Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,061
- 281
- Thread starter
- #201
Unaonekana wewe unayaogopa maisha sana.Hapo unapoishi nani anakukusanyia takataka, na kama hapo nyumbani kwako kuna swimming pool nani anagharamia? kama hapo nyumbani kwako kuna mlinzi nani anamlipa? Nani anagharamia cctv camera maintenance? Mani taka? Na kama hapo nyumbani kwako una bustani nani anamlipa mtunza bustani...? Nani anagharamia gharama za matengenezo ya miundombinu ya mani na meme inakuwa na itirafu? Na ujue katika majengo makubwa ukishalipa service charge ulipi tena bill ya maji....gharama zote ukichukulia na unakaa Mbweni unafanya kazi Posta gharama ya usafiri plus matumizi engine haifiki hiyo $200 kwa mwezi?Tatizo ya hizo Flati ukinunua utajikuta tena kuna gharama za kulipia kila mwisho wa mwezi...mara unaambiwa Parking Fees..mara Lift Fees.mara hela ya usafi mara hela ya mlinzi..unajikuta kila mwezi unaambiwa ulipe 200$USD