Tundu Lissu, ni aibu jamani

Tundu Lissu, ni aibu jamani

haujatulia vizur! nilizani una hoja za msingi kumbe huko kwenye mavazi. yaani hoja zote zinazozungumzwa bungeni hujapata hata hoja moja ya kuzungumzia, kwel we hamnazo. unasema freeman mbumbumbu, ujatulia.
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Kumbe mnajadili nguo za watu haya mkimaliza mnishtue
 
Sio bure umetumwa wewe !!

Tatizo lenu kubwa hamuelewi kuwa Tundu akiwa bungeni anawakilisha Watanzania.

Na Watanzania walio finyu ndio hawatathamini namna ya "kioo cha jamii" avaavyo.
 
Who are you to choose what people want to dress on
By the way hujawahi kuandika jambo lolote kenye mantic

Who am I? I am a fellow Tanzanian who is a bit more civilized than you are with a lot extra understanding on dress codes than you are.

Ever heard of power dressing?

Learn.
 
Mbona hakuna picha ya koti? tutajuaje kama sio chuki binafsi ?je wewe umevaa vizuri? some thing is a relative term unachokiona kizuri wewe mwenzio anaona kibaya na unacho kiona kibaya wewe mwenzako nakiona kizuri be specific

Chuki binafsi ili iweje?

Of course nivaavyo mimi, si wewe wala shangazi yako mnaoweza kuvaa namna hiyo.

Dressing properly is not "relative term" it is part and parcel of how civilized you are.

Remember Pinda before he became a PM? does he now wear like when he was not a PM? if different, why?
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Wewe mwenyewe hapo ulipo ni janga make hata hiyo ya chini hujaivaa na ulivyo na TINDIGA phuuu khochokhocho....
 
Ukienda shule, maana inaonesha wewe bado ni mwanafunzi, unavaa kama unavyokwenda kwa hawara yako?
yaani na bichwa lako lote hilo umebweteka makalio mbele ya Runinga, una watch TBC Kipindi cha Bunge mwisho wa siku ulichodaka ni Tundu Lisu amevaaje!!!? Kweli Bichwa lako ni Zigo hatareee!!
 
yaani na bichwa lako lote hilo umebweteka makalio mbele ya Runinga, una watch TBC Kipindi cha Bunge mwisho wa siku ulichodaka ni Tundu Lisu amevaaje!!!? Kweli Bichwa lako ni Zigo hatareee!!

Soma vizuri post yangu #1 utaona ni wangapi waliotajwa humo, jinsi ambavyo akili yako ilivyo nzuri wewe umeona Tundu tu.
 
Tazama huyu nae utafikiri koti kaazima au ndio ya "ntungulie'?

Halafu kama yeye hajui basi hata waliofatana nae hawana macho?

Ngoja niwape darsa dogo kuhusu "power dressing" ya uvaaji wa koti la suit (suti), mfundisheni na huyo mzee asitutie aibu na nyinyi wenyewe mnaoshadidia ujinga jifundisheni:

Kumbukeni haya maneno matatu; Never, Always, Sometimes na mumsomeshe Babu Dr.W.Slaa na Tundu wayaelewe.

Never; Kifungo cha chini cha koti huwa hakifungwi

Always;
Kifungo cha kati cha koti (lazima) kifungwe

Sometimes; Kifungo cha juu cha koti, saa zingine inabidi kifungwe na saa zingine inabidi kiwe wazi.

Sasa tazama huyo babu hapo kwenye picha, koti kubwa, kenda kafunga vifungo vyote. Mkisha kuwa na madaraka ya kuwa viongozi wa jamii mjifunze na kuvaa. Mbona kuna vijana wengi tu Watanzania wanajuwa kuhusu mavazi. Msitwambie magwanda wote ni mbumbumbu kiasi hiki.
 
Last edited by a moderator:
ama kweli haya mambo magumu. bado tunajaji kitabu kwa kuangalia kava lake katika zama hizi?
 
Dada yangu faizaFox TZ ilipofikia hatuangii mavazi, nchi yetu imekaa vibaya, kama kuvaa Tanzania iko uchi, imevuliwa nguo
na hao wavaa suti!!
Tunahitaji watu kama Tundu Lisu ili watukwamue!! Ipende nchi yako na WaTZ!!
 
