Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya

Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya

Hivi ile issue ya wabunge wa Africa Mashariki mbona aliangukia pua!?.
Mwambie akafungue hiyo kesi. Ninakuhakikishia hao akina Bulaya na Mdee wanakosa ubunge. Hapo anaongea siasa tu. Mwambie apige hatua yoyote kishitaki. Maana hayo ni maamuzi ya bunge akiwamo yeye.

Hapo anabwabwaja tu.
Wakikos Ubunge wewe kwenye account yako inaingia sh. Ngap mkuu. Mbona wabingo tuna wivu usiosaidia. Nins uhakika hata ukipewa robo ya nafas yke huwez huna ndugu wala jamaa wenye uwezo hata wa kwenda kusaudia kampeni kwenye majimbo yao! Kukos Kwao ww kunakupa nini hadi usherekee ivo?
 
Hatuwezi kukubali maneno ya TUNDU LISSU pekee bila kusikiliza upande mwingine wa kiti Mh sana Job Ndugai(natural justice) .ETI JOB NI KWELI MANENO YA TUNDU?
 
Mimi sina weledi wa sheria,nimekutaka uweke hapa hicho kifungu kwa mapana yake ili nikuonyeshe udhaifu wa maamuzi ya spika,wewe si unataka kuhalalisha alichoamua

Mimi sina weledi wa sheria,nimekutaka uweke hapa hicho kifungu kwa mapana yake ili nikuonyeshe udhaifu wa maamuzi ya spika,wewe si unataka kuhalalisha alichoamua spika?
Nimesema wewe kichwani ni empty. Bunge linaongozwa kwa kanuni. Bungeni siyo mahakamani kupeleka ushahidi na kuulizwa maswali. Huko wabunge wakikubaliana tu ndiyo hukumu yenyewe. Kazi ya spika ni kuuliza wanaoafiki waseme ndio na wasioafiki waseme sio. Hata uwe mjuzi wa sheria kiasi gani bungeni ni kanuni tu zinaongoza. Kwikwikwi go back to school dogo langu.
 
Wakikos Ubunge wewe kwenye account yako inaingia sh. Ngap mkuu. Mbona wabingo tuna wivu usiosaidia. Nins uhakika hata ukipewa robo ya nafas yke huwez huna ndugu wala jamaa wenye uwezo hata wa kwenda kusaudia kampeni kwenye majimbo yao! Kukos Kwao ww kunakupa nini hadi usherekee ivo?
Umeanza kunyong'onyea sasa. Wakiwa bungeni ni hasara kwa taifa. Wanafundisha jamii tabia mbovu za kivuta bangi. Kheri wasiwepo bungeni.
 
Lakini huyu spika ni mgonjwa sina uhakika kama afya yake ni njema tangu arudishwe kutoka Matibabu huko India
nashauri bunge lipige kura ya maoni kuhusu afya , maamuzi na utimamu wa akili ya spika wetu.
Amekuwa na maamuzi ya kipuuzi huku hasira zikitawala......hatuna imani na utimamu wa akili ya spika kutokana na maradhi yaliompelekea kupelekwa matibabu India!
 
Nachoweza kusema tu mungu akuzidishie maisha marefu na ya ujasiri huo huo Lisu,uzidi kututoa kizan watz wasio elewa sheria.
 
Wewe ni mweupe kichwani. Kwikwikwi. Mzee wenu wa CUF alisema anapeleka kesi kuhusu Zanzibar sasa kabakina na Kesi ya Lipumba tu. Mwambie Lisu wako ajaribu utaona matokeo yake. Spika na Jaji mkuu wapo katika level moja. Mbunge yeyote kwenda kumshitaki Spika ni kujinajisi mwenyewe maama yeye atashughulikiwa bungeni. Somo chukua hilo.
Tuwekee na supporting evidence sio maneno tu, hili ni jukwaa la ma-Great Thinkers.
 
Hatuwezi kukubali maneno ya TUNDU LISSU pekee bila kusikiliza upande mwingine wa kiti Mh sana Job Ndugai(natural justice) .ETI JOB NI KWELI MANENO YA TUNDU?
Ila unakubali uamuzi wa Ndugai bila kuwasikiliza akina Bullaya..?
 
Tuwekee na supporting evidence sio maneno tu, hili ni jukwaa la ma-Great Thinkers.
Soma kanuni 74(5) ya bunge. Hiyo ndiyo evidence. Ubunge wa Mdee na Bulaya umo mikononi mwa wabunge wa CCM.
 
