Ni Apartment yenye ukubwa sqm 250

Ina muonekano wa kuvutia.

Ina Sea View (Muonekano wa Bahari na City View (Muonekano wa Mji). Muonekano wa jiji na bahari unaonekana ikiwa umesimama au umekaa katika balicony na vibalaza.

Ina vyumba vitatu vya kulala vinavyojitoshereza, subule kubwa, jiko la kisasa na mahala pa kulia,
Ni nyumba imara inayoweza kumudu mazingira kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa marekebisho yasiyo na ulazima wowote

Hii ni nyumba imejengwa kwa malighafi bora, mafundi na wasimamizi bora! Wahi nyumba hii sasa.
Inauzwa na furniture zake. Ipo katika jengo lenye lift, genereta, bwawa la kuogelea na gym.

Panga siku na muda wa uje ujionee mwenyewe.
Mawasiliano +255 755 312 233
View attachment 2421887
Hebu nielekeze kitu, hii apartment ipo ghorofani huko, ina maana chini yake kuna ahorofa ingine na pengine juu yake zipo zingine. Swali langu ni je hao wengine wakiamua kuvunja ghorofa zao mmiliki wa apartment hii inakuwaje?
 
Ina vyumba vinne vya kulala, jiko, sebule, mahala pa kula na ina nafasi mbele kwa ajili ya biashara. Bei Milioni 18. Maongezi yapo. Kuiona tuwasiliane kwa simu 0755312233.

PHOTO-2022-11-29-16-30-04.jpg
 
Nina wasiwasi kama ni nyumba, yaani kijichi, nyumba ya ukubwa huo kwa M18 ,na maongezi yapo, mbona inatia mashaka.

Hebu tuma picha nyingi zinazoendana na ulichoandika hapo
 
Mbona Nyumba yenyewe unaogopa kuweka picha yake?

Inaonekana hata wewe muuzaji hujaipenda hiyo Nyumba.

😀😀
 
Yan picha utafikili kapiga mpita njia kumbe ndo muuzaji weka picha za kutosha mtu aone biashala
 
Back
Top Bottom