Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,787
Kwani na wewe umempotezea ?
Mimi siwezi mpotezea Tundu Lisu, ndo maana nimekuja kumpa tafu ili angalau tujaze kurasa, usisahahu kunijibu ili nikujibu angalau tufike mbali kidogo, ...
Kwani na wewe umempotezea ?
Maana 'kibelgiji'/ dutch simasihara kwa mutu ka Antipasu, mutu ya ujanja ujanja!sawa.. mwambie tumepokea salamu.. ila atusalimie kwa French siku ingine.. hajajifunza ya nchi yake mupya? au tutachangishana ajifunze..
umasikini ni aibu sana ! unataka ujibiwe ili ujaze kurasa ili iweje ? ni hivi , tunapoweka nyuzi hapa jf hatutegemei mtu duni kama wewe kuchangia , halafu mnajipendekeza tu , mbona mimi sihangaiki na nyuzi za kijinga za ccm zinazoletwa hapa ,wewe unashindwa nini ?Mimi siwezi mpotezea Tundu Lisu, ndo maana nimekuja kumpa tafu ili angalau tujaze kurasa, usisahahu kunijibu ili nikujibu angalau tufike mbali kidogo, ...
umasikini ni aibu sana ! unataka ujibiwe ili ujaze kurasa ili iweje ? ni hivi , tunapoweka nyuzi hapa jf hatutegemei mtu duni kama wewe kuchangia , halafu mnajipendekeza tu , mbona mimi sihangaiki na nyuzi za kijinga za ccm zinazoletwa hapa ,wewe unashindwa nini ?
Kuna akili kidogo ya kufikirisha hapo! Wakati huo hao mabeberu wakitufilisi (kama mnavyo aminisha wajinga) mbona maisha yalikuwa ya nafuu na kiwango cha furaha kwa Mtanzania kilikuwa juu?Wakati nchi yetu ilikuwa ikisifiwa huko nje na mabeberu huku ndani walikua wakitufilisi. Kwa Sasa tunashuhudia jinsi tulivyokua tunasifiwa na Mabeberu kumbe ndio mwanya walikua wakiutumia kutunyonya.
Hapa Tanzania shetani ni yule atoaye salaam na kuwatakia Heri Wananchi wenzake ama yule abebaye vyombo vya kukusanyia sadaka bila kustahili?Shetani hawezi kuwatakia watu wa Mungu kheri ya Krismas. Ujumbe ndio huo
Mtachakaa nyie ambao hadi makanisani mnafanya comedi ya kukusanya mapato (sadaka) na makamera kumikumi.Utazidi kuchakaa huku siku zinakwenda.
Akili za kijani hiziMimi siwezi mpotezea Tundu Lisu, ndo maana nimekuja kumpa tafu ili angalau tujaze kurasa, usisahahu kunijibu ili nikujibu angalau tufike mbali kidogo, ...
Wanampotezea Lissu? Kumbe we ni fala tuu na huna impact yeyote ndani ya nchi hii.Angalau tusogeze uzi wa Tundu Lisu, siyo vizuri wanavyompotezea, nashindwa nini kufanya nini ?
Mjinga hajawahi nifanya nipanic my friend, hivyo tulia tuu!Umepanic?
Naona "Rais" wa mioyo ya watu ameokoka huko UbepariniSasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu.
==========
TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo.
Kwa wakristo wote, Noeli ni sikukuu ya kuzaliwa kwa mwokozi wetu yesu Kristo aliyetolewa na Mungu kama yanavyosema maneno ya kitabu cha Yohana aya ya tatu mstari wa 16 'Ili kila mtu amuaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele'.
Sikukuu hii inatukumbusha kuhusu moyo wa kutoa na moyo wa kusamehe kwa sababu kama yanavyosema maandiko matakatifu, Yesu Kristo alizaliwa ili wote wanaomuamini wasemehewe. Katika kalenda ya Kikristo hii ndio siku ya furaha na sherehe kuliko nyingine zote lakini Krismas ni zaidi ya siku ya furaha na sherehe.
Ni siku pia ya kuwakumbuka na kuwasaidia wale wote walio na shida na matatizo mbalimbali, Mwinjilisti Ruth aliwahi kusema "Krismas ni krismas kweli tunaposheherekea kwa kuwapa mwanga wa upendo wale wanaouhitaji zaidi" Wapo wengi wanaohitaji mwanga huu wa upendo katika nchi yetu ya Tanzania katika kipindi hiki cha Noeli.
Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi yetu na kwa wananchi wetu, wote tulishuhudia haki yetu ya kuchagua viongozi tunaowataka ikipokwa kwa mtutu wa bunduki na kwa kutumia vyombo vya usimamizi wa uchaguzi na vya serikali visivotenda haki sawasawa, wapo ambao ndugu zao waliuawa au waliojeruhiwa na kulemazwa wakati wa uchaguzi mkuu na hata kabla ya hapo.
