Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya

Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya

You are talking loads of rubbish! You are no where near TL. In fact, you are exposing your utter stupidity in this arena. We have asked you over and over again, where in the regulations does it say that an alleged MP should not be given an opportune to be heard. That did not happen in this case, did it?
Tulia unyolewe bungeni ni dunia tofauti na dunia ya mahakama. Huko wanaenda kwa kanuni na kukubaliana kwa pamoja. Wabunge wakikubaliana kuwapiga pin, hatua inayofuata ni utekelezaji tu. Kama wanaona wameonewa wakate rufaa kwa katibu wa bunge ambaye ataleta pendekezo hilo la kukata rufaa mbele ya spika. Spika ataona kama inafaa atalifikisha bungeni kujadiliwa. Na uamuzi utakaotoka pale ndio wa mwisho. Wafanye hivyo kisha wasubiri mvua ya uamuzi wa wabunge wa CCM. Ubunge wao umo mikononi mwa wabunge wa CCM.
 
Povu la nini wewe? Tulia unyolewe bungeni ni dunia tofauti na dunia ya mahakama. Huko wanaenda kwa kanuni na kukubaliana kwa pamoja. Wabunge wakikubaliana kuwapiga pin, hatua inayofuata ni utekelezaji tu. Kama wanaona wameonewa wakate rufaa kwa katibu wa bunge ambaye ataleta pendekezo hilo la kukata rufaa mbele ya spika. Spika ataona kama inafaa atalifikisha bungeni kujadiliwa. Na uamuzi utakaotoka pale ndio wa mwisho. Wafanye hivyo kisha wasubiri mvua ya uamuzi wa wabunge wa CCM. Ubunge wao umo mikononi mwa wabunge wa CCM.
Unasema usichokijua.
 
Kanuni inasema wapigwe pin kwa muda gani.. au wewe unaamini kua adhabu inawezakutolewa hadi kipindi chote cha ubunge kitakapoisha,acha upotoshaji usiokua na misingi.
Hata kufukuzwa ubunge kabisa. Soma kanuni ya 74(5). Mbona simple. Lisu anawalisha matango pori.
 
mbwembwe tuu tushazoea siku hizi,mlisema mnaenda mahakamani kwenye ishu ya afrika mashariki hadi leo kimya hii nayo sijui yetu wengine macho.....mimi ninachofikiri CHADEMA ipigane kujijenga kuleta wabunge wengi bungeni 2020 na sio huu upuuzi wa kutishia kwenda mahakamani hawatafua DAFU kuwadhibiti "sisi" Ccm ni kutuongezea wabunge wengi wa upinzani Bungeni japo tufikie usawa....
 
Kuna haja kamati ya maadili kuundwa na wanasheria


Ndugai kasema wakienda mahakamani atawaleta bungeni na kuwapiga mwaka mmoja zaidi,akasisitiza katika hilo akiwa amekalia kiti basi kutatoa "constitutional crisis"!
Ubavu huo wa kushindana na mahakama kaupata wapi?
 
Lissu hajawahi kuwa kilaza kama wewe
Kwangu mimi namwona Lisu ni mropokaji tu. Lengo kujipatia umaarufu, bahati mbaya vijana empty headed kama wewe mnakubali kujazwa uchafu kwenye vichwa vyenu. Watu makini kama mimi tulishamsoma muda sana. Wewe subiri baada ya kuropoka huku kipi kitafuata. Is nothing atakuja kuibukia gia nyingine na kuwasahaulisha hili. Watu empty head kama wewe hata vichwa havina kumbukumbu, mtageuzwa sana kama chapati na akina Lisu. Baada ya hapa atakuja na kiki kwenda kumuona rais ili ashauri kisheria issue ya makinikia.
 
Chezea nyumba ndogo ikiguswa iwe ya kiume au ya kike hata wewe ungekuwa wakili wake mbobezi ghafla wakati hata sheria hujawahi soma hata chekechea
Yaani wana ccm mnatia kinyaa aisee, hata masuala ya msingi kabisa mnaletea ushabiki. No wonder mtukufu sana asiyejaribiwa alisema "I wish I kudu be IGP"!
 
Nimeambiwa na nani?

Kwani yeye hachemki?

Wabunge wenu wamefukuzwa, mnadai mmeonewa, badala ya ku file a sure-footed petition kupinga kilichofanywa unaenda kuomba mahakama ikusaidie ku figure out kilichotokea. No case or controversy to be redressed

Crummy lawyering.

Ni kwa vile Mdee na Bulaya wanapata huduma bure za mawakili wa chama, hawana sauti na hawana cha kupoteza kifedha.

Wangekuwa wameajiri wakili wasingekubali kumtuma mahakamani kuomba tutoring ya tafsiri ya sheria, wangemuamuru wakili alete pingamizi.

Tundu Lissu knows this better than most.
Wewe ni mwanasheria ?? Kama ni mwanasheria basi ni wale wanaodraft mikataba ya makampuni tu upo kwenye chamber ya ofisi huku mkiwa mnaomba msije kukutana na watu kama lissu mahakamani

Zero common sense
 
Hili jamaa liongo dunia nzima hivi anaielewa vizuri doctrine ya PARLIAMENTARY SUPREMACY ikiambatana na Doctrine ya "SEPARATION OF POWER" yaani bunge lipelekwe mahakamani??? huyu anachekesha kweli acha aendelee kuchota akili za manyumbu
Bunge halipelekwi mahakamani, dont be silly, wanachofanya ni kutaka ufafanuzi wa kanuni zilizotumika kuwafukuza wabunge bungeni. Ndugai amekiri kuwa wanaweza kwenda mahakamani na kutakuwa na 'constitutional crisis', sasa wewe unatishika na Parliamentary Supremacy?
Parliamentary sovereignty (also called parliamentary supremacy or legislative supremacy) is a concept in the constitutional law of some parliamentary democracies. It holds that the legislative body has absolute sovereignty, and is supreme over all other government institutions, including executive or judicial bodies (Wikipedia)
Hii ya kwetu nadhani halifit kwenye hii definition, sio kweli kuwa bunge letu ni supreme over the executive kwa hapa Tanzania, wote tunaona jinsi the executive inavyoweza kuwabana wabunge wa CCM mpaka wote wanaishia kusema Ndioooooo...kwa maelekezo ya the executive.
 
Asilimia kubwa comments zetu members za mwanzo mmesifu sana uwezo Lisu katika fani yake ya sheria.. Hongereni sana.
 
Mbungeni siyo mahakamani ndio maana wanaongozwa na kanuni. Issue unazozileta hapa ni za dunia ya mahakama lakini dunia ya bunge ni tofauti.
Tena wakiendelea kushupaza shingo wanaweza fukuzwa kabisa ubunge.
Kwa kanuni ipi? Bugger!!
 
hahahaha Tundu Lissu anawadanganya watu hao hakika hawachomoki na hawana pakwenda kabisa bunge na mahakama ni mihimili tofauti...ukipigwa ban umepigwa hakuna pakwenda labda bunge likuonee huruma....
Angalia wanaCCM hawa, thinking yao imelifanya Taifa liwe one of the poorest in the world, wakati ni one of the most natural resources endowed in the world.
 
Huyu sawa pekee anayaburuza wote ya ccm pale bungeni...India waliondoka na ubongo wa Spika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] walichomoa Cerebrum
 
Back
Top Bottom