Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,774
- 7,496
Suala muhimu sana [emoji318]Mbowe please tangazeni Lissu kuwa kiongozi wa chadema kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa 2020
Suala muhimu sana [emoji318]Mbowe please tangazeni Lissu kuwa kiongozi wa chadema kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa 2020
Kheeee.... Aiseee.... VERY POOR REASONING....Wasikilizwe ili waseme nini? Wakati walifanya maovu yaohadharani!?
zimelala naon... [emoji9] [emoji9] [emoji9]Ngoja nijiimbie wimbo nyumba ndogo nyumba ndogo mwenye nyumba ndogo aja juu baada ya nyumba ndogo kulalamika kuwa usipinitetea nakubwaga nyumba ndogo nyumba ndogo oya oya nyumba ndogo nyumba ndogo everybody sing nyumba ndogo oya oya oya oya oya nyumba ndogo
Kati ya lisu na ndugai ni nani katanguliza jazba?Hata uchaguzi wa EALA alitoa vifungu vya sheria na kudai atakwenda mahakamani,lakini hakwenda wakaongeza majina.
Mtu yoyote anaetanguliza jazba hawezi kuaminika
uvivu kufukiri umejishikiza ubongoni mwakoNilsha sema huyu jamaa hayupo vizuri ape saa moja tu ya kuendesha kikao baada ya hapo mwenyekiti ampokee. Toka arejee ana ropoka, jazba, ubabe na kuchanganya mada. Msaidieni nadhani anatumia dawa kali zinamchanganya kama yule wa magazeti na ngoma
WA nje walomkashifu eti aliwasikia, lakini yule aliemtukana Mnyika ndani ya Bunge hakumsikia wala hakukubali kufuatilia kwa vyombo/vifaa hivyo hivyo anavyo sifu wanavyo.Kweli mkuu,kauli ile ya ndungai eti waende popote na itakuwa mwanzo wa constitutional crisis ktk nchi sijaelewa kabisa
serikali ingemuhitaji kwani?Huyu jamaa nilipenda sana asiwe mbunge ,angekuwa free na mshauri wa kisheria serikalini
Tundu Lissu anasema huo sio uamuzi wa bunge ni uamuzi wa wabunge wa CCM, pili amesema kuna kanuni za kibunge za kutoa adhabu kwa wabunge wanaokosea na kanuni ya kumfungia mbunge kwa miezi 10 hiyo kanuni haipo.
Ila inapofika kwenye masuala yanayowahusu wabunge wa upinzani wanapewa adhabu kubwa ambazo hazipo kwenye kanuni
Kanuni zinasema kiwango cha juu cha idadi ya vikao anavyoweza kufungiwa mbunge ni vikao 20.
Kanuni zinasema pia bunge linaweza kutoa adhabu nyinginezo ila adhabu nyinginezo haiwezi ikawa sawa na hiyo iliyotamkwa na sheria, kwa hiyo kama adhabu ni ya kufungiwa, adhabu nyinginezo haiwezi ikawa ni kumfungia mbunge kwa muda mrefu zaidi.
Ameendelea kusema bunge la Ndungai wanaelekea kufikiri kwamba bunge linaweza kumsimamisha mbunge kwa kipindi watakachojisikia wenyewe
Kwa tafsiri hiyo ya Ndungai ni kuwa mbunge anaweza kufungiwa kwa miaka 5 maana yake ni kukufungia usiwe mbunge kabisa.
Katiba inasema mbunge anaweza kuondolewa kwenye ubunge wake kwa shauri la uchaguzi linalofunguliwa mahakama kuu.
Ila kwa sasa watu wanazuiwa kuwa wabunge sio kwa shauri la mahakama kuu bali kwa udikteta wa watu walio wengi, udiktetea wa wabunge wa CCM
Jambo jingine ni mbunge anayeadhibiwa na bunge ni lazima apewe nakala ya mashtaka dhidi yake, apelekwe kwenye kamati ya haki kinga na mamlaka ya bunge akasililizwe na kamati ilete mapendekezo bungeni yanajadiliwa na mbunge apate haki ya kujitetea lakini waliofungiwa hawajapewa nafasi ya kujitetea.
Amesema Zitto Kabwe alipofungiwa miezi kadhaa mwaka 2007 alipewa nusu saa ya kujitetea lakini Ndungai anafikiri kwamba anaweza kuamua anavyotaka
Na kwa sababu ni makosa wataenda mahakamani, anasubiri warudi kutoka msibani na mahakama iwaambie bunge linaweza kumfutia mbunge ubunge wake kama Ndungai alivyotafsiri?
Bunge linaweza kutoa adhabu ambayo haipo kwenye kanuni? Bunge linaweza kumuadhibu mbunge bila kumpa nafasi ya kujitetea kwenye kamati wala bungeni?
Amesema tukiendelea hivi wabunge wa CCM wanaweza kuamua mbunge asiingie bungeni kwa miaka 5
Amesema mkakati wa kuuwa bunge ni mkubwa sana, umeanzia kwenye kulizima wananchi wasilione, kuvuruga uteuzi wa kamati zake, kamati za bunge zimeteuliwa na Magufuli Ikulu, Nfungai kazi yake ni kupiga mhuri tu
Serikali ndio inayoamjua wapinzani wake waikosoe vipi, wapinzani wanapeleka hotuba zao kisha wanaamua kipi kiondolewe kipi kibaki, wanawafundisha jinsi ya kuwa wapinzani
Amesema huo ni mkakati wa kuuwa bunge sio kuuwa upinzani, hawawezi kuuwa upinzani, wanalifanya lisiwe na maana halafu hata kulipiga marufuku inakuwa ni rahisi
Vipi zile kesi za kumshitaki bashite?hivi hiyo kesi anashitakiwa spika au bunge?kama ni bunge,watawakilishwa na wakili gani(wa akina mdee ni tundu lisu),najua masaju hata wamshikie bunduki hatakubali kuingia kwenye mtanange na lisu..kesi tamu sana hii
Kamuulize WasiraKwikwikwi Lisu lini amewahi kushinda kesi yoyote!? Lisu ni mweupe sana.
Kwenye hili atatoka kapa. Mwanasheria gani huyo anaogopa kushitakiwa!?
Nafikiri angekuwa nje ya siasa, mkuu angemwangilia lkn kwasasa sijui kwasababu sasa amekuwa mpingaji wa kila kituserikali ingemuhitaji kwani?
"Ufalme ukikuwa sana huanza kujifitini wenyewe"Kuna haja kamati ya maadili kuundwa na wanasheria
Ndugai kasema wakienda mahakamani atawaleta bungeni na kuwapiga mwaka mmoja zaidi,akasisitiza katika hilo akiwa amekalia kiti basi kutatoa "constitutional crisis"!
unaniuliza mimi?nafikiri umekosea hili swali kawaulize TLSVipi zile kesi za kumshitaki bashite?
Kweli mkuu,kauli ile ya ndungai eti waende popote na itakuwa mwanzo wa constitutional crisis ktk nchi sijaelewa kabisa
Nadhani ulikuwa na nia ya kuandika 'apinge'.Tungemshangaa asingepinga. Ameumbwa ili apenge ukweli wowote.
hahahaha mwezi mchanga
Kama yawezekana weka hiyo softcopy haya ni majadiliano tu.Uwekewe wewe nani? Hukumu yao ni maamuzi ya bbunge akiwamo na yeye Lisu, Mnyika na Upendo peneza. Kura zikikubaliwa na Spika ndio azimio la bbunge. Nenda kwenye hansadi ukasome.