Tundu Lissu, ni aibu jamani

Tundu Lissu, ni aibu jamani

Wewe ni mjinga wa fikra kwani bungeni wanaenda kufanya fashion show?ur pathedic

Mjinga wa fikra ni wewe, kwani wewe unapovaa smart unakwenda kufanya fashion show? kila sehemu na uvaaji wake stahiki.

Unakwenda kuvaa mkoti kama umelazimishwa kuvaa, maana yake kwa kiongozi?

Inaonesha kuwa huyu kiongozi hayuko makini na shishangai nyie mnaotetea kuwa ni wavivu wa kufikiri na wavivu wa kuusema ukweli.
 
Mbumbumbu ni huyo anayeongelea WATU, si MAMBO! Mbumbumbu ni yule anayeongelea MAVAZI, si MANENO yanayosemwa na watu! Umechemkaaaaaa!

mvavzi ni muhimu sana kwa kila mtu hususan kiongozi. Tatizo lenu kunwa ni kuwa shule yenu ni dhaifu na hamuwezi kuuona umuhimu wa mavazi.

Wengine nyie hata suit mnavaa siku mkialikwa sendoff tu, tena ya kuazima. Mtajuwaje nidhamu ya mavazi muafaka.
 
Jaman kumjibu huyu cjui Faiza cjui nani, ni kama kupoteza muda, nakumbuka nimewai kuzinguana nae humu kwa thread zake hiz za kijinga.

Kwanza mjue hapa si suti, hapa ni udini ndo ametanguliza, Dunia yale hii mtu mdini ni -------- kuliko wote.

Ni sawa na wale wanaosema hapa daily eti mfanya biashara maarufu tanzania ni Dini yetu, kweli, sasa akiwa Dini yenu ndo tiketi ya peponi?

Binafsi ckuchukii faiza ila najua misingi ulionayo ndo inakutesa, huna tofauti na wanaoua wenzao kisa Dini, wakati hata iyo pepo hakuna alieenda nakurudi kuwaambia nimepokelewa kwa shangwe kwa kuua watu.

Bila shaka ka issue ingekua suti tu, usingekuja na akiba alfan cjui nani hapa.

Namlaan alie walisha ujingaa huu, ingawa nae kesha kufa.

Wajinga ni nyinyi msiojuwa maana ya mavazi, hususan kwa kiongozi.

Mnachokitetea ni nini? jitu livae kama ni maiti kavaliswa tu, halafu anakwenda kulitangazia taifa halafu mnaona sawa tu?

Hivi nyinyi mkiitwa misukule kumbe ni kweli.
 
hata wewe hilo lihijabu lako sio kila mtu anapenda, kwani alikuwa uchi?
 
Yaani wewe unanshangaza sana, hivi huoni mantiki ya kiongozi kuwa "kioo cha jamii"? umezisoma links nilizoziweka kuhusu saikolojia ya mavazi? kama hujazisoma naomba uzisome utanielewa tu.

Kioo cha Jamii ktk muono gani FF? Aina ya mavazi- suti, lebo ya mavazi anayovaa, au jinsi yanavyomsitiri?

Kwa mavazi ya Mh. Rais alipowakaribisha wapinzani, how can you define his suit? Kwa mavazi ya shati la kitenge na suruali ya kitambaa na viatu vya 'sandoz' visivyo vya mkanda vya Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Mangula, how can you define him?
 
.........kama ni fashion hazijaanza leo, kama ni trend, kwa sasa hakuna trend ya kuvaa mikoti mikubwa kuliko kimo, nimeona hilo kwa Slaa na Lissu tu.

Ni kutokuwa na muono wa mavazi? au u mwanjomwanjo? au dharau? au ni ulimbukeni? au ni nini haswa?

Ulitaka uione kwa nani ndo ujue huo ni mtindo waliochagua. BTW ni furaha kwa jf kuwa na mtaalamu wa mavazi wa aina yako
 
kwani we p.e.d.i. zako unazovaa kila mwezi unapokuwa u.nableeeeee..d zinakupendeza? mbona si hatujakuanzishia sired humu kukuuliza? hebu tutolee upuuzi wako hapa
 
tundu lisu anawapasua watu vichwa balaa wamemshindwa kwa hoja sasa wanamchambua mavazi duh
 
"mp.u..m..bav..u" ni wewe ambae huujui umuhimu wa mavazi stahiki.

Wewe ndio wale mnaotoka asubuhi na kanga moja za wake zanu nje ya nyumba na kopo la maji la kupigia mswaki.

Nitaja kukufanyaga nyumba ndogo tu wewe!
Lakini jaribu kurekebisha kauli yako mwehu wewe!
 
huyu nae janga la Taifa kuponda tu ushabiki mwingi wa kidada Simiyu Yetu unazingua kiukweli
 
Last edited by a moderator:
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. JDr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Acha upumbavu
 
Last edited by a moderator:
Wajinga ni nyinyi msiojuwa maana ya mavazi, hususan kwa kiongozi.

Mnachokitetea ni nini? jitu livae kama ni maiti kavaliswa tu, halafu anakwenda kulitangazia taifa halafu mnaona sawa tu?

Hivi nyinyi mkiitwa misukule kumbe ni kweli.

Kisa cha kumfananisha mwenzio maiti angali yupo hai ni nini?nina pata shida na busara zako,
 
Kuzitumikia buku saba za Lumumba ni shida sana, hadi zinafanya watu wawe kama hamnazo humu jukwaani, kuendekeza njaa ni kubaya sana.
 
sio bure lazima umelogwa,kinachokusumbua ni umalaya wako na utasukumwa kweli,unampima mtu kwa koti la suti....

Usimlaumu sana. Wewe unajua pasipo kuandika negatively kuhusu CDM hata kama jambo lenyewe halina maana hawezi kulipwa. Hana hasara kwa kuwa kwa kuandika tu hivyo mkono umeingia kinywani. Msamehe bure kwa kuwa hilo halimwathiri Lissu.
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. JDr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

sijaendelea kusoma lakini wewe ni MSENGEnyaji.
 
Nini point yako hasa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom