Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya

Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya

Hiki ndio kichwa pekee katika nchi hii.

Perhaps he is the most intelligent MP so far.

Asanteni sana watu wa Singida Mashariki.
Imebainika kwamba MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI .
 
Hivi Mh Lissu akijirekebisha kuwa mwungwana atakosa nini. Haoni aibu kubwatuka kila mara akidhani yeye ni bora zaidi kuliko mwingine.

Mstaarabu ni mtu mwenye hekima na busara ambazo hutawala mawazo ya mtu na kumpelekea kuchagua maneno na lugha ya kutumia, kwa nyakati mbalimbali kulingana na mahala na wahusika/walengwa.

Pia mtu makini, akiwamo mwanasheria, hajigambi hovyo hovyo kufungua kesi mahakamani. Ila huaandaa mashitaka kwa utulivu na umakini wa hali ya juu kwanza.

Mh Lissu amejionesha kutokuwa na subira, uvumilivu, umakini katika taaluma yake. Badala yake amekuwa mropokaji.

Mh Lissu hadi lini utabadilika urudishe heshima yako. Naamini unasoma mijadala ya JF na wanaokupamba humu ndani, hawakutendei haki. Nina amini pia, huko CHADEMA, viongozi wenzio wanakuvumilia tu.
Tatizo sisi wanaCCM ni vipofu haswa.
 
Kwangu mimi namwona Lisu ni mropokaji tu. Lengo kujipatia umaarufu, bahati mbaya vijana empty headed kama wewe mnakubali kujazwa uchafu kwenye vichwa vyenu. Watu makini kama mimi tulishamsoma muda sana. Wewe subiri baada ya kuropoka huku kipi kitafuata. Is nothing atakuja kuibukia gia nyingine na kuwasahaulisha hili. Watu empty head kama wewe hata vichwa havina kumbukumbu, mtageuzwa sana kama chapati na akina Lisu. Baada ya hapa atakuja na kiki kwenda kumuona rais ili ashauri kisheria issue ya makinikia.
Wewe unaongozwa na njaa badala ya kutumia akili
 
Yaani wana ccm mnatia kinyaa aisee, hata masuala ya msingi kabisa mnaletea ushabiki. No wonder mtukufu sana asiyejaribiwa alisema "I wish I kudu be IGP"!
Mtakatifu sanaa
 
Kwangu mimi namwona Lisu ni mropokaji tu. Lengo kujipatia umaarufu, bahati mbaya vijana empty headed kama wewe mnakubali kujazwa uchafu kwenye vichwa vyenu. Watu makini kama mimi tulishamsoma muda sana. Wewe subiri baada ya kuropoka huku kipi kitafuata. Is nothing atakuja kuibukia gia nyingine na kuwasahaulisha hili. Watu empty head kama wewe hata vichwa havina kumbukumbu, mtageuzwa sana kama chapati na akina Lisu. Baada ya hapa atakuja na kiki kwenda kumuona rais ili ashauri kisheria issue ya makinikia.
Hana njaa hizo kama wewe Lissu anakazi yake inayo muingizia kipao kikubwa tu tena yeye anatafutwa na kazi badala ya yeye kuzitafuta kazi,siyo wewe chumia tumbo
 
Povu la nini wewe? Tulia unyolewe bungeni ni dunia tofauti na dunia ya mahakama. Huko wanaenda kwa kanuni na kukubaliana kwa pamoja. Wabunge wakikubaliana kuwapiga pin, hatua inayofuata ni utekelezaji tu. Kama wanaona wameonewa wakate rufaa kwa katibu wa bunge ambaye ataleta pendekezo hilo la kukata rufaa mbele ya spika. Spika ataona kama inafaa atalifikisha bungeni kujadiliwa. Na uamuzi utakaotoka pale ndio wa mwisho. Wafanye hivyo kisha wasubiri mvua ya uamuzi wa wabunge wa CCM. Ubunge wao umo mikononi mwa wabunge wa CCM.
Zero brain, wabunge wakikubaliana kuwapiga pin hata kwa kutofuata kanuni, am i talking to a human being?
 
