Tundu Lissu, ni aibu jamani

Tundu Lissu, ni aibu jamani

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,802
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. JDr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Heshima ya Mbunge ni Hoja

Unataka awe smart kwa suti za kuhongwa na wawekezaji kama ilivyotokea kwa mkuu wa nchi kama ilivyoripotiwa na Wikileaks?

Aliishia kuuza nchi kwa gharama ya suti.Ana tofauti gani na chifu Mangungo aliyeuza ardhi kwa Carl Peters na yeye kupewa Shanga?Afadhali Mangungo anaweza kujitetea kuwa hakua na formal education na exposure ya kutosha.Lakini Rais wa nchi wa karne hii!Gimme a break ! ! !

Anyways,Sijui Mangula na Bahama yake na Swagger za raba za Bazouk Chini alipohudhuria pale Ikulu unamuweka wapi kwa fikra zako hizi.?
 
Last edited by a moderator:
Heshima ya Mbunge ni Hoja

Unataka awe smart kwa suti za kuhongwa na wawekezaji kama ilivyotokea kwa mkuu wa nchi kama ilivyoripotiwa na Wikileaks?

Aliishia kuuza nchi kwa gharama ya suti.Ana tofauti gani na chifu Mangungo aliyeuza ardhi kwa Carl Peters na yeye kupewa Shanga?

Wa msovero,aibu MR DHAIFU
 
mangungo analakujitetea
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. JDr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Pumba tupu, hata ujipendekeze vp ubalozi hupati nyambafu
 
Last edited by a moderator:
angalia hoja usiangalie koti, mbona kina john komba wanavaa suti kali lakini hakuna kitu?
 
Mbona hujaweka picha tuone wewe pi.mbi? Vipi ulimwona Filipo Mangula shati alilovaa pale IKULU siku mh.rais alipokutana na viongozi wa vyama vya siasa?mbona huku sema?wivu mwingine hauna maana!au we ni gamba nini umekerwa na pointi alizokuwa akitoa mh. Lissu bungeni leo?
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. JDr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

unaonaje ukawe mke mdogo ili uweke mambo sawa?????????????????????????????????????????????????????????????
 
Back
Top Bottom