Wapo waliokamatwa na kustakiwa au wanaoendelea kushkiliwa magerezani au kwenye vituo vya polisi kwa tuhuma za uongo, uonevu na kwa sababu za kisisasa.
Wapo pia ambao wamefukuzwa kazi, wamebomolewa nyumba au kuharibiwa biashara zao au kunyang'anywa pesa na mali zao kwa madai ya uongo ya ukwepaji kodi au kwa tuhuma zisizo za kweli za uhujumu uchumi au utakatishaji fedha.
Wengine kama mimi mwenyewe wamelazimika kuikimbia nchi yetu kwa sababu ya njama na vitisho vya mauaji dhidi yao. Aidha, wapo kwa mamilioni mengi wanaosononeka kimya kimya kwasababu ya kutokupatiwa ajira au kkwa kutolipwa mishahara au pensheni zao halali au kwa kutotendewa haki zao nyingine mbalimbali.
Kwa wote hawa wenye njaa na kiu ya haki, ujumbe wangu wa Krismas ni uleule alioueleza mwandishi wa riwaya wa kimarekani, Taylor Caldwell, "Hatuko peke yetu, hata usiku unapokuwa wa giza zaidi au upepo wa baridi kali au ulimwengu unapoonekana kutokujali kabisa" Hatuko peke yetu, kwahiyo tusivunjike moyo au kukata tamaa, wiki ijayo katika salamu zangu za mwaka mpya nitawazungumza kwa kirefu kidogo juu ya maswala haya na mengine mengi na juu ya majukumu yetu kwa mwaka ujao kuhusu nchi yetu.
Nawatakieni sikukuu ya Noeli yenye furaha
View attachment 1658577
Waingereza hawakukosea waliposema;Umechakaa.
Ohooooo !!Kuna akili kidogo ya kufikirisha hapo! Wakati huo hao mabeberu wakitufilisi (kama mnavyo aminisha wajinga) mbona maisha yalikuwa ya nafuu na kiwango cha furaha kwa Mtanzania kilikuwa juu?
Hizi propaganda za kijinga mtaziacha lini?
View attachment 1658900
Nilitegemea kuna jipya kumbe ni yale yale marudio kulia lia sound!Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu.
==========
TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo.
Kwa wakristo wote, Noeli ni sikukuu ya kuzaliwa kwa mwokozi wetu yesu Kristo aliyetolewa na Mungu kama yanavyosema maneno ya kitabu cha Yohana aya ya tatu mstari wa 16 'Ili kila mtu amuaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele'.
Sikukuu hii inatukumbusha kuhusu moyo wa kutoa na moyo wa kusamehe kwa sababu kama yanavyosema maandiko matakatifu, Yesu Kristo alizaliwa ili wote wanaomuamini wasemehewe. Katika kalenda ya Kikristo hii ndio siku ya furaha na sherehe kuliko nyingine zote lakini Krismas ni zaidi ya siku ya furaha na sherehe.
Ni siku pia ya kuwakumbuka na kuwasaidia wale wote walio na shida na matatizo mbalimbali, Mwinjilisti Ruth aliwahi kusema "Krismas ni krismas kweli tunaposheherekea kwa kuwapa mwanga wa upendo wale wanaouhitaji zaidi" Wapo wengi wanaohitaji mwanga huu wa upendo katika nchi yetu ya Tanzania katika kipindi hiki cha Noeli.
Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi yetu na kwa wananchi wetu, wote tulishuhudia haki yetu ya kuchagua viongozi tunaowataka ikipokwa kwa mtutu wa bunduki na kwa kutumia vyombo vya usimamizi wa uchaguzi na vya serikali visivotenda haki sawasawa, wapo ambao ndugu zao waliuawa au waliojeruhiwa na kulemazwa wakati wa uchaguzi mkuu na hata kabla ya hapo.
Wapo waliokamatwa na kustakiwa au wanaoendelea kushkiliwa magerezani au kwenye vituo vya polisi kwa tuhuma za uongo, uonevu na kwa sababu za kisisasa.
Wapo pia ambao wamefukuzwa kazi, wamebomolewa nyumba au kuharibiwa biashara zao au kunyang'anywa pesa na mali zao kwa madai ya uongo ya ukwepaji kodi au kwa tuhuma zisizo za kweli za uhujumu uchumi au utakatishaji fedha.
Wengine kama mimi mwenyewe wamelazimika kuikimbia nchi yetu kwa sababu ya njama na vitisho vya mauaji dhidi yao. Aidha, wapo kwa mamilioni mengi wanaosononeka kimya kimya kwasababu ya kutokupatiwa ajira au kkwa kutolipwa mishahara au pensheni zao halali au kwa kutotendewa haki zao nyingine mbalimbali.