Kwangu mimi namwona Lisu ni mropokaji tu. Lengo kujipatia umaarufu, bahati mbaya vijana empty headed kama wewe mnakubali kujazwa uchafu kwenye vichwa vyenu. Watu makini kama mimi tulishamsoma muda sana. Wewe subiri baada ya kuropoka huku kipi kitafuata. Is nothing atakuja kuibukia gia nyingine na kuwasahaulisha hili. Watu empty head kama wewe hata vichwa havina kumbukumbu, mtageuzwa sana kama chapati na akina Lisu. Baada ya hapa atakuja na kiki kwenda kumuona rais ili ashauri kisheria issue ya makinikia.
Huyu mwanasheria wa CCM anataka tumuone serious kwa uandishi huu.
 
Hapo Lisu anaongea siasa tu za kizamani kujitafutia umaarufu. Anabwabwaja tu hapo.

Una hoja Zaidi ya kumshambulia Tudu Lissu zaidi ya kujificha kwenye keyboard unalingine unaloliweza
 
Kwa kweli Mh Lissu ni hazina kubwa sana sana.Hongera mh.
 
CCM ni laana kwa nchi ...


Tundu Lissu anasema huo sio uamuzi wa bunge ni uamuzi wa wabunge wa CCM, pili amesema kuna kanuni za kibunge za kutoa adhabu kwa wabunge wanaokosea na kanuni ya kumfungia mbunge kwa miezi 10 hiyo kanuni haipo.

Ila inapofika kwenye masuala yanayowahusu wabunge wa upinzani wanapewa adhabu kubwa ambazo hazipo kwenye kanuni
Kanuni zinasema kiwango cha juu cha idadi ya vikao anavyoweza kufungiwa mbunge ni vikao 20.

Kanuni zinasema pia bunge linaweza kutoa adhabu nyinginezo ila adhabu nyinginezo haiwezi ikawa sawa na hiyo iliyotamkwa na sheria, kwa hiyo kama adhabu ni ya kufungiwa, adhabu nyinginezo haiwezi ikawa ni kumfungia mbunge kwa muda mrefu zaidi.
Ameendelea kusema bunge la Ndungai wanaelekea kufikiri kwamba bunge linaweza kumsimamisha mbunge kwa kipindi watakachojisikia wenyewe
Kwa tafsiri hiyo ya Ndungai ni kuwa mbunge anaweza kufungiwa kwa miaka 5 maana yake ni kukufungia usiwe mbunge kabisa.

Katiba inasema mbunge anaweza kuondolewa kwenye ubunge wake kwa shauri la uchaguzi linalofunguliwa mahakama kuu.

Ila kwa sasa watu wanazuiwa kuwa wabunge sio kwa shauri la mahakama kuu bali kwa udikteta wa watu walio wengi, udiktetea wa wabunge wa CCM

Jambo jingine ni mbunge anayeadhibiwa na bunge ni lazima apewe nakala ya mashtaka dhidi yake, apelekwe kwenye kamati ya haki kinga na mamlaka ya bunge akasililizwe na kamati ilete mapendekezo bungeni yanajadiliwa na mbunge apate haki ya kujitetea lakini waliofungiwa hawajapewa nafasi ya kujitetea.

Amesema Zitto Kabwe alipofungiwa miezi kadhaa mwaka 2007 alipewa nusu saa ya kujitetea lakini Ndungai anafikiri kwamba anaweza kuamua anavyotaka

Na kwa sababu ni makosa wataenda mahakamani, anasubiri warudi kutoka msibani na mahakama iwaambie bunge linaweza kumfutia mbunge ubunge wake kama Ndungai alivyotafsiri?
Bunge linaweza kutoa adhabu ambayo haipo kwenye kanuni? Bunge linaweza kumuadhibu mbunge bila kumpa nafasi ya kujitetea kwenye kamati wala bungeni?

