Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Niliwaambia, huko sasa ndio atafungukaje. Wale waliokuwa na hamu ya kutajwa naona muda umekaribia kelele za mabeberu zitaanza soon.
 
Robert Kyagulanyi Ssentamu aka Bobi Wine alitangulia kupita huko.....Ni nini kilitokea kwa Uganda/Museveni!? Mabeberu sio watu wazuri, mpaka makamanda mnakubali USHOGA!
Ushoga Mahiga ndio aliukubali kwa niaba ya serikali, sio Lissu. Tafuta mtu akutafsirie vizuri yale mahojiano.
 
Hakuna kitu kinaitwa msaada toka kwa mzungu. Unaletewa ARV ,wanakuja na makampuni yao ya ujenzi, madini nk unaambiwa tusaini hivi.Kama hiyo ARV ndio biashara kabisa,sema siwez kuliongea hapa coz sio mjadala wake.Elewa hakuna kitu cha bure

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Si walipaji ninyi!Mkikopeshwa kulipa hadi ugomvi.Refer ndege za Kanada.Mnajua kukopa tu hadi neti.Kwenye madini mnapigwa chenga za mwili tu.😂😂😂😂😂
 
Kwa kawaida mtu aliyepitia magumu kama ajali mbaya,au kukoswa koswa na jambo la kutisha kama mh .Tundu lissu , dishi huyumba kidogo au sana.kwahiyo tumsamehe tu lissu, bado hayuko sawa kisaikolojia. Mtu mwenye utimamu wa akili na mwili hawezi fanya vituko kama lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,ukimuona mwana ccm pita nae mbali kabisa, anaweza kukurarua..wamepanic vibaya..BBC Hard Talk imewasambaratisha.
unaambiwa hata huu mkutano wa kizushi wa hawa walioitwa viongozi wa dini umeitishwa ili kufunika Hardtalk lakini imeshindikana ! kuna tetesi next week wanaalikwa wamachinga na mamalishe
 
I believe he has to be well prepared, opportunity lost is opportunity lost.

He did very bad in BBC, aache umimi, ajitinge kwenye Tanzania na mambo muhimu yanayoyakabili watanzania.

Awaonyeshe watanzania kuwa anastahili kugombea nafasi ya uraisi, kwa mambo muhimu atakayoyaleta, njama zilizofanywa kutaka kumuua zinajulikana ulimwengu mzima, aonyeshe kuwa hiyo njama aitamrudisha nyuma.

Ajitinge kwenye siasa za ujumla na sio za kichama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I believe he has to be well prepared, opportunity lost is opportunity lost.

He did very bad in BBC, aache umimi, ajitinge kwenye Tanzania na mambo muhimu yanayoyakabili watanzania.

Awaonyeshe watanzania kuwa anastahili kugombea nafasi ya uraisi, kwa mambo muhimu atakayoyaleta, njama zilizofanywa kutaka kumuua zinajulikana ulimwengu mzima, aonyeshe kuwa hiyo njama aitamrudisha nyuma.

Ajitinge kwenye siasa za ujumla na sio za kichama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi viumbe mnasikitisha sana.Eti aache umimi!?Wakati anavurumishiwa marisaa kuna mmoja kati yenu aliye muonea huruma?Yeye anawachapa kwa hoja na maneno mnafura kama furukobe wajawazito!Tulieni.Mbona yeye alivyokuwa anarushiwa marsaa alitulia kwa kujilaza garini?😂😂😂😂😂😂😂
 
matumizi mabaya ya fedha za chama. unless kuna mfadhili wake maalum anayegharamia hizo ziara za kwenye TV mbali mbali ambazo they have very little impact kwenye maisha ya watanzania.
If that's the case then why all this noise.
 
Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.

Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira

Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine

Mwanahabari Huru

----------------
View attachment 1002706


Maskini Makonda akiona hivi roho inaumaa na kutaka kupasuka.

Mimi ni CCM damu damu, napenda niwaambie UVCCM kuwa "when God says YES, I have chosen you" ujue hata uwange vipi chaguo la Mungu litapenya tu kwa kishindo.


Ukisikia kipindi ambacho watesi wa Lissu wanateseka ndio sasa...tutese kwa zamu wajameni.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Kweli itakuweka huru kwelikweli
 
Back
Top Bottom