Kwa wote hawa wenye njaa na kiu ya haki, ujumbe wangu wa Krismas ni uleule alioueleza mwandishi wa riwaya wa kimarekani, Taylor Caldwell, "Hatuko peke yetu, hata usiku unapokuwa wa giza zaidi au upepo wa baridi kali au ulimwengu unapoonekana kutokujali kabisa" Hatuko peke yetu, kwahiyo tusivunjike moyo au kukata tamaa, wiki ijayo katika salamu zangu za mwaka mpya nitawazungumza kwa kirefu kidogo juu ya maswala haya na mengine mengi na juu ya majukumu yetu kwa mwaka ujao kuhusu nchi yetu.
Nawatakieni sikukuu ya Noeli yenye furaha
View attachment 1658577
Mwenda kutembea kanisani kila jumapili huku akivuja damu za watu Zanzimana ndio mnaona mcha Mungu?.Tangu lini 'mshitaki wa watu wa Mungu' (shetani) akawa mcha Mungu na kuwatakia watu kheri ya Krismas? Makubwa haya!
Aliwadanganya Adam na Eva kwa kujifanya ni malaika wa nuru, kumbe hakuna lolote.
Mwambie tumeshituka, hatudanganyiki na salamu za kizandiki.
Raisi wa JMT alishiye uhamishoniSasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu.
==========
TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo.
Kwa wakristo wote, Noeli ni sikukuu ya kuzaliwa kwa mwokozi wetu yesu Kristo aliyetolewa na Mungu kama yanavyosema maneno ya kitabu cha Yohana aya ya tatu mstari wa 16 'Ili kila mtu amuaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele'.
Sikukuu hii inatukumbusha kuhusu moyo wa kutoa na moyo wa kusamehe kwa sababu kama yanavyosema maandiko matakatifu, Yesu Kristo alizaliwa ili wote wanaomuamini wasemehewe. Katika kalenda ya Kikristo hii ndio siku ya furaha na sherehe kuliko nyingine zote lakini Krismas ni zaidi ya siku ya furaha na sherehe.
Ni siku pia ya kuwakumbuka na kuwasaidia wale wote walio na shida na matatizo mbalimbali, Mwinjilisti Ruth aliwahi kusema "Krismas ni krismas kweli tunaposheherekea kwa kuwapa mwanga wa upendo wale wanaouhitaji zaidi" Wapo wengi wanaohitaji mwanga huu wa upendo katika nchi yetu ya Tanzania katika kipindi hiki cha Noeli.
Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi yetu na kwa wananchi wetu, wote tulishuhudia haki yetu ya kuchagua viongozi tunaowataka ikipokwa kwa mtutu wa bunduki na kwa kutumia vyombo vya usimamizi wa uchaguzi na vya serikali visivotenda haki sawasawa, wapo ambao ndugu zao waliuawa au waliojeruhiwa na kulemazwa wakati wa uchaguzi mkuu na hata kabla ya hapo.
Wapo waliokamatwa na kustakiwa au wanaoendelea kushkiliwa magerezani au kwenye vituo vya polisi kwa tuhuma za uongo, uonevu na kwa sababu za kisisasa.
Wapo pia ambao wamefukuzwa kazi, wamebomolewa nyumba au kuharibiwa biashara zao au kunyang'anywa pesa na mali zao kwa madai ya uongo ya ukwepaji kodi au kwa tuhuma zisizo za kweli za uhujumu uchumi au utakatishaji fedha.
Wengine kama mimi mwenyewe wamelazimika kuikimbia nchi yetu kwa sababu ya njama na vitisho vya mauaji dhidi yao. Aidha, wapo kwa mamilioni mengi wanaosononeka kimya kimya kwasababu ya kutokupatiwa ajira au kkwa kutolipwa mishahara au pensheni zao halali au kwa kutotendewa haki zao nyingine mbalimbali.
Kwa wote hawa wenye njaa na kiu ya haki, ujumbe wangu wa Krismas ni uleule alioueleza mwandishi wa riwaya wa kimarekani, Taylor Caldwell, "Hatuko peke yetu, hata usiku unapokuwa wa giza zaidi au upepo wa baridi kali au ulimwengu unapoonekana kutokujali kabisa" Hatuko peke yetu, kwahiyo tusivunjike moyo au kukata tamaa, wiki ijayo katika salamu zangu za mwaka mpya nitawazungumza kwa kirefu kidogo juu ya maswala haya na mengine mengi na juu ya majukumu yetu kwa mwaka ujao kuhusu nchi yetu.
Nawatakieni sikukuu ya Noeli yenye furaha
View attachment 1658577
Maccm majiziHuyu ni shetani au Ndugu yake shetani..
Mnafiki mkubwa huyu....unaiombea nchi mabaya halafu unajidai unatoa salaam eti kwa Watanzania wote...Binafsi Sina haja na salaam zake...yaani wanaCCM huwa anawaita MaCCM kwa kejeli na chuki halafu eti anawatakia Christmas's njema...
Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu.