Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Ninyi viumbe mnasikitisha sana.Eti aache umimi!?Wakati anavurumishiwa marisaa kuna mmoja kati yenu aliye muonea huruma?Yeye anawachapa kwa hoja na maneno mnafura kama furukobe wajawazito!Tulieni.Mbona yeye alivyokuwa anarushiwa marsaa alitulia kwa kujilaza garini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mmoja wapo niliemuonea huruma na kuchangia US$100/=, kama uwezo wangu, kwenye mchango wa matibabu yake Nairobi.

Ni mwenda wazimu tuu atakayependa Mwanadamu aumizwe au kuuwawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mkakati naanza kuukubali. Mzee baba atapata tabuuu sana. Huku anahangaika na wachukua fomu ndani ya chama chake na huku anapigwa toka Ulaya, hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kiukweli mimi binafsi tundu lissu kwasasa simuelewi kabisa kwahayo anayoyafanya naanza kuamini huyu bwana sio mzalendo kweli tena hafai kabisa kwenye Jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole IQ yako iko chini mno hoja ya jibu langu sio saizi yako kwa level ya akili yako
Unachekesha, wewe una akili gani, sasa kama wewe una akili akina Sir Isaac Newton watasemaje.....!!!!! It's a pity.
 
I believe he has to be well prepared, opportunity lost is opportunity lost.

He did very bad in BBC, aache umimi, ajitinge kwenye Tanzania na mambo muhimu yanayoyakabili watanzania.

Awaonyeshe watanzania kuwa anastahili kugombea nafasi ya uraisi, kwa mambo muhimu atakayoyaleta, njama zilizofanywa kutaka kumuua zinajulikana ulimwengu mzima, aonyeshe kuwa hiyo njama aitamrudisha nyuma.

Ajitinge kwenye siasa za ujumla na sio za kichama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kubwa sana linaloikabili Tanzania ni udikteta , tukikomesha hili tutakuwa salama , udikteta ndio unaosababisha watu kutekwa na kupotea na wengine kumiminiwa risasi , udikteta ndio unaondoa haki zote za msingi
 
siyo vichaa wote wanavua nguo barabarani wengine wanazunguuka tuuuu kuongea maneno yasiyo na maana kwa kufikiri wanamkomoa fulani lazima apimwe akili siyo bure kuna zingine zilidondokea dom
Hivi kama utasihi Tundu Lissu akapimwe akili yake, hivi itasemaje kuhusiana na ile "gangsters" waliomminia zaidi ya risasi 30 ndani ya mwili wake??
 
Tatizo kubwa sana linaloikabili Tanzania ni udikteta , tukikomesha hili tutakuwa salama , udikteta ndio unaosababisha watu kutekwa na kupotea na wengine kumiminiwa risasi , udikteta ndio unaondoa haki zote za msingi
Hiyo ni kweli kabisa Madam
 
Pigeni porojo zenu sisi tufanyaka kazi ya kutekeleza Ilani ya Ccm kwa maisha bora ya Watanzania! Pumbavu!
Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.

Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira

Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine

Mwanahabari Huru

----------------
View attachment 1002706

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupeni feedback ya Bobby Wine, kafaidika nini au Ug imefaidika nini na kuhojiwa ma aljazeera?
 
Back
Top Bottom