I also think the same.....
Jamaa chochote anachoongea iwe ktk namna ya kukosoa, kuelewesha, kulaani ama vyovyote hueleweka kwa urahisi sana.
Nadhani kwa uwezo wa kupambanua mambo alionao huyu jamaa, ujasiri na kutokumwogopa awaye yeyote ndiko hasa ambako humfanya aonekane kikwazo nambari wani kwa utawala wa kishetani wa maCCM wa kuendelea kufanya mambo yao ya kishetani!!
Hebu mtazame na umsikilize tu hapa.
Kiukweli kwa mtu yeyote anayemtazama na kumsikiliza, hata kama hajawahi kuingia darasani kujifunza elimu ya Uraia na sheria hata kidogo (kama vile DAUDI Albert Bashite a. k. a Paul Christian Makonda) , anaweza kumwelewa kwa urahisi sana tu huyu ndugu.....
Tundu Lissu might have some weaknesess as à human being just like everyone else, however his better side is more stronger than worse side.....
Napenda sana ujasiri wake wa kutokuogopa chochote, kutokumwogopa yeyote na kusimamia yale anayoyaamini.....
To me, he's my model.....