WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,018
Duh hivi itakuwaje maana naamini wengi hawataenda chuo bila mikopo
kashaapishwa embu tusubiri tuone ataanza na nn
Hapa kazi tu,mkopo hakuna kachukue kwa bibi yako
Wote Watapata Mkopo Wadogo Zetu.Wala Msikatishwe Tamaa Na Kundi La Watu Wenye Hasira.Wanaotoa Mikopo Hawahusiki Na Chama Jamani.Ifike Sehemu Tuwe Wakweli Kua Nchi Zinazoendelea Huduma Za Jamii Kama Afya,elimu,mawasiliano Bado Vipo Chini.Mimi Nawapa Matumaini Vijana Kua Wawe Wavumilivu Wote Watapata Mkopo
Wakuu,
Kwa mujibu wa bodi ya mikopo HESLB kwenye Website yao wamesema mikopo iliyotolewa ni First Lot yaani inawahusisha wale wa education kwa upande wa science, Engineering kama petroleum na Irrigation, MD na kozi nyingine za Afya.
Kwa SECOND LOT ndo kunakuwa na kozi nyingine za Engineering, electrical, mechanica n.k pamoja na kozi nyingine
Embu kwa wale wenzangu na mie tunaosubiria hizo lot nyingine tuje hapa tushauriane, maana sasa hali ishakuwa tete....!
Welcome.
Hii ni point ya msingi sana sababu mkiamu kulala nje ya ofisi yao watakuna vichwa tu.Hebu na nyinyi msiwe kama watoto mnaodanganyika na maneno laini ya bodi maelezo yao wao watu wa bodi ni kwamba ed science wamepata bt stil kuna watu wana soma hizo course na hawajapewa which is which??
Then wanadai course nyengine watatoa majina baadae altthough kuna watu washapewa hizo course nyingine kuna dogo yupo Baed udom kapewa na meingine yupo HRM mzumbe kapewa kwa hayo maelezo ya bodi mm nahis ni kumbembeleza mtoto alale usingislz aache kupiga kelele!!
Mwaka wetu sisi walituletea ujinga kama huu bodi tulipiga kambi pale ofsini kwao mpaka pinda aliagiza bodi watafute pesa wakojua wao na sisi twende chuo pesa itatufuata na kwel mpaka leo maisha ya chuo yanaendelea kwa pesa ya kushinikiza
Tatizo lenu ninyi kelele nyingi mnazileta huku although hakuna msaada wowote pelekeni sarhem husika kwa wing wenu lazima msikilizwe wadogo zangu
Hii ni point ya msingi sana sababu mkiamu kulala nje ya ofisi yao watakuna vichwa tu.
Hebu na nyinyi msiwe kama watoto mnaodanganyika na maneno laini ya bodi maelezo yao wao watu wa bodi ni kwamba ed science wamepata bt stil kuna watu wana soma hizo course na hawajapewa which is which??