Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Inabidi arudishwe indiaEti anawapiga mwaka mmoja! Tumuombee huyu mzee kuna kitu kinamchanganya na anakijua mwenyewe

Du nani huyo mkuu?Ha Ha unaunga mkono hoja hewa baada Ya lowasa kushindwa uchaguzi na wewe kukosa ukurugenzi wa mawasiliano ikulu. Unalo utasaga lami sana kunawa utanawa ila kula huli
.....Wewe jamaa nilishakushauri kutafsiri baadhi ya post zako kwa Kiswahili kwa faida ya watu kama hawa!
Maamuzi ya kamati ipi, na maamuzi gani yaliyokusababisha ukubaliane na Lissu kuwa kamati kateua Magu mkuuMaamuz yao ni uthibitisho tosha
Siwez kuendelea kubishana na Mtu aliyejitoa ufaham na kuona ila baadaye anakana hajaonaMaamuzi ya kamati ipi, na maamuzi gani yaliyokusababisha ukubaliane na Lissu kuwa kamati kateua Magu mkuu
hujajibu hoja lkn toa uthibitisho wa kamatiSiwez kuendelea kubishana na Mtu aliyejitoa ufaham na kuona ila baadaye anakana hajaona
Wewe ni mwanasheria ?? Kama ni mwanasheria basi ni wale wanaodraft mikataba ya makampuni tu upo kwenye chamber ya ofisi huku mkiwa mnaomba msije kukutana na watu kama lissu mahakamani
Zero common sense
Unatakiwa kuwa na akili ya kiwango cha juu sana kumuelewa Lisu!ni wengi hawamuelewi!ndo maana anaitwa AKILI KUBWA.Lissu simshangai yeye huwa anapinga kila kitu, sijawahi kumsikia akiunga mkono hoja zozote zaidi ya za kwake na za Mwenyekiti wake.
Kigezo cha case or controversy requirement [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujajibu hoja.
Nilitegemea a lawyer worth his name alete petition ya kupinga maamuzi ya azimio.
Sio kuomba tafsiri ya jaji. Kwa nini hana hakika na sheria?
Shauri shurti likidhi kigezo cha uwepo wa case or controversy to be redressed. Yeye Tundu Lissu anajua maana ya case or controversy requirement.
Tundu Lissu anasema huo sio uamuzi wa bunge ni uamuzi wa wabunge wa CCM, pili amesema kuna kanuni za kibunge za kutoa adhabu kwa wabunge wanaokosea na kanuni ya kumfungia mbunge kwa miezi 10 hiyo kanuni haipo.
Ila inapofika kwenye masuala yanayowahusu wabunge wa upinzani wanapewa adhabu kubwa ambazo hazipo kwenye kanuni
Kanuni zinasema kiwango cha juu cha idadi ya vikao anavyoweza kufungiwa mbunge ni vikao 20.
Kanuni zinasema pia bunge linaweza kutoa adhabu nyinginezo ila adhabu nyinginezo haiwezi ikawa sawa na hiyo iliyotamkwa na sheria, kwa hiyo kama adhabu ni ya kufungiwa, adhabu nyinginezo haiwezi ikawa ni kumfungia mbunge kwa muda mrefu zaidi.
Ameendelea kusema bunge la Ndungai wanaelekea kufikiri kwamba bunge linaweza kumsimamisha mbunge kwa kipindi watakachojisikia wenyewe
Kwa tafsiri hiyo ya Ndungai ni kuwa mbunge anaweza kufungiwa kwa miaka 5 maana yake ni kukufungia usiwe mbunge kabisa.
Katiba inasema mbunge anaweza kuondolewa kwenye ubunge wake kwa shauri la uchaguzi linalofunguliwa mahakama kuu.
Ila kwa sasa watu wanazuiwa kuwa wabunge sio kwa shauri la mahakama kuu bali kwa udikteta wa watu walio wengi, udiktetea wa wabunge wa CCM
Jambo jingine ni mbunge anayeadhibiwa na bunge ni lazima apewe nakala ya mashtaka dhidi yake, apelekwe kwenye kamati ya haki kinga na mamlaka ya bunge akasililizwe na kamati ilete mapendekezo bungeni yanajadiliwa na mbunge apate haki ya kujitetea lakini waliofungiwa hawajapewa nafasi ya kujitetea.
Amesema Zitto Kabwe alipofungiwa miezi kadhaa mwaka 2007 alipewa nusu saa ya kujitetea lakini Ndungai anafikiri kwamba anaweza kuamua anavyotaka
Na kwa sababu ni makosa wataenda mahakamani, anasubiri warudi kutoka msibani na mahakama iwaambie bunge linaweza kumfutia mbunge ubunge wake kama Ndungai alivyotafsiri?
Bunge linaweza kutoa adhabu ambayo haipo kwenye kanuni? Bunge linaweza kumuadhibu mbunge bila kumpa nafasi ya kujitetea kwenye kamati wala bungeni?
Amesema tukiendelea hivi wabunge wa CCM wanaweza kuamua mbunge asiingie bungeni kwa miaka 5
Amesema mkakati wa kuuwa bunge ni mkubwa sana, umeanzia kwenye kulizima wananchi wasilione, kuvuruga uteuzi wa kamati zake, kamati za bunge zimeteuliwa na Magufuli Ikulu, Nfungai kazi yake ni kupiga mhuri tu
Serikali ndio inayoamjua wapinzani wake waikosoe vipi, wapinzani wanapeleka hotuba zao kisha wanaamua kipi kiondolewe kipi kibaki, wanawafundisha jinsi ya kuwa wapinzani
Amesema huo ni mkakati wa kuuwa bunge sio kuuwa upinzani, hawawezi kuuwa upinzani, wanalifanya lisiwe na maana halafu hata kulipiga marufuku inakuwa ni rahisi

Ita press nawewe tuone hayo mapovu utakayotoa na baadhi ya watu,tena wengi,wayakubali.Hakuna la maana lolote aliloongea zaidi ya kutoka mapuvu.
Masaju si mwana sheria wa bunge bali wa serikali.hivi hiyo kesi anashitakiwa spika au bunge?kama ni bunge,watawakilishwa na wakili gani(wa akina mdee ni tundu lisu),najua masaju hata wamshikie bunduki hatakubali kuingia kwenye mtanange na lisu..kesi tamu sana hii