Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya

Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya

Walau haya ndio mambo anayoweza kutufindisha; kanuni zipo kwa mantiki ya mwongozo uwezi kuja na adhabu kutoka kichwani kwako.
 
hivi hiyo kesi anashitakiwa spika au bunge?kama ni bunge,watawakilishwa na wakili gani(wa akina mdee ni tundu lisu),najua masaju hata wamshikie bunduki hatakubali kuingia kwenye mtanange na lisu..kesi tamu sana hii
Masaju anaweza kusaidiwa na Kabudi ambaye ameacha uprof wake UDSM kwa muda. Hata hivyo nia ya TAL ni kuomba mahakama kutoa tafsiri hslisi ya sheria na kanuni husika katika mtanange huu. Masaju ligi hii haiwezi. Kabudi anaweza kujaribisha lakini anaweza kuogopa mamlaka ya uteuzi!
 
Haya sasa Toto Tundu amewapa sisiemu kibarua kigumu cha kujisomea na kujiandaa kwa kesi ngumu mno ambayo tayari Ndungai ameshatabiri kuwa italeta constitutional crisis.
 
walisikilizwa? aidha na kamati au hata Bunge? hiyo haraka ya kutoa adhabu ilitoka wapi?

lakini chanzo cha haya yote ni nini?
Wasikilizwe ili waseme nini? Wakati walifanya maovu yaohadharani!?
 
Soma kanuni ya 74 fasili ya 5 na 6. Kwenye kanuni za bunge. Yeye anaongelea fasili za 1,2,3 lakini fasili zingine zinatoa adhabukali zaidi kwa mbunge aliyeonywa mara nyingi na hataki kubadilika ikiwemo na bunge kuadhimia kumfukuza kazi ya ubunge.
Nioneshe kifungu kinacholipa Bunge mamlaka ya kumfungia miezi kumi bila kumpa nafasi ya kujitetea
 
Hivi ile issue ya wabunge wa Africa Mashariki mbona aliangukia pua!?.
Mwambie akafungue hiyo kesi. Ninakuhakikishia hao akina Bulaya na Mdee wanakosa ubunge. Hapo anaongea siasa tu. Mwambie apige hatua yoyote kishitaki. Maana hayo ni maamuzi ya bunge akiwamo yeye.

Hapo anabwabwaja tu.
Sasa we ndo wsbwabwaja yahe!
 
Nioneshe kifungu kinacholipa Bunge mamlaka ya kumfungia miezi kumi bila kumpa nafasi ya kujitetea
Nioneshe kifungu kwenye kanuni kinachoongelea kuhusu mbunge akirudia kufanya makosa yale yale apewe muda wa kuulizwa. Soma kanuni ya 74 ya bunge umepigilia msumari.
Kwikwikwi miaka hiii mtajibeba.
 
Hili jamaa liongo dunia nzima hivi anaielewa vizuri doctrine ya PARLIAMENTARY SUPREMACY ikiambatana na Doctrine ya "SEPARATION OF POWER" yaani bunge lipelekwe mahakamani???
 
Back
Top Bottom