Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 434
- 742
Niaje, kwa wazoefu nawezaje kupata mkopo kwa haraka mtandaoni kwenye application
Zipo nyingi nitajie ipi sahihiPakua apps za mikopo zinazo tambulika, then fuata muongozo utakaopewa.
Branch au Tala.Zipo nyingi nitajie ipi sahihi
Ndyo mkuu kwenye ID zao kongwe ni madone wenye utajiri un-calculated . 😅Nili Dhani JF wotee ni matajiri 😁
Ma bebz njoo tuyajenge magetoniWapige vizinga ndugu/marafiki ulio na namba zao
Nipo bush kijana hela nimeacha nyumbaniNdyo mkuu kwenye ID zao kongwe ni madone wenye utajiri un-caluculated . 😅
Ila hizi passive ID wanakuja kuomba means za kupata LOANS 😅
Nyingine huna? Hizi nadaiwaBranch au Tala.
Kwa heshima mkuuNipo bush kijana hela nimeacha nyumbani
Mkuranga Kuna ardhi na Kuna mto kizingaNdyo mkuu kwenye ID zao kongwe ni madone wenye utajiri un-caluculated . 😅
Ila hizi passive ID wanakuja kuomba means za kupata LOANS 😅
Sina.Nyingine huna? Hizi nadaiwa
KalaleSina.