Tundu Lissu, ni aibu jamani

Tundu Lissu, ni aibu jamani

Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Uliposema aibu mi nilijua katembea uchi kumbe ni koti tu!!!......... Pumba tupu
 
Wewe unaona pumba kwa sababu nna uhakika hujui maana ya mavazi ni nini? hivi, ulianza kuvaa viatu ukiwa na miaka mingapi?
 
Hao wa CCM na masuti yao makubwa makubwa ya bei mbaya kumbe ni vabaka waandamizi (common criminals)
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?

Ajifunze kwa kikwete kuhongwa suti na wazungu????
 
Porojo? yaani we HUJUI kwamba hii ni quotation tu. Mi naheshimu sana fikra na mawazo ya wengine. Am sorry to let u know that am not ready to engage in such arguments

The listener - ex detective
 
Teh teeee mtoa post ni yule anayezani kwenda kwenye interview na misut ndiyo kupata alichoenda kutafuta.mkuu wahenga walinena mavazi siyo utu.
 
Ooh 'foxy" Fox has come up with a thread. Hivi huna jambo lingine la maana zaidi la kupost kuliko koti la Lissu? With all your education !
 
Ila na wewe kuna siku nilikuona ITV nikaweka na picha zako hapa jamii wakaziondoa....ebwana una sura mbaya afu umekondeana kama muhindi aliyefilisika.
Ilikuwa siku ile ya kuapishwa magufuli
 
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.

Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.

Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. Dr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.

Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.

Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?
Nilijua tuu aliyeleta mada ni dada,,,, nilishswah kuwa na mpenz nikichomekea anasema kama mzee,,,
Yan tundu lisu atakama angevaa lubega ilimrad kaficha uchi
 
Tupia njuti alizofaa daktari wa kanoni kwenye matembezi:

14c.jpg
 
Kunawatu vichaa alafu hawajijui kama ni vichaa moja wao ni huyu dada anayejiita faizafoxy unawezaje kujinasibu wewe ni mchamungu kwa kuvaa hijabu wakati kwenye nafsi yako ni mshirikina mchawi adui wanafsi kama unataka maonyesho ya mavazi nenda kwenye sehemu husika sisitunata hoja zilizoshiba sio mavazi
 
Back
Top Bottom