Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Robert Kyagulanyi Ssentamu aka Bobi Wine alitangulia kupita huko.....Ni nini kilitokea kwa Uganda/Museveni!? Mabeberu sio watu wazuri, mpaka makamanda mnakubali USHOGA!
Kwanza ID yako imekaa kishoga shoga asee!
 
sasa hiyo itamsaidia nini?
Magufuri anaendelea kupiga kazi, ndo kwanza leo ameteta na viongozi wa dini
ushauri wa makonda ni muhimu, ni vizuri aanzie Milembe kwanza, Inawezekana akili yake imehama!
Ushauri wa zero brain?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ACHA UNAFKI NA SIASA ZENU ZA KISHAMBA HIZI.

MNATAPA TAPA TU, MARA MEMBE, MARA LOWASA KAMA VILE AKILI ZENU HAZINA AKILI KABISA.

KWANI LISU NI MUNGU HADI APENDWE KWA KILA MZUNGU KWA KUJIPENDEKEZA KWAO?

HANA MAPUNGUFU MAKUBWA TU TENA ZAIDI YA KUTETEA TUMBO LAKE BADALA YA KUTATUA MATATIZO YANAYOKUMBA JIMBONI MWAKE?

"SI KILA ALIYE NA AKILI ZA DARASANI ANA KIGEZO CHA KUWA RAISI KWA KUWA NA HEKIMA".

UONGOZI NI KIPAJI CHA HEKIMA WALA SIYO KUFAULU MASOMO YA SHERIA PEKEE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu tulienaye hana hicho kipaji, lakini tunaye kwa hisani ya time ya uchaguzi ya CCM.
 
Back
Top Bottom