Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Lissu ni mwamba na shujaa was Taifa.
🔥🔥
HS5x2FobYAECcfz.jpg
 
Badala walilie Watoto wao waliokufa kisa kukinukisha kuzuiya Uchaguzi

Wao wanamuonea uruma Aliewasha ule MOTO ❗️ kupelekea wakafa watu‼️
kweli Chadema nyumba ya Nyumbu🫎🫎🫎🫎
 
TUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI

SEHEMU YA 14.

Waheshimiwa Majaji, sheria hii katika Sura ya 7 imeorodhesha jumla ya makosa 23 na adhabu zake.

Kuanzia Kifungu cha 114 hadi Kifungu cha 136 ni orodha ya makosa na adhabu zake.

Makosa ambayo ukiyatenda unaweza kushitakiwa na ukafungwa au ukapewa adhabu nyingine za kijinai.

Maneno ambayo tunataka kuyajua kama ni makosa ni:

“Tutahamasisha uasi, tutavuruga uchaguzi, tutazuia uchaguzi.”

Yale yote ambayo yamekuwa yakiimbwa: “Uhaini, uhaini, uhaini, uhaini.”

Uzuri wa sheria hii ni kwamba imeandikwa kwa Kiswahili.

Waheshimiwa Majaji, kosa la kwanza lipo Kifungu cha 114 cha sheria hii.

Linaitwa “Makosa yanayohusu uandikishaji wa wapiga kura.”

Lipo kwenye kuvuruga uchaguzi? Kuzuia uchaguzi? Kuhamasisha uasi?

Halipo.

Kosa la pili linaitwa “Kutumia wadhifa kushawishi watu wengine wasiteuliwe kuwa wagombea.”

Ninashtakiwa nalo?

Hakuna.

Hilo la pili lipo Kifungu cha 115.

Halihusu kuzuia uchaguzi.

Kosa la tatu ni “Mwenendo usiofaa wa Mtendaji wa Uchaguzi.”

Mimi si mtendaji wa uchaguzi, halinihusu.

Kosa la nne ni “Makosa yanayohusu Daftari la Wapiga Kura na Kadi za Wapiga Kura.”

Linahusika kwenye haya mashtaka?

Halihusiki.

Lipo Kifungu cha 119 cha sheria.

Kosa la tano ni “Mwenendo usiofaa wa Maafisa Waandikishaji,” Kifungu cha 120.

Mimi sikuwa afisa mwandikishaji.

Kosa la sita ni “Kosa linalohusu fomu za uteuzi au karatasi za wapiga kura.”

Kosa la saba lipo Kifungu cha 122 cha sheria, linahusu “Matangazo ya uongo ya kujitoa.”

Sijashitakiwa kwa hilo, sihusiki.

Kosa la nane ni “Vishawishi vya rushwa kwa ajili ya kujitoa.”

Hilo vilevile sihusiki nalo.

Waheshimiwa Majaji, kwenye Kifungu cha 124, kinasema “Makosa Mengineyo.”

Kifungu kina sehemu inayosema “Kutoa tamko la uongo katika chaguzi.”

Sijashitakiwa kwa kutoa tamko la uongo.

Waheshimiwa Majaji, kosa la tisa linahusu utunzaji wa siri.

Kuna siri nyingi ambazo wanaosimamia uchaguzi wanakuwa nazo.

Ukivujisha hizo siri, kwa mujibu wa Kifungu cha 125, ni kosa.

Kosa la 10 ni katika Kifungu cha 126: “Kosa la Hongo, Takrima au Kurubuni Mtu.”

Kwa hiyo, sihusiki.

Kosa la 11 ni Impersonation (kujifanya mtu mwingine).

Unachukua kadi ya mwenzako, unajifanya wewe ndiye yeye.

Halinihusu.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Lissu anatisha
 
TUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI

SEHEMU YA 15.

Kosa la 12 linaitwa “Kupoteza sifa kwa kuhukumiwa kwa kosa la kitendo cha rushwa au kufanya matendo haramu ya kiuchaguzi.”

Kosa la 14, Waheshimiwa Majaji, lipo Kifungu cha 129, kwa watu wanaodaiwa kuwa na ushawishi mbaya.