Kanuni ipi imekiukwa. Soma kanuni zinazohusu adhabu kwa wabunge 74 hususani fasili ya 5 utaelewa. Lisu anawaingiza chaka.
Binti Annael, msikilize Lissu anavyotiririka, au huelewi kitu...even with the simplest exposition bado humuelewi?
 
Nimesema wewe kichwani ni empty. Bunge linaongozwa kwa kanuni. Bungeni siyo mahakamani kupeleka ushahidi na kuulizwa maswali. Huko wabunge wakikubaliana tu ndiyo hukumu yenyewe. Kazi ya spika ni kuuliza wanaoafiki waseme ndio na wasioafiki waseme sio. Hata uwe mjuzi wa sheria kiasi gani bungeni ni kanuni tu zinaongoza. Kwikwikwi go back to school dogo langu.
Maamuzi hayo ya spika huwezi kuhalalisha kinyume na kanuni,wewe kwa uelewa wako unafikiri spika anaweza akatoa adhabu inayozidi muda halisi ambao mbunge akikosa kuhudhuria bungeni.. mbona unadhihirisha kua wewe ndio mweupe..
 
Soma kanuni 74(5) ya bunge. Hiyo ndiyo evidence. Ubunge wa Mdee na Bulaya umo mikononi mwa wabunge wa CCM.
Hizo kanuni wapi zinasema wabunge hawatasikilizwa, bado hujui kuwa huo ni ukiukwaji wa kanuni. Unatakiwa kuimplement kanuni to the letter, failure to do that you are in for a B.I.G trouble. Na hapo ndipo mtakapojua kwanini Kikwete hakupenda TL aingie bungeni.
 
Binti Annael, msikilize Lissu anavyotiririka, au huelewi kitu...even with the simplest exposition bado humuelewi?
Kutiririka utumbo wewe waona ni bonge la point. Hapo mwezako anapiga siasa tu iliajiongezee umaarufu. Siasa za toilet na baada ya hapo hakuna atakachofanya
 
Wanampuuza sana Lisu lakini wakikubali kuweka mambo mengine pembeni huyu jamaa ana mengi ya kutufundisha
Wakati wa vikao vya bunge la katiba kilichoniudhi wabunge wa upinzani kutoka bungeni ni kunikosesha elimu ya bure iliyokuwa ikitolewa na TL na baadhi ya wabunge wa upinzani.
 
Maamuzi hayo ya spika huwezi kuhalalisha kinyume na kanuni,wewe kwa uelewa wako unafikiri spika anaweza akatoa adhabu inayozidi muda halisi ambao mbunge akikosa kuhudhuria bungeni.. mbona unadhihirisha kua wewe ndio mweupe..
Adhabu zimetolewa na bunge akiwamo Lisu. Huo ni msimamo wa bunge hao wapigwe pin. Mbona simple tu. Wewe ndiye unayetoa povu.
 
Kwa namna hiyo wapi kanuni zinasema kufanya fujo na kutoa matusi. Au unaongelea kanuni za BAVICHA. Baraza la viroba na chang'aa.
Sawa nimefanya fujo, je kanuni zinasemaje kama nikifanya fujo, if at all utathibitisha kuwa nimefanya fujo beyond reasonable doubt, natakiwa kuhukumiwa bila kusikilizwa? Are you serious binti Annael?
 
Umeambiwa judicial review au hujui maana yake!

Nimeambiwa na nani?

Kwani yeye hachemki?

Wabunge wenu wamefukuzwa, mnadai mmeonewa, badala ya ku file a sure-footed petition kupinga kilichofanywa unaenda kuomba mahakama ikusaidie ku figure out kilichotokea. No case or controversy to be redressed

Crummy lawyering.

Ni kwa vile Mdee na Bulaya wanapata huduma bure za mawakili wa chama, hawana sauti na hawana cha kupoteza kifedha.

Wangekuwa wameajiri wakili wasingekubali kumtuma mahakamani kuomba tutoring ya tafsiri ya sheria, wangemuamuru wakili alete pingamizi.

Tundu Lissu knows this better than most.
 
Adhabu zimetolewa na bunge akiwamo Lisu. Huo ni msimamo wa bunge hao wapigwe pin. Mbona simple tu. Wewe ndiye unayetoa povu.
Kanuni inasema wapigwe pin kwa muda gani.. au wewe unaamini kua adhabu inawezakutolewa hadi kipindi chote cha ubunge kitakapoisha,acha upotoshaji usiokua na misingi.
 
Back
Top Bottom