TSh 40,000,000
Bei inazungumzika, Imetumika, Ya 2004, Namba D, sasa ipo TZ, imeshalipwa ushuru, Imetembea 134000km, Automatic, 4 wheel drive, petrol, 2700cc Kwa habari Zaidi kuhusu hii gari wasiliana name kwa simu/whatsapp +255784225000.

PHOTO-2021-02-15-21-32-29_1.jpg
PHOTO-2021-02-15-21-32-29_1.jpg
PHOTO-2021-02-15-21-32-22_2.jpg
PHOTO-2021-02-15-21-32-22.jpg
PHOTO-2021-02-15-21-32-29.jpg
 
Vanguard utafananisha na hiyo gari duh
Nipe tofauti ya Vanguard na Hiyo gari. Ni mala mia kwa hiyo hela mtu achukue Vanguard iliyotumika japana ya kuanzia 2010 + nankuendelea anabaki na hela ya bima, na wese la kuanzi ja service, sio hilo dude dude lake
 
Low mileage sio issue,tatizo ni hiyo bei 40m,hiyo mil 40 japan unachukua gari Kali sana Kama hilo
Nakuambia kwa hiyo 40 million, unapata hata Range Rover Sport kali kinoma, Vogue au Hata land rover iliyo nyooka au hata X6.. sio kwa hiyo prado tena ya 2004 kha.. kweli madalali nyoso 😎😎😎😎. Hapo unakuta mwenye mali anaiuza hata million 20, ila dalali anapiga mala mbili yake
 
Madalali wana msemo wao 'kufa kufaana'😆
 
Inayo TURBO? Maana haya maprado bila hiyo kitu ni useless. Sisi wa songea haifai....milimani yanalalamika sana na hamna yanachofanya
 
Back
Top Bottom