Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

Najaribu kufuatilia kila unachozungumza lakini mwisho wa siku nimejikuta napata hitimisho kuwa pengine kidogo kwenu zipo,ama la basi ni kama asili tu ya dharau ulizonazo. Ujue unaposema Tanzania,ujue unahusisha watu wengi;takribani watu milion 45 au hata na zaidi;maana sensa yenyewe ilichakachuliwa kimtindo. My point;watu hawa hawalingani uchumi hata kidogo,nashangaa sana wewe umekalia tu ku-comment pumba na mbaya zaidi hauna hata lepe la kujishtukia,sasa sijui mantiki yako ni nini hasa...jaribu kufunika uhaya wako humu jamvini bhana....!!!
 
There z olwayz plan b gyz....lipa nusu, skilizia kwanza...kama watatoa SECOND LOT then ts good, unamalzia kwa mkopo....waspotoa,jipange, lipa ada, omba tena next year.

umesoma chuo? unayajua maisha ya chuo yalivyo? mkuu chuo ni zaidi ya ada unayolipa, siwavunji moyo wala kukatisha tamaa but hata hyo batch nyingine itakayo toka kwanza itakua na majina machache mnooo sidhani kama yatafika hata mia kwa chuo, pili usitegemee kupata % zaidi ya 75, nakumbuka mm ilikuwa hivo hivo na nilichokuwa nimeharibu zaidi nilifanya registration bila kujua hatma yangu, nilitumia zaidi ya laki tano kufuatlia kwa miaka miwili ya mwanzo ( 1&2 year) kila nikienda board jibu lao lilikuwa ni subiri batch ijayo mwisho nikakata tamaa nikaamua nikomae tu kwa miaka mingine miwili iliyokuwa imebaki, but life was not easy bro, ilifika hatua nikajuta kwenda chuo but thanks god nikamaliza miaka yangu minne,

my take

kama mtu hana uhakika na uwezo wa atakae msomesha ni vizuri a- postpone mwaka, maisha ya chuo yana challenge nyingi sana hasa usipokuwa na mkopo, zaidi zaidi utaishia kuwatesa wazazi nyumbani na kujiongezea stress
msidanganyike na hayo maneno ya slot 2 hiyo ni kama bahati pia huwa inakuja kwa kuchelew sana, THIS IS TANZANIA sina hamu nayo aisee
 
2nashukr sana kwa uongoz wa chuo kikuu cha udsm daruso kwa kwenda hesbl kudai haki za wanafunz pia kuahid kutafta haki hiyo popote pale haijalish ni kwanamna gan ss 2po pamoja nany mwanzo ad mwisho 2nashkr kwa ktuambia mpaka kielewe na kfika next week actual action nitakuwa zimefahamika uckose taarifa ya habar saaa mbil utawaona vijana live
 
kipekee nasubiri but kusubiri kwangu hakutoninyima kuendelea kusoma.... Acha wanao isoma namba waisome ... japo roho ya huruma inanikumba nikiwakumbuka waliotoka huko namtumbo ambao wamebakiza buku 6
 
Wakuu,

Kwa mujibu wa bodi ya mikopo HESLB kwenye Website yao wamesema mikopo iliyotolewa ni First Lot yaani inawahusisha wale wa education kwa upande wa science, Engineering kama petroleum na Irrigation, MD na kozi nyingine za Afya.

Kwa SECOND LOT ndo kunakuwa na kozi nyingine za Engineering, electrical, mechanica n.k pamoja na kozi nyingine

Embu kwa wale wenzangu na mie tunaosubiria hizo lot nyingine tuje hapa tushauriane, maana sasa hali ishakuwa tete....!

Welcome.

ccm oyeeeee... nendeni shambani mkalime!!!!
 
Long term planz lazima bro...bt what if mungu hajakupangia what u planed?? Utamlaumu vip mzee wakat kajikaza kukusomesha mpaka ulpofkia still waona kakunyima haki zako? U thnk kwann wanafunz wanapewa mikopo? Ts bcoz co kila anaesoma anaweza kuhimili ada za vyuo....mipango yako itakaa vp sawa km serikali haikuungi mkono? Think twice bro

Word Kaka..
 
tcu wamenipanga kcmc 4th round. ila cjajua naendaje maana tuliambiw tusubir to b approved na chuo nisaidieni..
 
Elimu bure kuanzia January 2016, ndoto hiyo imeyeyuka. Duuuu
 
Back
Top Bottom