Amesema tukiendelea hivi wabunge wa CCM wanaweza kuamua mbunge asiingie bungeni kwa miaka 5

Amesema mkakati wa kuuwa bunge ni mkubwa sana, umeanzia kwenye kulizima wananchi wasilione, kuvuruga uteuzi wa kamati zake, kamati za bunge zimeteuliwa na Magufuli Ikulu, Nfungai kazi yake ni kupiga mhuri tu

Serikali ndio inayoamjua wapinzani wake waikosoe vipi, wapinzani wanapeleka hotuba zao kisha wanaamua kipi kiondolewe kipi kibaki, wanawafundisha jinsi ya kuwa wapinzani

Amesema huo ni mkakati wa kuuwa bunge sio kuuwa upinzani, hawawezi kuuwa upinzani, wanalifanya lisiwe na maana halafu hata kulipiga marufuku inakuwa ni rahisi
 
Mkuu nimefanikiwa kuona video clip moja ya taarifa ya habari Azam TV. Kaimu KUB Ally Saleh amesema wameshawasilisha malalamiko yao kwa katibu wa bunge. Katika ufafanuzi wake kadai kwanza ni makosa kuwahukumu bila kuwasikiliza ukizingatia kuwa wito wa kuja mbele ya kamati haukuwafikia kwa sababu ya spika kuharakisha hili jambo. Pili ni makosa kumuhukumu Bulaya kwa kosa la kuwahimiza wenzake watoke nje kwasababu aliyetoa agizo hilo ni yeye Ally Saleh.
Tatu kasema haiwezekani marekebisho ya adhabu aliyopendekeza Juliana Shonza yapite na kwenda moja kwa moja kuhoji wanaoafiki na wasioafiki bila kwanza kutoa nafasi kwa wabunge kuyachangia. Iweje ripoti ya kamati ijadiliwe alafu marekebisho ya mbunge mmoja tu yafute kabisa mapendekezo ya kamati juu ya adhabu stahiki na yapite bila kujadiliwa? Na hapa mimi nakubaliana naye. Huwa tunaona marekebisho yote wanavyodaliwaga kwa vuta nikuvute japo walio wengi huishia kushinda.
Vilevile amegusia adhabu iliyopendekezwa na kamati kuwa ilivuja kabla kwa wana CCM...maana haiwezekani Juliana asome toka kwenye karatasi iliyochapishwa kabisa. Aliichapisha saa ngapi kama kweli aliyasikia mapendekezo ya adhabu ya kamati wakati mwenyekiti anapresent?
Kitu kingine nadhani ndicho hicho alichokisema Lissu. Sasa naelewa kwanini kamati ilipokuwa inapendekeza adhabu ilisema mpaka kikao cha siku ya mwisho cha mkutano wa tisa wa mwezi October. Nadhani hapo ndio idadi ya vikao 20 anavyosema Lissu vinaangukia. Wakizuiwa na kikao cha mwisho cha mkutano wa 9 maana yake kamati ingekuwa imekiuka kanuni ya not more than vikao 20.
Kuna uwezekano Ndugai alishtukia makosa au alishtuliwa kwa kimemo ikawa too late. Akaishia kutishia kuwa wakienda mahakamani yuko radhi izuke constitutional crisis...kuliko kula matapishi yake.
Kimsingi anajua amechemsha. Hata kwenye katiba imesemwa kuwa mbunge atapoteza ubunge wake iwapo atakosa kuhudhuria mikutano mitatu mfululizo (sio vikao) bila taarifa. Sasa iweje kanuni zikuruhusu umwadhibu mbunge kukosa mikutano mitatu mfululizo? Huoni hapo kuwa umekuwa umekiuka hata lengo la sheria.. yani la kuwaacha waliomchagua muda mrefu bila uwakilishi? Nini maana ya kujaza nafasi iliyoachwa wazi na mbunge as soon as possible? Nadhani huwa ni ndani ya siku 90 lazima mchakato uwe umeanza.
Wamechemka big time...
mkuu hapa wasioweza kukuelewa watakuwa wajomba zake bashite tu!!good analysis
 
Unajua hawa viongozi wetu wanajisahau sana hasa wanapokuwa madarakani, hawajui kama kuna kesho na haujui hiyo kesho itakuwaje. Time will tell!!
 
Eti anawapiga mwaka mmoja! Tumuombee huyu mzee kuna kitu kinamchanganya na anakijua mwenyewe
 
Back
Top Bottom