Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

Imeandikwa: mtawajua kwa matendo yao. Kwa matendo na maneno yake lissu anajulikana ni wa ibilisi. Labda atubu na kuziacha njia zake mbaya!
Usihukumu usije ukahukumiwa.
Mungu tu ndo anajua maendo yetu na mawazo yetu.

Tukisema hatuna dhambi tunajidanganya bure. Let God judge us.
 
M
Usihukumu usije ukahukumiwa.
Mungu tu ndo anajua maendo yetu na mawazo yetu.

Tukisema hatuna dhambi tunajidanganya bure. Let God judge us.
Mimi sihukumu, ninachofanya ni kusema tu kilichokwishatokea tayari, maana imeandikwa 'asiyeamini amekwisha kuhukumiwa tayari'.
Ni lazima tuseme, who knows, labda tunaweza kumsaidia kujitambua akatubu na kujiondoa kwenye hukumu!
 
Back
Top Bottom