Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

Mwenye akili hawezi kuwa relevant kwa mwendawazimu.

Kuna wakati, TL kwa wiki zima amekuwa akiandikwa na vyombo vya habari vya Dunia nzima, positively, kuliko mwanadamu yeyote. Kama hujui kuwa TL ni maarufu kiasi hicho, huo ni ujinga wako. Hakuna wa kukusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tueleze pia kama 'udikteta' nao ni "uongozi wa kisiasa."

Kama unadhani "kosa kubwa ni kwa wale waliomshambulia" na kumfanya aendelee kuwa relevant, huoni kwamba unajichanganya kudhani kwamba alikosea kwa kuwa "mwanaharakati" ambaye unakiri bado yupo relevant?

Tueleze kosa lake ni nini hasa.
Ni kwa sababu wafuasi wake mnapenda kutumia neno dikteta bila kujua maana yake halisi; kiongozi hawi dikteta kwa vile tu hukubalini naye au anasimamia sheria halali kwa njia inayokuumiza wewe. Kama Lissu asingekuwa ameshambuliwa, leo hii angekuwa kama viongozi wengine wa upinzani ambao siyo relevant tena- kwa mfano Mbowe na Zitto, ila kushambuliwa kwake kumempa sauti zaidi, na hata wakati wa kampeini zake za uraisi ulimsikia akitumia shambulio hilo kila mkutano; na hata huko aliko anazunguka na kusikilizwa kwa kwa sababu ya shambulio hilo hilo hilo.
 
Lucifer ni huyu tulie nae kwa sasa ambae ameifanya nchi hii imekua ya ovyo, kila mmoja analia si vijana, wazee, wakina mama na watoto. Kazi yake ni ubabe na kuua ndicho huyu Lucifer alichotumwa.
Ni wewe na wenzako wachache ndio mnaollia....sisi wengine kwa mamilioni tunaifurahia Hali hii ya Sasa...nyie mliozoea ufisadi na utapeli imekula kwenu...mnateseka Sana kwa kweli...na akiondoka huyu wa Sasa atakuja kiboko zaidi...
 
Mtu mmoja,aliyeweza kuitetemesha system nzima ya nchi,vyombo vya Dola,police,Jeshi,na Intelligensia,hata kumuua vilishindwa,ccm wslikimbizwa mchakamchaka huku mishuzi inatoka,hata propaganda zikawashinda,badala yakujibu hoja,wakstumia risasi,Napo wakanoa,
 
sawa.. mwambie tumepokea salamu.. ila atusalimie kwa French siku ingine.. hajajifunza ya nchi yake mupya? au tutachangishana ajifunze.. :D
Ungemwambia Magufuli kwa kuwa Kingereza kimemshinda labda angejaribu kujifunza Kifaransa aweze kuwatembelea na kuelewa a na Wanyarwanda, Warundi na Wakongo atoke kidogo Chato abadili upepo asiwe Musukuma tu kama Mayalla ingawa hana njaa. Lissu hana shida anajua lugha ndo maana anatembelea Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Marekani hata Kenya!
 
Ni kwa sababu wafuasi wake mnapenda kutumia neno dikteta bila kujua maana yake halisi; kiongozi hawi dikteta kwa vile tu hukubalini naye au anasimamia sheria halali kwa njia inayokuumiza wewe
Huu ndio upuuzi ulionao ambao uliuficha huko nyuma.

Ni wapi uliposoma nimeandika kuwa "nimfuasi" wa Tundu Lissu.

Tena unakuwa mpuuzi zaidi unaposhindwa kujua kuwa huyo mtu wako ni "dikteta", eti kwa vile hatujui "maana yake halisi".

Eti "anasimamia sheria halali kwa njia inayokuumiza wewe." Hata huna aibu kuandika upuuzi kiasi hiki? Sheria halali haiwezi kumuumiza yeyote, kwa sababu sheria zinatungwa kusimamia 'HAKI' na sio 'KUUMIZA' watu.

Ulipotetea ujenzi wa uwanja ule wa kimataifa huko kijijini, hapo ndipo nilipojua wewe ni mpuuzi kama hawa wengine wanaoshinda hapa JF wakitetea upumbavu.

Unadhidi kujidhalilisha, kama kweli unacho kisomo cha ngazi yoyote ile; kitu unachojibainisha nacho ndani ya jukwaa la JF.
 
Ukiwa ndani ya nyumba usizarau kelele zinazotoka nje kwani zinaweza kukusaidia zaidi kuliko wafariji ulionao ndani.
 
Ungemwambia Magufuli kwa kuwa Kingereza kimemshinda labda angejaribu kujifunza Kifaransa aweze kuwatembelea na kuelewa a na Wanyarwanda, Warundi na Wakongo atoke kidogo Chato abadili upepo asiwe Musukuma tu kama Mayalla ingawa hana njaa. Lissu hana shida anajua lugha ndo maana anatembelea Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Marekani hata Kenya!

eti ni nini hiii maana ya pumba?
 
Back
Top Bottom