medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,445
- 1,531
Mbona IFM baadhi wamepata hiyo first lot? Hiyo ni chenga ya mwili...
Mi sina nguvu,ndoto zimefifia.
Naamini unachokisema haukifaham, baadhi yetu tumechaguliwa course za education with mathematics leo unasema eti waliopata ni wa education science? Maana nini wakati sisi wa course hizo hatujapata na ufaulu wetu mkubwa sana?
Mi sina nguvu,ndoto zimefifia.
Wakuu,
Kwa mujibu wa bodi ya mikopo HESLB kwenye Website yao wamesema mikopo iliyotolewa ni First Lot yaani inawahusisha wale wa education kwa upande wa science, Engineering kama petroleum na Irrigation, MD na kozi nyingine za Afya.
Kwa SECOND LOT ndo kunakuwa na kozi nyingine za Engineering, electrical, mechanica n.k pamoja na kozi nyingine
Embu kwa wale wenzangu na mie tunaosubiria hizo lot nyingine tuje hapa tushauriane, maana sasa hali ishakuwa tete....!
Welcome.
Lakini mimi naona hatuna namna nyingine zaidi ya kuwasubiri hawa jamaa.
Tusubirini tu , No way out.
Lakini mimi naona hatuna namna nyingine zaidi ya kuwasubiri hawa jamaa.
Tusubirini tu , No way out.
Naamini unachokisema haukifaham, baadhi yetu tumechaguliwa course za education with mathematics leo unasema eti waliopata ni wa education science? Maana nini wakati sisi wa course hizo hatujapata na ufaulu wetu mkubwa sana?
kuwa na subira umeambiwa wa science, engineering na afya, tena baadhi; 'somo la uvumilivu linaendelea!'
#hapa lazi tu!
Lakini mimi naona hatuna namna nyingine zaidi ya kuwasubiri hawa jamaa.
Tusubirini tu , No way out.
kwani lazima muende chuo hawa big result bwana unakuta mtu hata kufanya wiring hajui, kazi kukariri tu hko shuleni ingieni kitaa sasa ndo mjue nyie ni big result
kaka naamini hujamaanisha ulichosema kwa maana n utumbo tu