Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,157
- 4,456
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.
Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.
Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. JDr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.
Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.
Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?
Unajua nilidhani umekuja na hoja za maana za kumfanya Lisu awe aibu, aibu niwewe uliye potoshwa misikitini kuonyesha chuki zako za kidini kiasi hiki mjinga wee, kikwete na Zito wana lipi lamaana kumshinda Lisu? mavazi au dini zao? Pumbaf