MUSIGAJI
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 2,261
- 2,744
Sidhani kama umemuelewa Lissu.Amesema hivi sheria kanuni/sheria ikitamka kuwa ukiksea utapewa afhabu hii(ikitajwa)alafu ikaendelea kusema na adhabu nhinginezo maana yake ni kuwa hizo nyinginezo hazipaswi kuwa na uzito sawa/kuzidi adhabu iliyotajwa moja kwa moja.Sasa Lisu huoni kuwa tayari umeshindwa kesi!
Kanuni inasema bunge linaweza kutoa adhabu nyinginezo, Sasa kitu gani hujaeelewa?
Mbunge anaweza kukoma kuwa mbunge......
Sasa umesikia tume ya uchunguzi imeitisha uchaguzi kuwa hayo majimbo yako wazi?
Unaropoka tu kila kitu as if wewe ndo mbobezi wa sheria pekee Tanzania?
Katika hili kubali kwamba Mdee na Mke wake Ester hawana adabu, ndiyo maana hakuna mwanaume yeyote wa upinzani aliinuka!
Kumbuka bunge lina kanuni zake,na haliingiliwi na mahakama
Mfano kanuni ikasema ukikosa utafungiwa vikao ishirini na adhabu nyingine kadri itskavyofaa maana yake hizo nyinginezo zisizidi iliyotajwa.yahani adhabu iliyotajwa ni siku ,20 alafu nyinginezo haxiwrzi kuwa 40.Kama hauelewi tena kamuone mkemia husijekuwa unavinasaba na Bashite