Kioo cha Jamii ktk muono gani FF? Aina ya mavazi- suti, lebo ya mavazi anayovaa, au jinsi yanavyomsitiri?
Kwa mavazi ya Mh. Rais alipowakaribisha wapinzani, how can you define his suit? Kwa mavazi ya shati la kitenge na suruali ya kitambaa na viatu vya 'sandoz' visivyo vya mkanda vya Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Mangula, how can you define him?
Kisa cha kumfananisha mwenzio maiti angali yupo hai ni nini?nina pata shida na busara zako,
Nitaja kukufanyaga nyumba ndogo tu wewe!
Lakini jaribu kurekebisha kauli yako mwehu wewe!
Ulitaka uione kwa nani ndo ujue huo ni mtindo waliochagua. BTW ni furaha kwa jf kuwa na mtaalamu wa mavazi wa aina yako
Point yangu ni kuwa, asiyejuwa hata kujiongoza kimavazi atajuwa kuongoza jamii?
Nna uhakika mtu kama wewe na wenzako humu hamjui hata maana ya "Never, always, sometimes".
Haya nenda katumie google uje kuwaelimisha na wenzako, maana mnaona shem kupewa darsa la mavazi na FF.
Ukishaijuwa maana yake, nenda kamfundishe Tundu na Slaa.
Mwehu ni wewe usiyejuwa maana ya mavazi.
Wewe unajuwa hata kufunga tai unapokwenda kwenye intavyuu? au mpaka umtafute jirani aje kukufunga?
Nna uhakika mtu kama wewe na wenzako humu hamjui hata maana ya "Never, always, sometimes".
Haya nenda katumie google uje kuwaelimisha na wenzako, maana mnaona shem kupewa darsa la mavazi na FF.
Ukishaijuwa maana yake, nenda kamfundishe Tundu na Slaa.
Point yangu ni kuwa, asiyejuwa hata kujiongoza kimavazi atajuwa kuongoza jamii?
tuma picha sijaona
Maiti ndio huvalishwa, ikiwa ndogo, ikiwa kubwa, twende tu. Nyinyi hamvalishi maiti zenu suti? ni nani anae wapima?
Sasa huyo tundu kauvaa mkoti mkubwa kuliko yeye mwenyewe, alivalishwa kama maiti?
Wajinga ni nyinyi msiojuwa maana ya mavazi, hususan kwa kiongozi.
Mnachokitetea ni nini? jitu livae kama ni maiti kavaliswa tu, halafu anakwenda kulitangazia taifa halafu mnaona sawa tu?
Hivi nyinyi mkiitwa misukule kumbe ni kweli.