Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Tulia mh Lissu mteule wa mungu awanyooshe hadi mutawapigia magoti milo wafukuzaNimekuwekea kanuni soma. Mbona makelele mengi?
Tulia mh Lissu mteule wa mungu awanyooshe hadi mutawapigia magoti milo wafukuzaNimekuwekea kanuni soma. Mbona makelele mengi?
In a nutshell, there is no absolute power under the sun my friend! We cheka,Kwikwikwi. Ngoja nikucheke tu. Maamuzi yameshatolewa sasa Lisu issue iko kwake aende aendako. Apeleke kesi mahakamani utaona nguvu ya spika. Hapo anabwatuka tu baada ya hapo atajifungia shimoni kama panya kasikia paka.
Hahaha hayo maigizo ya akina Lisu tushayaona miaka na miaka labda umekua juzi wewe.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] chutama ata chini ufiche uzwazwa wako! Unajiaibisha
Umeanza kufyata mkia sasa si ndio. Siasa za kubwabwaja zimeshapitwa na wakati. Mwambie Lisu ajipange. KwikwikwiIn a nutshell, there is no absolute power under the sun my friend! We cheka, ni kawaida ya vi.laza!
Shule mlienda kusomea Ujinga?
unamaanisha kamzidi hadi mbowe?? kwangu mm mbowe ndio the most intelligent MP! ww utakuwa msalitiHiki ndio kichwa pekee katika nchi hii.
Perhaps he is the most intelligent MP so far.
Spika sio Mungu nguvu gani anazo? Kwanza ile kesi ya kumpiga mtu jimboni kwake na yenyewe itafufuliwa kwa kupelekwa mahakama ya kimataifa The Hague hakuna cha kwenye kokote wewe mwenyewe ndiyo utakwenda shimoniKwikwikwi. Ngoja nikucheke tu. Maamuzi yameshatolewa sasa Lisu issue iko kwake aende aendako. Apeleke kesi mahakamani utaona nguvu ya spika. Hapo anabwatuka tu baada ya hapo atajifungia shimoni kama panya kasikia paka.
Ilikuwa ni kesi namba ngapi na mwaka gani, hiyo unayosema Lissu na wenzake walipigwa chini?Uwekewe wewe nani? Hukumu yao ni maamuzi ya bbunge akiwamo na yeye Lisu, Mnyika na Upendo peneza. Kura zikikubaliwa na Spika ndio azimio la bbunge. Nenda kwenye hansadi ukasome.
Ajipange nini? Kwani wewe ni kigagula kama Daud Bashite? au unashinda kwa waganga kama mzee mkuchika? Kanuni za bunge zipo wazi zimekiukwa sasa kuna kujipanga vipi?Umeanza kufyata mkia sasa si ndio. Siasa za kubwabwaja zimeshapitwa na wakati. Mwambie Lisu ajipange. Kwikwikwi
Kwikwikwi. Mzee wenu wa CUF alisema anapeleka kesi kuhusu Zanzibar sasa kabakina na Kesi ya Lipumba tu. Mwambie Lisu wako ajaribu utaona matokeo yake. Spika na Jaji mkuu wapo katika level moja. Mbunge yeyote kwenda kumshitaki Spika ni kujinajisi mwenyewe maama yeye atashughulikiwa bungeni. Somo chukua hilo.Spika sio Mungu nguvu gani anazo? Kwanza ile kesi ya kumpiga mtu jimboni kwake na yenyewe itafufuliwa kwa kupelekwa mahakama ya kimataifa The Hague hakuna cha kwenye kokote wewe mwenyewe ndiyo utakwenda shimoni
Hujui kula chapati, tongotongo bado hazijakutoka in Ditopile's voice.Bado unakamba mguuni! Huwezi kujadili mambo mazito haya
Kanuni ipi imekiukwa. Soma kanuni zinazohusu adhabu kwa wabunge 74 hususani fasili ya 5 utaelewa. Lisu anawaingiza chaka.Ajipange nini? Kwani wewe ni kigagula kama Daud Bashite? au unashinda kwa waganga kama mzee mkuchika? Kanuni za bunge zipo wazi zimekiukwa sasa kuna kujipanga vipi?
Huko ccm hakuna mtu yeyote wa kunitisha, hususani Bashite wewe! Nilikwambia Law is not for every Harry Tom n Dick, na Sasa nakwambia tena!Umeanza kufyata mkia sasa si ndio. Siasa za kubwabwaja zimeshapitwa na wakati. Mwambie Lisu ajipange. Kwikwikwi
Soma kanuni ya 74 fasili ya 5 na 6. Kwenye kanuni za bunge. Yeye anaongelea fasili za 1,2,3 lakini fasili zingine zinatoa adhabukali zaidi kwa mbunge aliyeonywa mara nyingi na hataki kubadilika ikiwemo na bunge kuadhimia kumfukuza kazi ya ubunge.Kosa kubwa wanalofanya serikali na CCM kama chama Dola ni kushindwa kufanya counter attack watu wanaishia kumtukana Lisu, kumdhihaki etc.
Kama ni kweli anachokisema ni siasa hebu tupeni hoja zinazopangua hoja za LISU? Mfano ni kanuni ipi ya bunge inaruhusu adhabu ya miezi kumi au zaidi? Je, walisikilizwa tuhuma zao? walipewa nafasi ya kujitetea [natural Justice] kama hakuna, LISU anabakia kuwa sahihi.
Shikamoo mkuu...mimi ni mdogo kuliko weweLissu ni mtu wa aina yake kabisa. Hatafuni maneno na haogopi kumtaja mtu awaye yeyote atakaye katiza mbele yake kwa mbinu chafu. Anamtaja Magufuli kuwa anahusika na kudhoofisha bunge kama mimi au wewe unavyoweza kumtaja house girl wako kuwa hazingatii usafi wa nyumba
Soma kanuni ya 74 fasili ya 5 na 6. Kwenye kanuni za bunge. Yeye anaongelea fasili za 1,2,3 lakini fasili zingine zinatoa adhabukali zaidi kwa mbunge aliyeonywa mara nyingi na hataki kubadilika ikiwemo na bunge kuadhimia kumfukuza kazi ya ubunge.
Lakini wewe Lissu ni mtundu... {In makinda's voice}Habari za mh Lissu anazijua Makinda