Sijashitakiwa kwa kuwa na bad influence.

Kosa la 15 lipo Kifungu cha 130: Hongo, rushwa kwa maafisa wa Tume.

Sijashitakiwa kwa kuhonga maafisa wa Tume.

Kosa la 16 ni hatia ya kujifanya mtu mwingine.

Mimi ni Tundu Lissu wa siku zote, halinihusu.

Kosa la 17 ni vitendo vya rushwa na haramu.

Hilo halinihusu.

Kosa la 18 ni kuingilia mikutano halali ya hadhara ya kampeni.

Kosa la 19 ni makosa yanayohusu siku ya uchaguzi.

Kuvaa nguo za chama siku ya uchaguzi ni kosa.

Kufanya kampeni siku ya uchaguzi ni kosa.

Sijashitakiwa nayo vilevile.

Kosa la 20 ni unyanyasaji wa kijinsia katika uchaguzi.

Hilo nalo halinihusu katika kesi hii.

Kosa la mwisho, la 21, linaitwa “Kuchafua matangazo ya uchaguzi.”

Wagombea wanaweka picha, wewe unaenda unazirarua.

Waheshimiwa Majaji, hayo ndiyo makosa kwa mujibu wa sheria za uchaguzi.

Hakuna kuzuia uchaguzi — siyo kosa.

Hakuna kuvuruga uchaguzi — siyo kosa.

Hakuna kuhamasisha watu kufanya uasi — siyo kosa.

Hakuna “kukINukisha” — siyo kosa.

Siyo kosa, Waheshimiwa Majaji.

Kifungu cha 5 kinasema kosa ni kitendo au jaribio, au kutenda kitu ambacho sheria imekiwekea adhabu.

Kama sheria haijakitamka, siyo kosa.

Hayo maneno ambayo yanadaiwa ni ya kihaini siyo kosa kwa mujibu wa Kifungu cha 39 chote.

Na vilevile siyo kosa kwa mujibu wa makosa yaliyoorodheshwa katika Sura ya Saba ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Huwezi kuchochea kitu ambacho hakijakatazwa na sheria.

Huwezi kuchochea jambo halali.

Unachochea jambo haramu.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
 
TUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI

SEHEMU YA 8.

Waheshimiwa Majaji, mtaona huo wito wa ushahidi wangu was intended to bring together. It was called with the intention of kuitisha watia nia na kuwaeleza slogan ya Chama kuhusu “No Reform, No Election.”

Nilisema hivi:

“In that discussion, I did not refer to the Government or say what I intended to do to the Government.

The allegation that we intended to threaten the Government is misplaced.

My purpose was to explain to the aspiring candidates.

There was no intention to threaten the Government because it’s not part of my agenda.

I did not engage people or mobilise them.”

I was extensively cross-examined.

Lakini hakuna Wakili wa Serikali aliyeniuliza juu ya nia yangu juu ya mkutano ule.

That testimony remained completely unchallenged.

Mahakama ya Rufani katika kesi zote tatu:

Justice Rumina Katiti (Supra)

Nyerere Nyangue (Supra)

Kiberiti (Supra)

Has established that failure to cross-examine the material is....

Kushindwa kuhoji jambo maana yake umekubaliana nalo.

Upande wa mashtaka kushindwa kunihoji nia yangu, maana yake wameikubali.

Ukurasa wa 166 wa rekodi mtaona vile vile kwamba DW2 was viciously cross-examined, lakini hakubadili msimamo wake.

Mtaona ukurasa wa 691 wa rekodi.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE.
Hapa kwenye nia nmekuelewa vyema mheshimiwa Lissu. The guy ni very bright.
 
TUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI

SEHEMU YA 15.

Kosa la 12 linaitwa “Kupoteza sifa kwa kuhukumiwa kwa kosa la kitendo cha rushwa au kufanya matendo haramu ya kiuchaguzi.”

Kosa la 14, Waheshimiwa Majaji, lipo Kifungu cha 129, kwa watu wanaodaiwa kuwa na ushawishi mbaya.

Sijashitakiwa kwa kuwa na bad influence.

