Tundu Lissu, ni aibu jamani

Tundu Lissu, ni aibu jamani

Tunataka watu wasafi na watanashati wa akili sio mavazi. We umeambulia kuona koti tu,? Point hujazsikia?
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. JDr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Hv kumbe rais ni Dr eh,dah nilikua sijui kaka,
 
Last edited by a moderator:
Tunataka watu wasafi na watanashati wa akili sio mavazi. We umeambulia kuona koti tu,? Point hujazsikia?

Wewe mbona huvai kitambi kama alivyokuwa akivaa babuyo? au kaniki kama bibiyo? na wala huendi bungeni, ji mitaani tu, kinakushinda nini?
 
Kavaa vizuri au vibaya haitusaidii sisi wananchi tunachojari ni mchango wake bungeni, wabunge wengi wanavaa vizuri misuti kwa misuti lakini wanaishia kusinzia bungeni nakukurupuka na NDIOOOOOOO hasijue hatakilichiongelewa yeye ni ndioooo tu.
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

hebu tupien pic zenu tuone mmelipukaje au ndio mambo y nyani haoni kundula.
 
kwan nguo na inaweza kumjaji m2 kikamilimfu! Tena kwa taarifa yako weng wanaovaa sud hawana utu na wamejaa ukatil xana
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?
Akili ndogo kuongoza akili kubwa!
 
Sidhani kama cha kuangalia pale bungeni ni mbunge alivyo vaa, mi ninachojali ni hoja na mchango wa mbunge kwa ujumla. Hata mbunge awe na suti kali kama hana mchango huyo ndio janga la taifa kwani anaonesha ni machachari zaidi kwenye kuchagua suti kuliko kutoa hoja na kusaidia walio mchagua.
 
!
!
nadhani unajua viatu kwa kimombo vinaitwaje............mwanzo mwa hilo jina tanguliza neno au herufi U........ndiyo uzi wako
 
Hilo ndilo kosa kubwa la wakuja, hamjui maana ya mavazi ni nini.

Hivi wewe ukitoka kwenda harusini, unavaa kama unavyokwenda kuogelea?
 
!
!
nadhani unajua viatu kwa kimombo vinaitwaje............mwanzo mwa hilo jina tanguliza neno au herufi U........ndiyo uzi wako

Ukienda shule, maana inaonesha wewe bado ni mwanafunzi, unavaa kama unavyokwenda kwa hawara yako?
 
kwan nguo na inaweza kumjaji m2 kikamilimfu! Tena kwa taarifa yako weng wanaovaa sud hawana utu na wamejaa ukatil xana

Tundu pia alivaa suti lakini hata kanuni ya suti haijui. Kama ilivyo kwako wewe.

Nakuuliza, umeshawahi kusikia kuhusu "power dressing"? kama bado, just google. Labda utafunguka.
 
Kavaa vizuri au vibaya haitusaidii sisi wananchi tunachojari ni mchango wake bungeni, wabunge wengi wanavaa vizuri misuti kwa misuti lakini wanaishia kusinzia bungeni nakukurupuka na NDIOOOOOOO hasijue hatakilichiongelewa yeye ni ndioooo tu.

Wewe hata Kiswahili vizuri hukijui, sitegemei kama umeshafunguka fikra zako kufikia kiwango cha kuelewa mavazi ni nini.

Siwashangai watu kama wewe, huo ndio ufinyu na utofauti mkubwa uliopo baina yetu. Umeanza kuvaa viatu ukiwa na miaka mingapi?
 
Mbona hakuna picha ya koti? tutajuaje kama sio chuki binafsi ?je wewe umevaa vizuri? some thing is a relative term unachokiona kizuri wewe mwenzio anaona kibaya na unacho kiona kibaya wewe mwenzako nakiona kizuri be specific
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

We mbona unavaa chupi oversize...tunakustahi tu ..mititi kama matikiti maji
 
Sidhani mwonekano wa nje wa mtu kimavazi unaweza kuwa ndiyo mwonekano wake wa ndani! Utaonekana umependeza kwa kuvaa suti nzuri kwa nje kumbe ndani yake shati,chupi na soksi uliyovaa vimetoboka!
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Who are you to choose what people want to dress on
By the way hujawahi kuandika jambo lolote kenye mantic
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Sio bure umetumwa wewe !!
 
Hivi mbona watu wanapenda sana vijimaneno maneno?eti mbowe mbumbu angekuwa hivyo engeaminiwa na wananchi?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom