphapo AU wakafuta kwa maandishi hawato enda DRC... hii ndio JMT
 
Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.

Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira

Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine

Mwanahabari Huru

----------------
View attachment 1002706
Safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani matatizo yake ni matatizo ya kidunia??

Acheni uzwazwa in Zitto'z voice.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kujua umuhimu wa jambo, angalia wafuatiliaji.

Kwa mwaka mzima hardtalk ya TL ndiyo iliyovunja rekodi kwa kufuatiliwa na watu wengi Duniani. Mwendeshaji wa kipindi amekiri kuwa hardtalk yake na TL inaonekana ilifuatiliwa na watazamaji wengi sana.

Baada ya hapo, ni dhahiri stations nyingi Duniani zitataka na zitamwalika kuhojiana naye.

Alipopigwa risasi, ni Tindu Lisu kwa wiki mbili mfululizo ndiye aliyeongoza kwa kuandika na vyombo vingi vya habari kuliko binadamu yeyote.

Tunaweza kumtukana, tunaweza kumdharau, tunaweza kumdhihaki lakini ukweli ni kuwa jina la huyu mtu aitwaye TINDU LISU linazidi kupaa na kujulikana Dunia nzima.

Kuukata ukweli hakutabadili ukweli kuwa uwongo.

Mungu ana namna ya kumwinua kila mtu kwa namna yake, na wale wanaoinuka kwa kupitia magumu mengi ndio hupata umaarufu wa pekee.

Hayati Nelson Mandela hakupata umaarufu kwa sababu ya kuiongoza Afrika Kusini bali ni msimamo wake wa kukubali kukaa jela kuliko kuwa huru kwa kuwainamia wazungu. Tundu Lisu inaonekana amekubali yote, amejitoa kwa namna yoyote, ikiwa ni pamoja na kuyapokea mateso, kukosa hela ya matibabu, na huenda pengine atakubali kukosa ubunge, kuliko kumwinamia JPM ambaye wengi wanaamini ana uongozi wa mkono wa chuma. Leo Tundu Lisu hata akafutiwa ubunge, watu wakaambiwa wamchangie kumtegemeza, wapo wengi watakaomchangia, tena hiari yao ya moyo bila shuruti. Atachangiwa hata na wale wasuo nacho.

Yashikeni maneno yangu, 'katika vita hii, ni JPM atakayenyong'onyea, na siyo Tundu Lisu. Nafuu ya JPM itakuwa ni kukubali kuzidiwa kuliko kuamini atamshinda Tundu Lisu. Katika kushindana na TL, JPM atapoteza zaidi kuliko kupata'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupeni feedback ya Bobby Wine, kafaidika nini au Ug imefaidika nini na kuhojiwa ma aljazeera?
hawato ongelea hilo... na museveni anaenda badili na katiba kabisa... na wanae na familia yake wana mavyeo makubwa sana ya kupeana...
 
Nasikia na jiwe anajiandaa kufanya mahojiano na tiibiisii
Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.

Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira

Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine

Mwanahabari Huru

----------------
View attachment 1002706

In God we Trust
 
Back
Top Bottom