Kosa la 15 lipo Kifungu cha 130: Hongo, rushwa kwa maafisa wa Tume.

Sijashitakiwa kwa kuhonga maafisa wa Tume.

Kosa la 16 ni hatia ya kujifanya mtu mwingine.

Mimi ni Tundu Lissu wa siku zote, halinihusu.

Kosa la 17 ni vitendo vya rushwa na haramu.

Hilo halinihusu.

Kosa la 18 ni kuingilia mikutano halali ya hadhara ya kampeni.

Kosa la 19 ni makosa yanayohusu siku ya uchaguzi.

Kuvaa nguo za chama siku ya uchaguzi ni kosa.

Kufanya kampeni siku ya uchaguzi ni kosa.

Sijashitakiwa nayo vilevile.

Kosa la 20 ni unyanyasaji wa kijinsia katika uchaguzi.

Hilo nalo halinihusu katika kesi hii.

Kosa la mwisho, la 21, linaitwa “Kuchafua matangazo ya uchaguzi.”

Wagombea wanaweka picha, wewe unaenda unazirarua.

Waheshimiwa Majaji, hayo ndiyo makosa kwa mujibu wa sheria za uchaguzi.

Hakuna kuzuia uchaguzi — siyo kosa.

Hakuna kuvuruga uchaguzi — siyo kosa.

Hakuna kuhamasisha watu kufanya uasi — siyo kosa.

Hakuna “kukINukisha” — siyo kosa.

Siyo kosa, Waheshimiwa Majaji.

Kifungu cha 5 kinasema kosa ni kitendo au jaribio, au kutenda kitu ambacho sheria imekiwekea adhabu.

Kama sheria haijakitamka, siyo kosa.

Hayo maneno ambayo yanadaiwa ni ya kihaini siyo kosa kwa mujibu wa Kifungu cha 39 chote.

Na vilevile siyo kosa kwa mujibu wa makosa yaliyoorodheshwa katika Sura ya Saba ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Huwezi kuchochea kitu ambacho hakijakatazwa na sheria.

Huwezi kuchochea jambo halali.

Unachochea jambo haramu.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Kumuua ndio ilikuwa silaha pekee ya kummaliza Lissu, hata hivyo ilishindikana
 
Hivi huoni shida kuwa kunguni kiasi hicho? Khaaah

Siwezi kufanana akili na wewe
Mimi naamini Lissu ndio chanzo kutokea Mo29

Kama Mwenyekiti angebaki Mzee mbowe kwenye ule Uchaguzi ndani Chadema
Kwa %100
Mo29 isingekuwapo
Manake Vifo 500+
visingekuwepo
Huwezi kubadilisha
ukweli huo✍️
 
Nalilia Watoto waliokufa kwanjia ya kuakikisha popote ukweli ubaki ukweli
Watoto wawenzie
kawatumia Vibaya
Wkt wa kwake kawaficha uko Marekani 😡😡😡
 
Kwenye Sheria wamefeli kummaliza Lissu amewanyoosha kisawasawa
UKIFWATILIA KESI HII UNAPATA ELIMU YA SHERIA SAFI.

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI

Part 451

Mhe. Lissu anaendelea kufanya mawasiliano yake ya mwisho (Final submission)

Mhe. Lissu anasema, PW 17 alikuwa ni shahidi wa mafichoni nina shida na hilo na kwamba shahidi huyu alitoa ushahidi wake mafichoni lakini in all fairness sio yeye aliyejipeleka mafichoni aliwaambieni hakuna mtu hata mmoja aliyemtishia.

Tofauti na mashahidi wengine huyu PW 17 yeye hakuwa muhalifu kabisa, mashahidi wengine wote wa vificho walikuwa ni watuhumiwa, yeye alikuja kama Shahidi huru.

Kwa ushahidi wake na uzito wa ushahidi wake ni mkubwa sana. Waheshimiwa Majaji muhimu zaidi kuhusu shahidi huyu ni kwamba ushahidi wake unaunga mkono ushahidi wote wa Utetezi. His entire evidence is in substantial agreement with the evidence of defence side in all major issues.

