Tundu Lissu, ni aibu jamani

Tundu Lissu, ni aibu jamani

Tuondolee upuuzi!! Unachojua ni kupaka udi na kutawaza kusubiri bwana!!! Nyambafuuu
 
Bunge lina utaratibu wa mavazi. Kama amekikuka basi hataingia bungeni. Vinginevyo mavazi sio mhimu kwetu wananchi. Sisi tunataka HOJA.
 
Hilo ndilo kosa kubwa la wakuja, hamjui maana ya mavazi ni nini.

Hivi wewe ukitoka kwenda harusini, unavaa kama unavyokwenda kuogelea?

Wakuja Ndio nini?kwani wewe ni wa kukaa a ni wa kwenda?mie nakuona wewe ni wa kusubilia tu huna Hoja hii dhana ya kudhani ukizaliwa Dsm unajua kuvaa ni Mawazo analojia sana Wazawa wa Dar kwa asilimia kubwa hawana Maendeleo Nenda Masaki,oyesterbay,Mikocheni,na mbezi Wamiliki wa Majumba ni Wakuja wote Tambua wakuja ni Mjanja kuliko Mzawa angalia wazawa wote wapo Kisarawe na wanazidi kwenda mbele .mavazi ya Mtu si kipimo cha Uadilifu wapa watu Nadhifu lakini matendo ni kinyume na Muonekano wao
 
Hizi ni Tabia za Kumhukumu Mtu kulingana na Uvaaji wake Ndio zimepelekea sisi watu Weusi kukosa Kujiamini eti kwa kigezo cha Kusema sijui nitaonekanaje na Ndio Maana Wazungu wanapata huduma haraka kwenye Mahotel ya Kitalii hata Kama wamevaa hovyo hovyo lakini Mtu mweusi akivaa Kama alivyovaa huyo Mzungu anaonekana Wa ajabu na kubaguliwa Hii Tabia mbovu imefika mda sasa ikome watu wajikite kwenye maendeleo zaidi kuliko kuchunguzana kimavazi kiasi cha kuwapelekea baadhi ya wanawake kwenda kukopa nguo ili waonekane tu pasipo kujali wanaiyumbisha bajeti na kuingia kwenye Vishawishi Vibaya
 
Sema wengine ila siyo mnadhimu mkuu wa chama! Lile ni jembe, kamuulize huyo mnayemwita mwanasheria mkuu wa serikali maana anajua swaga za Lisu!
 
hatakama angeingia na koti la jinsi haina shida,ishu atuwakilishe vizuri, gamba mkubwa wee.
 
Wakuja Ndio nini?kwani wewe ni wa kukaa a ni wa kwenda?mie nakuona wewe ni wa kusubilia tu huna Hoja hii dhana ya kudhani ukizaliwa Dsm unajua kuvaa ni Mawazo analojia sana Wazawa wa Dar kwa asilimia kubwa hawana Maendeleo Nenda Masaki,oyesterbay,Mikocheni,na mbezi Wamiliki wa Majumba ni Wakuja wote Tambua wakuja ni Mjanja kuliko Mzawa angalia wazawa wote wapo Kisarawe na wanazidi kwenda mbele .mavazi ya Mtu si kipimo cha Uadilifu wapa watu Nadhifu lakini matendo ni kinyume na Muonekano wao

Hata Nyerere alikuwa wakuja kama wewe, alikuwa akivaa Kaptura (siku hizo fashion ya Kiingereza). Wazee wa Dar wakamvua wakampa Suruali.
 
Hata Nyerere alikuwa wakuja kama wewe, alikuwa akivaa Kaptura (siku hizo fashion ya Kiingereza). Wazee wa Dar wakamvua wakampa Suruali.

mbona hii ngano mkuu wenu wa ngano mzew Mohamed Said alishaikanushaaa... inamaana nyeree huko edinburg na makerere kote alikuwa hajui kuvaaaa suruali. Acha matusi na hila za kidini wewe mpuuuz
 
Last edited by a moderator:
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

wewe umafaa kuwa mwenyekiti wa jukwaaa la urembao , mavazi? what is it? p.u.m.b.a.f.u akili yako fupi kama ulivyo.
 
