Tundu Lissu, ni aibu jamani

Tundu Lissu, ni aibu jamani

Point yangu ni kuwa, asiyejuwa hata kujiongoza kimavazi atajuwa kuongoza jamii?

mavazi ndio yanaongoza watu au ni akili? Kama ingekuwa hivyo basi Nyerere asingeweza kuongoza hata kijiji cha ujamaa kwa kuwa sijawahi kumuona akiwa amevaa suti (kama unavyotaka).
 
We we we we! Mbowe mbumbumbu? Ninamashaka na uwezo wako...
 
Fox kwa kujaza thread za utumbo hajambo, sasa kuvaa vizuri kunahusu nini, huyu mtu ana majukumu sana kuliko kuvaa, kakutea wewe huweze kutoa habari nzuri na za kitafiti bila uoga wewe unajari nguo., shame on you
 
hii ni ishara kua umekosa jinsi ya kumkosoa juu ya presentation zake,kila anachosema ni cha maana.sasa ukaona huna cha kumkosoa,ukaangalia mavazi.sio mbaya,una akili sana mkuu.unachosema hakipo kabisaa,ila nadhani unatamani apendeze zaidi ili kukoleza muonekano na hoja zake nzito.ni upendo wa (indirect).nakupongeza sana,ila siku nyngize usizunguke zunguke.sema una m-admire sana in short.
 
Hili jukwaa ni la Great Thinkers, sio la fasheni! akili kubwa kujadili mtu? kujadili mavazi! aibu kwako!
 
Ukiwa mfuasi wa kile cha kijani akili zako unashikiwa. Hoja gani hii ya mavazi? Lisu ni zaidi ya wanasheria na wabunge unaowajua wewe. Sikiliza presentation zake na jinsi anavyowakalisha kina Chenge, Werema, na Pindi Chana kwenye kada ya sheria. Nafurahi kuona kuwa hata Rais wetu anamkubali ndo maana anakataa kuisaini miswada ya kishabiki na kuirudisha kujadiliwa upya. Wa kijani mnaabikaje mjengoni! Lisu wakazie ileile na watakutambua 2015
 
Yaani wewe unanshangaza sana, hivi huoni mantiki ya kiongozi kuwa "kioo cha jamii"? umezisoma links nilizoziweka kuhusu saikolojia ya mavazi? kama hujazisoma naomba uzisome utanielewa tu.

Ni kweli kuna saikolojia ya Mavazi.Mimi nikiona vazi kama la kwako Mawazo ya Ugaidi yananijia maramoja na kuanza kuchukua tahadhari.
 
Ukiwa mfuasi wa kile cha kijani akili zako unashikiwa. Hoja gani hii ya mavazi? Lisu ni zaidi ya wanasheria na wabunge unaowajua wewe. Sikiliza presentation zake na jinsi anavyowakalisha kina Chenge, Werema, na Pindi Chana kwenye kada ya sheria. Nafurahi kuona kuwa hata Rais wetu anamkubali ndo maana anakataa kuisaini miswada ya kishabiki na kuirudisha kujadiliwa upya. Wa kijani mnaabikaje mjengoni! Lisu wakazie ileile na watakutambua 2015

Hivi Pindi ni mwanasheria? Mbona haelekei? Sikujua be.
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. JDr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Unaangalia mavazi we mlimbwende?! Sikiliza material content, suti hata Zuzu nzuri na ya gharama any fool; narudia any fool can buy and wear one. BS!
 
Last edited by a moderator:
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. JDr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.
O
Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Lisu yupo kikazi zaidi Mambo ya mavazi hayana uhusiano na Utendaji wake wa kazi Cha msingi ni kujisitiri koti liwe kubwa liwe Dogo hajali kwani mavani Ndio kipimo cha nini?wangapi wanavaa smat lakini matendo Yao sio smat Jaribu kubadilika uwe unasikiliza hoja za Wabunge usikalie kuwachunguza wamevaaje vaaje kwani wee ni fundi cherehani?
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa anasaka ajila mpya kwa Spika wana JF mpigieni debe kwa Makinda ampe kazi ya kuchunguza Mavazi ya Wabunge angalau atakidhi haja yake ya Udakuzi wa Mavazi inaelekea mda mwingi huwa anachunguza wabunge walivyotupia badala ya kusikiliza Hoja zao Chezea njaa wewe.....................
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. JDr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Sikutegemea veteran kama wewe utoke na kamba kama hii jukwaani, ungeweza kukaa kimya hata miaka kadhaa uwaze kamba zinazoendana na hadhi yako, unavyoonekana na avatar yako. Yaani bungeni kote uliona koti la tundu lisu tu. kwaheri maana hauvutii tena jukwaani.
 
Back
Top Bottom