Mambo yote ya Msingi amepingana na mashahidi wa Jamhuri na kuungana mkono na mambo yote ya Utetezi.

Hawa mashahidi wanne niliowataja PW 1,2 na 16 ushahidi wao umetofautiana fundamentally na PW 17.

Hii ina maana kwamba ushahidi wote wa mashitaka ni totally unreliable kwasababu ni NDIMI MBILI KAMA ZA NYOKA.

Ulimi mmoja unasema ni Uhaini na Ulimi mwingine unasema maneno haya hayana shida yoyote, hakuna kitu. On the basis of the authority cited yesterday.

This is a life or death of this case suala hili ninalosema kwa sasa kama ushahidi wao hauna credibility kwahiyo swali la JE KULIKUWA NA NIA YA KUTENDA KOSA LA UHAINI?

Kama ushahidi haushikiki basi kesi inakufa. Hoja sio hiyo peke yake.

Hii nadharia kwamba serikali inasimamia sheria ni hoja ya maana kiasi gani?

Kesi yote ya Mashitaka kwenye suala hili imejengwa kwenye hisia, supposittions kwenye suspicions sio kwenye ushahidi. Ni hisia kwamba analenga kuitishia serikali. It is based on suspicious. It is based on their beliefs and spoken words.

Serikali haikutajwa kokote wala kiongozi yeyote hajatajwa lakini kwenye vichwa vyao wana imani hiyo na kwasababu Lissu anailenga Serikali na Katiba inasimamiwa na Serikali.

Huu ni msingi wa hewa sio msingi wa mawe na kokoto.

Kesi imejegwa kwenye msingi wa hewa na sio mawe na Kokoto.

Nasema hivyo kwasababu hawa mashahidi wamerudia rudia sana na mawakili wao wamerudia rudia sana mambo ya kutaka kuzuia uchaguzi ni kuitishia serikali?

Je Serikali ni chombo pekee kinachosimamia Sheria?

Tuzungumze na mambo ya wazi.

Judiciary Administration Act Sheria ya usimamizi wa Mahakama. Je hii sheria inasimamiwa na nani? Inasimamiwa na Mahakama na sio Serikali wala chombo kingine.

Sheria ya Tume ya Utumishi wa Mahakama imasimamiwa na nani? Inasimamiwa na Judiciary.

Sheria ya Parlimentary Powers and Immunity Act inasimamiwa na nani? Na Bunge.

National Assembly Adminstration Act 2008 inasimamiwa na nani? Inasimamiwa na Bunge.

Sheria za uchaguzi zinasimamiwa na nani? Na Tume ya Uchaguzi. Sasa Tume ni Serikali?

Nchi hii kuna sheria inaitwa Kanuni ya Maadili ya Uchaguzi zinasimamiwa na nani? Na Tume.

Tanganyika Law Society Act inasimamiwa na nani? Inasimamiwa na Chama cha Mawakili.

Hii nonsense ya kwamba Serikali ndio inasimamia sheria imeletwa na Mapolisi. PW 1 ameianzisha ikabebwa na Mapolisi wengine na ikapelekwa kwa ofisi ya DPP nao wakaibeba wakaja nayo Mahakamani bila kufikiri. Nonsense!.

Jaji anasema tulia kidogo.

Mhe. Lissu anasema nina haki ya kukasirika nimekaaa gerezani kwa mwaka mzima na nusu, niache nizungumze.

Miaka 55 iliyopita kesi ya Amin Sam Mrisho Nasoro Mzava alisema Suspicion no matter how strong can not be the basis of conviction in criminal charge.

Msimamo huo wa miaka 55 iliyopita uliungwa mkono na Mahakama ya Rufani, Nathaniel Mapunda vs R 2006 TLR 395

35 years baadae kutoka kwenye kesi ya Amin Sam Mrisho mahakama ya rufani ilisema suspicion alone however grave it may ben be it not enough to sustain conviction kwneye kosa lolote iwaje kwenye kosa kama la Mauaji?

Part 452 itaendelea kwenye post inayofuata.

Naomba nisaidie kushare ujumbe uende mbali.
1790255571658.jpg
 
Back
Top Bottom