Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya

Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya

Hahahahahahaaaaaa..

Mtafute Kamanda Salum Hamdani akuhadithie.
Maana sasa kapangiwa kazi nyingine ili asiwepo kwenye ushahidi tena.
Hivi ile issue ya wabunge wa Africa Mashariki mbona aliangukia pua!?.
Mwambie akafungue hiyo kesi. Ninakuhakikishia hao akina Bulaya na Mdee wanakosa ubunge. Hapo anaongea siasa tu. Mwambie apige hatua yoyote kishitaki. Maana hayo ni maamuzi ya bunge akiwamo yeye.

Hapo anabwabwaja tu.
 
Ngoja nijiimbie wimbo nyumba ndogo nyumba ndogo mwenye nyumba ndogo aja juu baada ya nyumba ndogo kulalamika kuwa usipinitetea nakubwaga nyumba ndogo nyumba ndogo oya oya nyumba ndogo nyumba ndogo everybody sing nyumba ndogo oya oya oya oya oya nyumba ndogo
Naona unatafuta soko hapa jamvini baada ya kutimuliwa kona bar
 
Hapo Lisu anaongea siasa tu za kizamani kujitafutia umaarufu. Anabwabwaja tu hapo.
 
Hivi ile issue ya wabunge wa Africa Mashariki mbona aliangukia pua!?.
Mwambie akafungue hiyo kesi. Ninakuhakikishia hao akina Bulaya na Mdee wanakosa ubunge. Hapo anaongea siasa tu. Mwambie apige hatua yoyote kishitaki. Maana hayo ni maamuzi ya bunge akiwamo yeye.

Hapo anabwabwaja tu.
Unaweza kutuwekea softcopy ya hiyo hukumu/maamuzi humu?
 
~~~>>Kwakuwa sifa kuu ya Mbunge ni Kusoma, Kuandika na Kuhesabu ndio maana wanafikia maamuzi ya kihayawani kama haya.

Wengine walifikia kutoa ushauri kuwa Mdee & Bulaya wafukuzwe...... Hawa walionyesha kiwango cha juu kabisa cha Ujinga wao
Tena wajinga wa kutupa maana hata hawajui kuwa mwenye kumfukuza mbunge ninani
 
Huyu jamaa ni wa karne ya 30 lakini aliwahishwa ili awepo karne ya 20 na 21 ndiyo maana wajinga wengi wanaoishikilia nafasi hawamwelewi! I wish I kudu bi Igp!
Ipo siku mkuu endelea kupiga kitabu
 
Back
Top Bottom