ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,578
Hahahaha hii kali walahi!Tundu lisu ni janga sugu la wazawa.

Hahahahaback when everything was fine
Hahahaha huyu lazima ndiye mentor wa NgoshaTupia njuti alizofaa daktari wa kanoni kwenye matembezi:
![]()
HahahahaTupia njuti alizofaa daktari wa kanoni kwenye matembezi:
![]()
Mbona yule chizi wa white milembe anapiga suti kali ila kichwani amna kitu kabisa ujamsemaHivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.
Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.
Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.
Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.
Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?
Appearance muhimu hata kwa vigezo vya dini. Kumbuka hilo.Kunawatu vichaa alafu hawajijui kama ni vichaa moja wao ni huyu dada anayejiita faizafoxy unawezaje kujinasibu wewe ni mchamungu kwa kuvaa hijabu wakati kwenye nafsi yako ni mshirikina mchawi adui wanafsi kama unataka maonyesho ya mavazi nenda kwenye sehemu husika sisitunata hoja zilizoshiba sio mavazi
Una mambo wewe....mbona goti linakataa kupanda?Tupia njuti alizofaa daktari wa kanoni kwenye matembezi:
![]()
Tundu lisu ni janga sugu la wazawa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ha ha ha SIX MENO NDANI YA IKULU!unanikumbusha zile enzi za njumu za akina romario,bebeto ukivaa zile hata kama hujui kutuliza ball namba tisa yako, mbavu zangu kule!!!!
Si bure....utakuwa ktk kipindi!Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.
Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.
Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.
Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.
Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?
We tezi dume, mavazi Kitu gani,mavazi ya kibunge yanaeleweka ndio yupo ndani amekidhiHivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.
Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.
Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.
Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.
Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
unaonaje ukawe mke mdogo ili uweke mambo sawa?????????????????????????????????????????????????????????????