Tundu Lissu, ni aibu jamani

Tundu Lissu, ni aibu jamani

Not good enough, hata mahakamani kuna dress codes zake, halikadhalika bungeni pia. Kumbuka hilo.
Dress code si ndio koti km limemvuka thats another story lkn amekidhi vigezo. Unamkumbuka mzee Tyson??? Mbona ht BMW siku zote makoti yake sio size yake? Ht angeenda na bukta yenye tobo poa tu.
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?
Ni kweli lakini inakuhusu nini?
 
Smart clothes can no be like Smart Brains Bibi Faiza Foxy, GA Werema aliwahi kumwambia Lisu kuwa hajui kufunga tai, then Lisu akamjibu ni kweli hajui kuvaa vizuri lkn yeye(Werema) he Zero in his brain!!! Bibi njoo nursery tuimbe wote;
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Nadhani we ndie mbumbumbu mkuu.. unadhani bunqe ni fashion show!!
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?
hoja yako ni kama pumba za mchele......
 
Swala la mavazi du!!anaweza ukavaa vizuri kama bashite alafu kichwani umevaa vibaya(akilini)
 
Bibi si useme tu kama unampenda Lissu , muombe uwe mke wapili ili upate nafasi nzuri ya kupangilia mavazi yake.
 
""KUMBE KUNA WATU MATUSI KWAO YANAWAPENDEZA KAMA SUTI."" HAYA BWANA YAOGE HAYO""
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?
tutakuita kwenye kamati ya nidhamu ikuhoji lugha unazotumia humu zina ukakasi .
 
Heshima ya Mbunge ni Hoja

Unataka awe smart kwa suti za kuhongwa na wawekezaji kama ilivyotokea kwa mkuu wa nchi kama ilivyoripotiwa na Wikileaks?

Aliishia kuuza nchi kwa gharama ya suti.Ana tofauti gani na chifu Mangungo aliyeuza ardhi kwa Carl Peters na yeye kupewa Shanga?Afadhali Mangungo anaweza kujitetea kuwa hakua na formal education na exposure ya kutosha.Lakini Rais wa nchi wa karne hii!Gimme a break ! ! !

Anyways,Sijui Mangula na Bahama yake na Swagger za raba za Bazouk Chini alipohudhuria pale Ikulu unamuweka wapi kwa fikra zako hizi.?
Ulale pema peponi
 
Juzi tena kaenda bbc na three piece suit. Imagine, suti ya sherehe anakwenda kufanyia interview!
 
Back
Top Bottom