Last edited by a moderator:
Dada yangu faizaFox TZ ilipofikia hatuangii mavazi, nchi yetu imekaa vibaya, kama kuvaa Tanzania iko uchi, imevuliwa nguo
na hao wavaa suti!!
Tunahitaji watu kama Tundu Lisu ili watukwamue!! Ipende nchi yako na WaTZ!!

Hizo ni fikra finyu kabisa. Kama uko uchi ni wewe kwa kuwa tu hujui ulipotoka. Usitukumbushe.

Mavazi leo hii Tanzania si ya kuchaguwa wala kutafuta, wabunge wanalipwa vizuri sana na si wakuvaa kijinga-jinga. Hivi mtu asiyethamini hata uvaaji wake si atakuwacha uchi daima. Fikiri.
 
Kama kuna mtu stupid nimewai kumuona au kumsikia basi wewe faizafoxy unaongoza. Badala ya kuleta hoja za maana tujadili unakuja na msvazi sijui yamefanya nini. Kwani hii blog ya udaku? Na pia kwani kule bungeni wanatafuta models au wanadiscus hoja za msingi? Hao magamba unaowasifia kuvaa vizuri alafu vilaza ka wewe kule bungeni ni tight place kwao unafikiri.
 
Tundu pia alivaa suti lakini hata kanuni ya suti haijui. Kama ilivyo kwako wewe.

Nakuuliza, umeshawahi kusikia kuhusu "power dressing"? kama bado, just google. Labda utafunguka.

Kumbe interest yako kwenye bunge siyo mtu kaongea nini ila kavaa nini. Bila shaka watu kama nyie ndo Ndugai aliwalenga pale aliposema baadhi ya wabunge wakijua watachangia hoja hujikwatua vilivyo kwani wanajua watakuwa wanaonekana kwenye luninga. Mimi huwa napenda kusikia anachosema regardless of the attire. Kweli binadamu tuna vionjo tofauti na ambavyo pia vinachangiwa na kiwango cha elimu ya mtu.
 
Kwa kwa bado u mfinyu wa mawazo hutoelewa nnachokiongea hata kidogo, lakini sitochoka kwaelemisha watu kama wewe, kama sikufanya hivyo ntakuwa sikutendei haki, ntakufundisha mpaka wewe mwenyewe amma uelewe amma ushindwe, lakini kuna siku utalikumbuka darsa la FaizaFoxy.

Pata darsa dogo hapa kuhusu mavazi (appearance):

[h=1]The Importance of Getting Your Appearance In Order[/h]
Putting more thought into your appearance is one of the easiest ways to improve your social prospects and the way people see you. It falls under the broader category of non-verbal communication. Unless you're really likable as a person, a lot of people will have a hard time looking past a sloppy exterior. And why not live up to your appearance's full potential?
Most people are pretty superficial and mentally lazy when they size others up. If you look like you have your act together, they can't help but assume you really do. The opposite is true too, if you don't look all that great, people will attribute all kinds of negative traits to you. But clean up your look, and suddenly you don't seem so bad, and they're more willing to give you a chance, even though you're the same person deep down.
This article is about the kinds of good grooming and dressing that cuts across all social groups and identities. Sometimes certain ways of dressing or styling yourself are central to a group you belong to. I'm not saying everyone has to adopt a standardized 'fashionable' uniform. I'm more talking about just looking the best you can, whatever your scene is, and not selling yourself short.

Soma zaidi: The Importance of Getting Your Appearance In Order | www.succeedsocially.com
 
Kama kuna mtu stupid nimewai kumuona au kumsikia basi wewe faizafoxy unaongoza. Badala ya kuleta hoja za maana tujadili unakuja na msvazi sijui yamefanya nini. Kwani hii blog ya udaku? Na pia kwani kule bungeni wanatafuta models au wanadiscus hoja za msingi? Hao magamba unaowasifia kuvaa vizuri alafu vilaza ka wewe kule bungeni ni tight place kwao unafikiri.

Amma kweli kama kuna watu amabao nimeona wajinga basi ni nyinyi msiojuwa maana ya "appearance".

Nakuuliza wewe, umeshawahi kusikia kitu kiitwacho "non-verbal communication". Nna uhakika hujawahi kusikia, lakini Waswahili husema "asiyefundishwa na mama'e hufundishwa na ulimwengu" na mimi ntakupa darsa labda ushindwe kuelewa wewe mwenyewe.

Soma hapa; The Importance of Getting Your Appearance In Order | www.succeedsocially.com
 
Back
Top Bottom