peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 16,640
- 27,458
Wale wote wanaopenda kumuona na kumsikiliza Rais Samia akihutubia au akisoma risala kwenye TV, tukutane hapa ili kwa pamoja tumfuatilie kama tunamuelewa !
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawataarifu wanachama, viongozi na umma kwa ujumla kuwa Kamati Kuu ya Chama itafanya kikao maalum kesho, Jumamosi tarehe 29 Agosti 2026.Wale wote wanaopenda kumuona na kumsikiliza Rais Samia akihutubia au akisoma risala kwenye TV, tukutane hapa ili kwa pamoja tumfuatilie kama tunamuelewa !
Mna matatizo ya Akili aiseeWale wote wanaopenda kumuona na kumsikiliza Rais Samia akihutubia au akisoma risala kwenye TV, tukutane hapa ili kwa pamoja tumfuatilie kama tunamuelewa !
MImi huwa nasikiliza sana Hotuba za Nyerere na Kwasasa Heche.Wale wote wanaopenda kumuona na kumsikiliza Rais Samia akihutubia au akisoma risala kwenye TV, tukutane hapa ili kwa pamoja tumfuatilie kama tunamuelewa !
Huyu Mzee anapenda sana BATA.Hizi ndio nyuzi za kuja kuzijaza mizaha kama zilivyo.
View attachment 3658762
MImi huwa nasikiliza sana Hotuba za Nyerere na Kwasasa Heche.
Na kama nikioboreka na kutaka kucheka nasikiliza clips za msukuma na kibajaji.
Hapo unaambiwa kulikua na mademu wawili pembeni akalala nao wote akawapa 150k 🤣🤣 zeee la embasiHizi ndio nyuzi za kuja kuzijaza mizaha kama zilivyo.
View attachment 3658762
Anajigamba yeye ni Kaburu.Huyu Mzee anapenda sana BATA.
🤣🤣🤣🤣 Hivi hiyo story ni ya kwelAnajigamba yeye ni Kaburu.
Kaburu aliuza usafiri wa Msikiti kisa Bata😂😂.
Nyerere alikuwa Mwanafalsa ,aliona vitu vya mwaka wa mbele.
Hahahaha hatari sana.Anajigamba yeye ni Kaburu.
Kaburu aliuza usafiri wa Msikiti kisa Bata😂😂.