residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,223
- 14,940
Uamuzi wa bunge!? Which means akiwemo "mshtakiwa" Bulaya na Mdee!!!??Uwekewe wewe nani? Hukumu yao ni maamuzi ya bbunge akiwamo na yeye Lisu, Mnyika na Upendo peneza. Kura zikikubaliwa na Spika ndio azimio la bbunge. Nenda kwenye hansadi ukasome.