FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
- Thread starter
- #81
Yaani nilikuwa namuhusudu huyu dada kwa hoja ila nadhani kuna mtu huwa abatumia ID ya Faiza Foz, Faiza Fox niliyemjua hakuwa hamnazo kiasi hicho cha kufikia hatua ya kutoa hoja kuhusu uzuri na thamani ya mavazi ya Wabunge, tena kwenye Jukwaa la Siasa!
Yaani wewe unanshangaza sana, hivi huoni mantiki ya kiongozi kuwa "kioo cha jamii"? umezisoma links nilizoziweka kuhusu saikolojia ya mavazi? kama hujazisoma naomba uzisome utanielewa tu.