Faiza Fox,

Jaribu ukae ufikirie maisha yako na ya watanzania kwa ujumla. Mimi si mshabiki wa siasa na sitaweza kuwa kwa sababu kitaaluma mimi ni mtendaji zaidi kwa maana ya utaalamu. Lakini mimi ni msomaji wa siku nyingi wa jukwaa hili ingawa nimejiunga hivi karibuni.

Kimsingi nimegundua mambo mengi ya ajabu kwa kusoma hoja za wachangiaji. Mara nyingi katika mambo ya siasa kuna kuwa na ubishani mkubwa kati ya wapenzi wa CCM na CHADEMA. Cha kushangaza, kama ilivyo katika Bunge letu la Jamhuri mara nyingi na hata ukipitiam sasa kwenye threads zilizopita, hoja za vijana wa CHADEMA zina mshiko kuliko vijana wa CCM. Mimi sijui ukweli wa mambo juu ya vijana wa CCM, lakini humu nimegundua kwamba wamepewa jina la buku saba. Kama kweli mnalipwa buku saba basi hizo pesa hamstahili hata kidogo na huyo anawasimamia kuhakikisha kwamba mnapambana kwa hoja, bila shaka ameshindwa kazi. kwani mara nyingi kama ni wewe Faiza Fox, hoja zako hazina mshiko hata siku moja zaidi sana umejaa ushabiki ambao sidhani kama unakusaidia lolote.

Pengine wewe mwenyewe huna elimu ya kutosha na labda hata nduguzo hawana. Ni vizuri katiaka siasa kuangalia mustakabali wa taifa zaidi kuliko maslahi ya siku moja ambayo hayana maana yoyote hata kwako mwenyewe. CCM kweli ni chama tawala laikini, kina matatizo kiasi kwamba leo hii, mtanzania hata awapo nchi myingine hana tena ile hamu ya kujiita mtanzania kwa sababu ya uchafu mwingi kwa kushindwa kwa utawala uliopo. Nimeanza kusafiri kwenda nje mwaka 1994. Siku hizo mtanzania hata anapopita kwenye sehemu za ukaguzi kwenye viwanja vya ndege alikuwa hatiliwi shaka na hata wakaguzi walikuwa wakikagua tu kwa sababu ya kutimiza wajibu wao. Leo hii mtanzania ni mtuhumiwa namba moja kila aendako akihisiwa kuwa na madawa ya kulevya au meno ya tembo. Kumbe unapokipenda sana chama chako ni vema basi uwaonye pia pale wanapokosea.

Ninachokiona sasa kwa sababu wewe lengo lako ni kumuonyesha anayekusimamia kwamba umechangia, umeacha masuala ya maana hata kuingia kwenye mavazi. Wako walio anza na maisha binafsi ya wanasiasa. Lakini walichosahau nmi kwamba hata wanasiasa wanaowashabikia hawako safi kama wanavyotaka wasomaji wa jamvi hili waamini. Kwa uweliwa moyoni mwako, ebu niambie mwanasiasa wa CCM ambae si mzinzi! Unapo ongelea mavazi, unakumbuka jinsi Makamu Mwenyekiti wa CCM bara alivyo vaa siku viongozi wa vyama vya upinzani walipo alikwa ikulu? Jamani nchi ni zaidi kuliko chama chchote hata kama ni chama tawala.

Tufikirie maisha yetu na ya vizazi vijavyo. Njaa ya leo isitufanye tusahau kwamba kuna baadaye. Nikisoma michango yako, mimi nakufananisha na Simiyu Yetu na mtu mmoja wa ajabu kabisa anayekwenda kwa jina la Lukosi, bila kumsahau Ritz ingawa yeye haongei maneno mengi.

TANZANIA NA WATANZANIA KWANZA, VYAMA BAADAE
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Bi dada umenivunja nguvu kabisa, kweli umenipotezea muda wangu wa kufungua na kusoma kitu ambacho hakina mantiki yeyote. Mavazi ni mavazi tuu, hap hamna aibu yeyote. Badilika dada.
 
Mental slavery! Or being in a stupidity shell. In 21st century, we still have citizen discuss individual in preference of national issues
 
Upuuzi tu, mbona hatukumponda Mbowe na tumemsifu?

Nawashangaa sana mnatetea ujinga wa kutokujuwa kuvaa.

Najua hapo wajitetea mtaattack kwa kila mbinu ikishindika hata kwa mambo ya kibinafsi la suti likisha utasikia haha mkewake hajui kuvaa
 
Back
Top Bottom